binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Matulanya Mputa

    Kinachoendelea Kaliua ni kama ngorongoro. Mauaji ya binadamu yanatokea na Serikali ipo kimya

    Haya ndiyo yanaoendelea Kaliua serikali ipo kimya haya yanafanya na TFS,TAWA na vyombo vingine vya dola ikiwemo JWTZ je hii ni sawa, Waziri wa maliasili ajiuzuru? Waziri wa ulinzi ajiuzuru? Waziri wa mambo ya ndani ajiuzulu?
  2. S

    Kuzaliwa na kifo ndiyo ukweli pekee katika maisha! Mengine yote afanyayo binadamu katika maisha yake ni maigizo

    Vitu pekee ambavyo ni ukweli ni viwili tu kwa mwanadam (kuzaliwa na kufa) Maisha mengine yote ya mwanadamu ni maigizo! Chochote afanyacho binadam huwa ni kama scene tu havina ukweli wowote kiuhalisia! Kwa mfano: Ukiangalia watoto wanavyochezea makopo au wanavyoigiza kibaba baba au kimamamama...
  3. Msanii

    China ndio ya kwanza duniani kwa ukiukwaji wa haki za binadamu na ndio marafiki wakubwa wa CCM. Unatarajia nini kutoka CCM?

    Urafiki wa nchi ya China kupitia chama tawala cha nchi hiyo na serikali yetu kupitia CCM ni kiashiria tosha cha mfanano wa vyama hivyo viwili. Pia soma: DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa! China inasifika...
  4. W

    Mganga wa jadi apatikana na fuvu za binadamu 24 nchini Uganda

    Mwanamume mmoja wa Uganda anayesadikiwa kupatikana na fuvu za binadamu 24 huenda alikuwa akizitumia kwa ajili ya kafara ya binadamu na anaweza kukabiliwa na kifungo cha maisha gerezani, polisi wameeleza kwa BBC. Msemaji wa polisi, Patrick Onyango, amesema mtuhumiwa huyo, Ddamulira Godfrey...
  5. JanguKamaJangu

    Ripoti Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) : Wanawake Viwandani wananyanyasika kingono

    https://www.youtube.com/live/380UNEwvBCo?si=ES97yMPqBEkG_Qon Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC) wakati kikizindua Ripoti ya 10 ya Biashara na Haki za Binadamu leo August 27, 2024, Afisa Program Mwandamizi wa Tafiti kutoka kituo hicho, Fundikila Wazambi amesema kuwa wamebaini...
  6. GENTAMYCINE

    Kisaikolojia katika Jamii yetu yoyote mkiwa na Mtu asiyeeleweka eleweka ni HATARI sana kwani Binadamu ni lazima uwe na Upande juu ya Jambo fulani

    "Najua vilabu vyetu vikubwa vya Tanzania Simba, Yanga sasa mimi mama yao nipo katikati akisemwa vizuri Simba mimi napiga makofi akisemwa vizuri Yanga mimi nafurahi, na kulipokuwa na Simba day ambayo Majaliwa hakuwepo na Yanga day nikapiga kuwapongeza, ilipokuwa Yanga day Makamu wa Rais alikuwepo...
  7. Mnyunguli

    Kwanini upande wa kulia na kushoto wa mwili wa binadamu haipo sawa.

    Kwenu wataalumu na wajuaji wa Jamiiforums hili swala kwakweli linanitatiza sana na kuna muda unajiona kama ni ulemavu fulani hivi.Naombeni majibu hii inatokana na nini? Iko hivi mwaka 2022 nilianza rasmi mazoezi ya kubeba weight/nondo/vyuma.sasa kadri siku zinavyoenda mwili ukaanza kukaa...
  8. Black Butterfly

    Binadamu Mzee Zaidi Duniani Afariki Dunia

    Mtu mzee zaidi duniani, Maria Branyas Morera wa Uhispania, ambaye alizaliwa nchini Marekani na kuishi katika Vita ya Pili Dunia, amefariki akiwa na umri wa miaka 117, familia yake ilisema Jumanne. "Maria Branyas ametuacha. Alikufa kama alivyotaka: usingizini, kwa amani na bila maumivu," familia...
  9. S

    Kuna Taifa moja hapa duniani linaundwa na binadamu wa bandia

    Sitalitaja hilo Taifa lakini kila mwenye akili na mfuatiliaji wa mambo atalibaini na zaid atanielewa japo inaumiza. Bidhaa bandia siku zote hufanana na bidha halisi ila kwenye matumizi na mambo menginyo, bidhaa ya bandia hujionyresha kwani huwa zina ufanisi duni na zaid hazidumu. Ukifanya...
  10. Nakimbizwa

    Binadamu Tunapaswa Kuwa Jamii yenye uwezo wa Kusafiri Angani, nje ya dunia

    I appreciate all of you reading this. Katika karne hii ya maendeleo ya kisayansi na kiteknolojia, wazo la kuwa jamii yenye uwezo wa kusafiri angani limekuwa suala lenye umuhimu mkubwa. Licha ya changamoto nyingi zinazohusiana na usafiri wa anga za mbali, kuna umuhimu binadamu tuweze kusafiri...
  11. Pascal Mayalla

    Uteuzi wa Prof Kabudi Mara ya 3 Sheria, Japo Umefanywa na Binadamu tuu, Una Roho wa Mungu!. Je Prof Kabudi Atatimiza Mapenzi ya Mungu au ya Binadamu?

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la NIPASHE la leo Uteuzi wa Prof. Palamagamba Kabudi kuwa Waziri wa Sheria kwa Mara ya tatu, japo umefanywa na Rais Samia ambaye ni binadamu, Rais Samia ameongozwa na Roho wa Mungu kumuona Prof. Kabudi!. Hii maana yake Mungu ana makusudi fulani...
  12. FRANCIS DA DON

    Video clip: Akili mnemba zimefikia level za hatari sana, tukizubaa, binadamu wote tutapoteza ajira

    Hebu angalia hizi slide mbili za video zilizotengenezwa na akili mnemba ndani ya dakika chache tu.., fully rendered. Kwa sasa wasanii na maprodyuza wa muziki ndio wanaipata pata.., ila huko tuendako, hata wahandisi na wabunifu majengo lazima tutakwenda na maji. Hata madaktari (Medical)...
  13. chamilo nicolous

    Nitapata wapi kozi ya uuzaji wa madawa ya binadamu?

    Wandugu, naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Nimesoma masomo ya Biology na chemistry kisha nikasoma kozi za uhifadhi wa maliasili, kwa kozi hii mambo hayaeleweki. Natamani nipate kozi fupi ya uuzaji wa madawa, wanajamvi nisaidieni niwapi hii kozi inatolewa
  14. Yoda

    Zingekuwepo bado jamii(species) nyingine za binadamu zaidi ya kwetu ya Homo Sapiens dunia ingekuaje wakati huu?

    Kulingana na evolution inasemekana kulikuwepo na jamii(species) zaidi ya tisa za binadamu ambapo kufikia miaka elfu arobaini iliyopita nane zilitoweka kwa sababu mbalimbali na hatimaye ikabaki moja tu iliyo survive ambayo ni ya kwetu ya Homo Sapiens, Sasa wangekuwepo akina Homo Neanderthals ...
  15. L

    Albert Chalamila: Mwanaume Achana na Mambo ya Kupima DNA, kikubwa Shukuru Mkeo Kazaa Binadamu

    Ndugu zangu Watanzania, Haya ni Maneno ya Hekima ya Mheshimiwa Albert Chalamila,Mkuu wa Mkoa wa Dar Salaam.ambaye amepata bahati kubwa sana ya kuongoza takribani majiji matatu Makubwa hapa nchini, yaani Jiji la Mbeya,Mwanza na Sasa Jiji la Dar es salaam. Kumbuka pia ameongoza hata mkoa wa...
  16. Yoda

    Tukumee kwa nguvu zote vitendo vya ulawiti kama adhabu kwa binadamu wengine kwa sababu zozote zile.

    Kumekuwa na tabia ya kushabikia, kuona inastahili au kuchukulia jambo la kawaida tu kile kinachoitwa "kupakwa mafuta" kwa wanaume na wanaotembea na wake za watu wengine. Huu ni upuuzi mkubwa sana hasa kwa jamii inayojinasibu kwa sehemu kubwa kama ya kidini na inayopinga ushoga. Hata kama mtu...
  17. UMUGHAKA

    Mke wa mtu ni Sumu ila Mume wa mtu ni Asali?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kumekuwa na Video ya Binti mmoja inayozunguka mitandaoni ikionyesha namna anavyobakwa na kukawitiwa na Vijana kadhaa,Vijana hao ambao wamesikika wakitamka hadharani na kumshurutisha yule Binti akili hadharani na kumuomba radhi Afande. Kwa akili ya...
  18. Manyanza

    Tafiti: Vipande vya sigara ambazo zimetumika, ndio uchafu namba moja duniani unaoongoza kwa kufanywa na binadamu makusudi!

    1.Urahisi wa Kutupa: Wavutaji wengi wa sigara hawana mahali maalum pa kutupa vipande hivyo baada ya kuvuta, hivyo wanavitupa ovyo ovyo. 2.Ukosefu wa Uhamasishaji: Watu wengi hawajui madhara ya kutupa vipande vya sigara ovyo. Ukosefu wa uhamasishaji juu ya athari za mazingira unachangia tatizo...
  19. Kiplayer

    Hivi huyu "raraa reree" ni binadamu? Sio kwa ma likes hayo

    Mwenye maelezo alete mrejesho. Hiki kiumbe ni kusambaza upendo tu kila nyuzi nazopita 😂😂😂😂
  20. A

    Maajabu ya lugha na binadamu.

    Habari wakuu, Nimekuwa nikijiulza hivi sayansi ya lugha duniani ikoje, mbona duniani lugha ni nyingi ila kuna maneno ambayo kila taifa lazma wawe nayo na maana Ni moja. Utakuta watu wa Asia kama waarabu, waajemi yani wahindi, Malaysian, Indonesian n.k wanaingiliana sana maneno kwenye lugha zao...
Back
Top Bottom