swali

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. Hakimu Mfawidhi

  Swali kwa wanywa pombe na walevi.

  Naomba kuwauliza walevi na wanywa pombe, hizi hii pombe aina ya Hennessy ina vitu gani special ama vya kipekee? Maana kila matangazo ya night clubs, bar na lounges zetu hapa Tanzania mitandaoni naona ni Hennessy tuuuu, sioni vinywaji kama Kvant, Konyagi ama viroba. Kwa kua mimi sio mnywa...
 2. N

  Swali kuhusu NSSF kwa waliowahi kulipwa fao la kukosa ajira

  Naomba kuuliza kwa wale ambao wameshawahi kulipwa fao la kukosa ajira Inapotokea kweye akanti yangu ya NSSF kwenye status inaonyesha Approved na salio linasoma 0.00 huwa inachukua siku ngapi mpaka pesa kuingia kwenye akaunti ya benki ya mwanachama ? Asanteni kwa mtakaonijibu
 3. Sandali Ali

  Swali: Hivi ni nani aliyetufundisha Waafrika kula rushwa na kufanya ufisadi?

  Habari! Karibu nchi zote za Afrika rushwa na ufisadi viko katika kilele. Hata hapa ninapoandika wasomaji wengi mmewahi kutoa au kupokea rushwa. Haijalishi ulitoa elfu 5 ya brush kwa afande Juma ulipozidisha mwendokasi au ulitoa elfu 10 kwa mhudumu wa mahakama akugongee muhuri documents zako kwa...
 4. AlphaPii

  Msaada wa swali lifuatalo

  Swali la nne vipengere vyote
 5. Concoo

  Swali, yupi wa kuoa, anayekupenda zaidi au unayempenda zaidi na kwanini?

  Habari zenu wana jf Uzi wangu wa kwanza huu nitililike kwenye mada. Kijana mwenzenu naelekea kutwaa jiko ivi karibuni ivo nlitaka kufahamu ni aina gani ya mke ni sahii kuishi nae maisha ya ndoa ili kama nimeingia cha kike njipange hesabu za kuish nae ama kama nmepatia niingia mazima. Huyu...
 6. K

  Swali Kwa Wataalam wa ndege (birds)

  Naomba kujuzwa ni kitu gani hasa kinachomuongoza ndege kuchagua mwenzi wake anayemfaa? Maana huwa napendezwa sana ninapowaona ndege dume na jike wakishirikiana kwa utaratibu na wororo mzuri sana!
 7. K

  Swali : Nani mchunguzi mkuu wa matumizi ya Benki Kuu Tanzania?

  Ningependa kujua ni nani mchunguzi mkuu wa Benki Kuu ya Tanzania? Navyosema mchunguzi ni kwa matumizi ya bank kuu na budget za kujiendesha kama kulipa wafanyakazi, majengo, uendeshaji wote wa shughuli za kibank. Wasiwasi wangu ni kwamba bank kuu yetu ya Tanzania haijapewa mandate ya kusaidia...
 8. Tlmau

  Swali dogo lakini kubwa sana

  Kuwa mkweli hivi uli survive vipi kile kipindi unemaliza chuo,umekaa nyumbani Kama miaka miwili hivi haujapata ishu ya maana, na hata vitu vyako vidogo ulivokua unafanya vilifeli. Ulifanyanye ilipofika kile kipindi hata wale wanao wa karibu walianza kukukataa kuona kwamba utakua mzigo...
 9. beth

  #COVID19 Tanzania kupokea dozi milioni 2 za chanjo aina ya Sinopharm

  Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Tanzania inatarajia kupokea Dozi Milioni 2 za Sinopharm kutoka Nchini China. Kwenye chanjo hiyo, mtu atapokea dozi mbili tofauti na Johnson & Johnson ambayo inachomwa mara moja Akizungumza kutoka Mkoani Singida, Msigwa ameeleza kuwa idadi ya...
 10. M

  Huyo anaitwa Djigui Diara, kuna mwenye swali!

  Nafikiri mpaka hapo hakuna swali kwa golikipa wa kimataifa raia wa Mali, Yanga mpira mmecheza hongereni sana.
 11. Meneja Wa Makampuni

  Swali muhimu: Hivi mwenye cheti cha VETA analipwa sh. ngapi kwa mwezi?

  Mimi huwa nashangaa baadhi ya watu wakishauri kwamba vijana wetu wasomee VETA wasiende degree, Je mtu akiwa na cheti cha VETA analipwa mshahara sh. ngapi kwa mwezi. 😅😅😅😅😅
 12. Mzee Mwanakijiji

  Swali Fyatu: Utendaji wa Shughuli za Mahakama Unatungwa na Nani na Kwanini?

  Ni swali ambalo limetokana na yanayoendelea katika sakata la Mbowe. Wabunge wanarushwa mubashara. Tunasikia mawazo yao, malumbano yao, na hata ufyatu wao. Tunasikia wakishangilia na wakizodoa; tunawasikia wakicheka na kuchekana au kuchekeana. Vyombo vya habari vya taifa na vya binafsi vinapewa...
 13. P

  Swali Physical Geography

  Kama dunia imegawanyika katika vipande viitwavyo plates, je katika mpasuko huo,kwa mujibu wa nadharia ya "continental drift", kuwa dunia imezungukwa na bahari, kwahyo kila kipande kinaelea kwenye maji au mpasuko ulitokea juu tu ila chin ya bahari kuna base inayo shikiria kila plate? Msaada kwa...
 14. K

  Naweza kuendelea kutumia akaunti ya Benki ya CRDB niliyositisha matumizi yake kwa miaka minne?

  Nina Account yangu sijaitumia sasa huu mwaka wa nne. Tafadhali, nifanyeje ili nianze kuitumia?
 15. Evarist Chahali

  Huu ni Udhalilishaji anaofanyiwa Rais Samia. Swali ni amelazimishwa au ameridhia?

  President of Tanzania, Samia Suluhu Hassan as "a special tour guide"
 16. M

  Swali fikirishi linalotaka majibu fikirishi

  Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu CCM na CHADEMA karibu kila chama kimekuwa kikijinasibu kina wafuasi wengi wanaowaelewa Hoja yangu ni hii Taifa letu limeleta chanjo milioni 1 ambazo hadi sasa inasemekana zimetumika chanjo chini ya laki nne Kwa muda sasa najua wafuasi wengi wa CCM hawana...
 17. darcity

  Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

  Nashauri serikali imfungulie mashtaka Wakili Msomi Tundu LISSU kwa kutoa taarifa za uongo na kusababisha taharuki kuwa Rais ametekwa/amewekwa mateka na Waziri Mkuu ndiye anaongoza nchi. Hata Kama yupo nje ya nchi anapaswa kuheshimu uhuru wa maoni. Mara nyingi akihojiwa na vyombo vya habari...
 18. The Palm Tree

  Video: Kumbuizi ya miaka minne (4) ya kupigwa risasi 37, Tundu Lissu ajibu swali la kupigiwa simu na Dr. Willbroad. P. Slaa...

  TUNDU LISSU: "hajawahi kunipigia simu, zaidi ya kwamba nilimsikia akizungumzia kushambuliwa kwangu kwenye vyombo vya habari...." TUNDU LISSU: "....alichokisema hakikuwa necessary, ni bora sana angekaa kimya...." Msikilize mwenyewe. Kisha toa maoni yako au toa "like" basi....
 19. Superbug

  Swali la kipombe: Kuishi demu Marekani kwa amani na kuishi Afghanistan mwanaume Ila utauawa na Taleban, kipi Bora?

  Hili swali nimejiuliza hivi kuishi mwanamke USA New York maisha yako yote au kuishi kidume Afghanistan halafu baada ya miaka kumi au 20 unajikuta kwenye war zone halafu Taleban wanakuhisi ni traitor wanakuuwa kwa kukukata shingo kwa kisu polepole ungechagua kipi? Mimi mzee baba ningechagua kuwa...
 20. M

  Bado kuna mwenye Swali juu ya Unafiki mkubwa wa Watangazaji wa Vipindi vya Michezo Redio za Tanzania?

  Juma Khatib ( Antonio Nugaz ) alipokuwa Yanga SC... "Haji Manara hana uwezo na bado kabisa hajaweza kumfikia Antonio Nugaz kwa Kuhamasisha, Kushawishi na kupiga Madongo ya maana na huyu ndiyo kiboko yake" Juma Khatib ( Antonio Nugaz ) baada ya kuondoka Yanga SC Jana... "Haji Manara hana...
Top Bottom