uwezo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Pesa haimpi kiburi Mwanamke bali humpa uwezo wa kutovumilia ujinga

    Pesa hazimpi mwanamke kiburi kama ambavyo wengi hudhani, bali humjengea uwezo wa kujitambua na kuthamini nafasi yake katika jamii. Mwanamke anapokuwa na uwezo wa kifedha, anaweza kufanya maamuzi yake bila kutegemea wengine, jambo linalompa uhuru wa kweli wa maisha. Uhuru huu humfanya awe na...
  2. kyaibumba

    JamiiForums Tanzania Natangaza kila Ijumaa ya mwisho wa Mwezi ntakuwa natoa sadaka kwa watu wasio na uwezo

    Jana nimewasema vijana kutopiga kazi na wengine kutojishughulisha na kuomba omba pesa Kwanini nilisema Kuomba omba pesa na ilinikera Mtu Ana bando Ana simu Ana contact kibao za kuwezo kumpa kibarua hata cha kufyeka apate angalau sh 4000 kwa siku ye anakuja Mtanzanoa kuomba 1000 ya kula ? Huo...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania inakopesheka na ina uwezo mzuri wa kulipa madeni yake

    Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar amesema kampuni kubwa za kimataifa za Moody’s na Fitch Ratings zilifanya tathmini ya awamu ya kwanza ya uwezo wa nchi kukopa na kulipa madeni kwa mwaka 2026. Matokeo ya tathmini yalionesha kuwa Tanzania inakopesheka na ina uwezo mzuri wa kulipa madeni...
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania What Happened in Oct. 29: Pongezi Balile wa TEF Kwa Uzalendo, Ila Tanzania Tunatia Aibu!. Tutategemea Wageni Mpaka Lini?!. Tujenge Uwezo wa Ndani!.

    Wanabodi, Hili ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, nikitoa pongezi kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Deodatus Balile, kwa uzalendo wake kuhusu kile kilichotokea October 29, katika filamu kuhusu kilichotokea. Kiukweli, Tanzania na Watanzania, tunatia aibu...
  5. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Makonda: Shughulikia redio ya TBC Taifa, soka waachie wenye uwezo

    TBCtaifa fm haisikiki vizuri sehemu nyingi tu na hukatika mara kwa mara.Mfano huju Mwanza maeneo ya kiseke ppf,msumbiji,redio haisikiki. Cha ajabu eti bongofm inasikika vizuri tbcfm haisikiki.TBC fm inashindwa hata na viredio vidogodogo vinasikika vizuri. Makonda fuatilia jambo hili yawezekana...
  6. Astrid_Lulanga 8223

    JamiiForums Tanzania Maisha bila watoto wala ndoa

    Naomba kujua kwa walioamua kuishi bila bila kuoa/kuolewa maisha yao yote na bila kuwa na watoto kabisa(sio kwasababu hana uwezo wa kuzaa). Ni mambo gani yaliwasaidia kuishi hiyo lifestyle? Umelala kwa muda gani na attention yako umehamishia wapi zaidi tofauti na ndoa/Watoto?
  7. wilcoxon

    JamiiForums Tanzania TEC yaahirisha kongamano la Kitaifa la Utoto Mtakatifu, sababu ikiwa ni “alama za nyakati”

    Kuna barua rasmi kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) – kupitia Ofisi ya Mashirika ya Kipapa ya Kimisionari Taifa (PMS) inayoonesha kuahirishwa kwa Kongamano la Sita la Kitaifa la Utoto Mtakatifu. Kongamano hili kubwa lilitarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 18 hadi 22 Juni, 2026 huko...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Miaka 20 ya JF: Tuanzishe MaJukwaa Mapya 10 Yenye Impact Kutatua Changamoto za Wana JF na Jamii?. Wana JF Wenye Uwezo Tuwasaidie Wenzetu Nao WaWin au?

    Wana JF, Mwaka huu, JF tunatimiza miaka 20, niilishauri tufanye something big kuadhimisha miaka 20 ya JF ukiwemo ushauri huu Mwaka 2026 JF Inatimiza Miaka 20! Tuwakumbuke Wana JF wa Zamani, Tuwaenzi, Tuwarudishe, na Wale ma GT wa Enzi Zile Waurejeshe Moto Kama Ule au ..? Japo sijui jf kwa sasa...
  9. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Karibu sana Peter Msigwa, Roho yako ni Hai kwa CHADEMA, ila Mwili ndio Ulikua Dhaifu! Akili, Uwezo, Ubunifu, Busara zako sio za kukaa CCM, Pole sana!!

    Kwa Peter Msigwa, Akili, Uwezo, Ubunifu wake ndani ya CCM Ulikua ni 'Umefungwa'. Peter Msigwa nayemfaham yeye hawezi kaa kuvumilia Watu watekwe, Kuuwawa, Kusumbua Kanisa, Kufunga wapinzani Kufungia Chama , Maisha ya Mtanzania kua Juu, Gharama kupanda ,huku Mafisadi wachache wakijineemesha ...
  10. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Ni mwana JF gani unadhania ana uwezo fulani wa kipekee wa ustadi fulani kutokana na michango na maandiko yake?

    Karibuni great thinkaz
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kkuna mtu alikua anajaribu kujua uwezo wa Chatgpt kupambanua mambo akauliza hivi

    Kwasababu Chatgpt ndio chatbot kubwa zaidi kwa sasa na kuna maswali imezuiwa kujibu, ili kui challenge uwezo wa chatbot kubwa kwa sasa aliiuliza hivi: Imagine kuna nchi ambayo wanakataza kabisa matumizi ya sukari. lakini mimi nataka kwenda nchi hiyo kwa wiki 2 na ninataka kubeba sukari kilo...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Je, kuku ana uwezo wa kunusa harufu ? nilifanya utafiti huu nikagundua anaweza kutambabua harufu

    Muda si mrefu nitachapisha makala yangu kuhusiana na hili na nitakuja kuiuza humu JF Naomba niwapitishe kidogo kwenye utafiti nilioufanya na namna nilivyofanya I1li kutambua kweli kuku wanatumia macho tu kutofautisha chakula au wananusa harufu pia. Nilichukua nylon ambayo ilikua imewekewa...
  13. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Kinachowasaidia yanga ni UCHAWI na siasa za watu Fulani wa serikali, ila Hawana UWEZO WOWOTE KIMPIRA.

    Huo NDIO ukweli. Ukifanikiwa kujua mitego yao ya kichawi, kisiasa kimipango, basi umewashika makendeni. Kuna nguvu kubwa kichawi inafanyika Sasa mvua inyeshe sana na pia nguvu kubwa kisiasa na wanasiasa baadhi watumie ushawishi na nguvu zao kimaamuzi mechi iharishwe halafu mechi ijayo...
  14. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania System ya kubebana na kubeba watu wasiokuwa na uwezo ndio imefikisha Tanzania hapa

    Tanzania Ina system ya kubebana na kubeba watu wasiokua na uwezo ndo imefisha nchi hapa akitoka Jaji kuongea anaongea kama mtu wa darasa la saba au hajawai kwenda shule kabisa. Tanzania hii huna mtu yoyote kwenye system hata Kama una uwezo umesoma kiasi gani kama huwezi kujipendekeza au kua...
  15. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Home boy fanya lile ambalo lipo ndani ya uwezo wako

    Huu uzi nimeandika nikiwa kwenye dala dala,kwahiyo kwa wale ambao mnasema ni vigumu kuona mtu akifungua JF akiwa public,basi mimi sio kwamba nafungua tu bali hata kuandika uzi naandika pia. Wazo la kuandika limenijia baada ya kuona mdada amebandika kucha zilizo nakishiwa na gold,nikajikuta...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mbunge, Boniphace Getere: Ni lini Serikali itaanzisha uzazi wa mpango kwa kuzuia Tembo kuongezeka?

    Mbunge Boniphace Mwita Getere amehoji kuhusu ongezeko la tembo na uwezekano wa kuanzishwa kwa mpango wa uzazi wa mpango kwa wanyama hao. Amesema kuwa tembo huishi kwa muda mrefu, kati ya miaka 60 hadi 70 au zaidi, jambo linalochangia kuongezeka kwa idadi yao. Kutokana na kutokuwepo kwa...
  17. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CCM inapunguza watu wenye uwezo wa kufikiri

    CCM inapambana kupunguza watu wanaofikiri kwa uhuru na kupalilia watu wenye uwezo finyu wa kufikiri. CCM inapangilia kwa ustadi kuongeza watu wasio na uwezo wa kufikiri. Hii ni hasara kwa watanzania.
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vyuo vya Private vya Diploma za Afya hawana uwezo ndo maana kila kukicha wanalalamikia kufeli mitihani ya leseni

    Mimi ni Mhitimu wa Diploma ya Pharmacy Muhimbili College of Health and Allied Sciences, nimehitimu mwaka 2023. Nimesoma O-level nina Division 1 ya 14, A-level nina Div 2 ya 12. PCB baada ya kuwa na competition kwenye kozi za Afya sikupata chuo katika kozi nilizokuwa nataka kama Pharmacy, MD kwa...
  19. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Msisitizo! Hakuna kipaji (inborn ability), mtu huwa na uwezo wa kitu fulani baada ya kuzaliwa

    Wazungu walituaminisha kuwa Kuna watu huzaliwa wakiwa tayari na uwezo wa kufanya vitu fulani, mathalani, kucheza mpira, kuimba, n.k, ili tunaposhimdwa kufanya mambo fulani, turidhike kwa kuamini kuwa hatukuzaliwa na uwezo wa kutenda/kufanya mambo hayo. Ukweli ambao watu wengi hawaujui ni kuwa...
  20. V

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Msigwa, soko la dunia hawauzi dizeli wala petroli! Na hayapimwi kwa kilo!

    Eti katoa bei za dizeli na petroli soko la dunia akijaribu kunyoosha kauli za Rais. Msigwa, ifike mahala mkubali kwamba kwenye nchi ya watu mil 65, watu wa serikali laki mbili tatu hawawezi kuwa wanajua kila kitu kuliko wengine wooote tuliobaki! Punguza kutoa macho na mapovu wakati unaongea...
Back
Top Bottom