Search results

  1. MoseKing

    Picha: Kama umenunua Kiwanja, nyumba au Pagale ndani ya Jiji la Mwanza, ni zaidi ya 98% utakuwa umetapeliwa na huyu mtu

    Jina lake halisi anaitwa GAHAI WARIOBA MAPENGO. Ana vitambulisho feki na majina feki na namba nyingi za simu. Baadhi ya majina anayotumia ni HERI SWAI. Ana timu kubwa ya utapeli kila Kona ya mji, ikiwa na WAZEE, vijana na wanawake na mabibi. Maeneo yote ya Kisesa Igudija, Nyashishi, Ilemela...
  2. MoseKing

    Rasilimali za nchi zina wenyewe, nchi inaendeshwa kwa pesa za sigara, bia, pombe, vinywaji, kamari na PAYE tu

    Mchanganuo. - Mikopo inayokopwa inaonekana ndio hutumika katika (Miradi mikubwa kama SGR, Rami, Nyerere Gorge na kulipa mikopo mingine. - Tozo za Mafuta na simu hufanya (miradi midogo Kama madarasa, majengo ya Vituo vya Afya ) - Misaada kutoka kwa wazungu ndio hugharamia huduma za (Afya) -...
  3. MoseKing

    Ukiachana na TEUZI, ni mabadiliko gani Samia ameleta nchi hii mpaka Sasa?

    Sheria kandamizi ziko vile vile Teuzi za Watoto wa vigogo Kama kawaida Nchi Ina vimfumo lundo ambavyo hata yeye mwenyewe hajui chochote Mikataba mibovu ni Kama maji ya kunywa Matumizi mabovu ya Pesa za umma kununua magazeti, media n.k Masuala ya katiba yamekufa kifo Cha mende .Ni kanyaga twende...
  4. MoseKing

    Sensa 2022: Matokeo yanaonesha Watanzania wengi "hukata moto" miaka ya 30+. Je, ni hali mbaya ya maisha?

    Ni Kwasababu ya ugumu wa maisha? Au kutokana na ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza? Au ni kutokana na mtindo wa maisha?
  5. MoseKing

    Msimu wa Mateso kwa Watumishi: Halmashauri zimeanza kuwatishia Walimu na watumishi wengine kutoa mchango wa Mwenge, 2023

    Yaani kuwa mtumishi Halmashauri ni kama laana, kimshahara chenyewe cha mtumishi ni kidogo, alipe Kodi ya nyumba. Bado Serikali inashirikiana na vyama vya Wafanyakazi kukata pesa za mishahara ya Watumishi bila msaada, then kwenye kimshahara hicho hicho bado unatishiwa na kulazimisha kuchangia...
  6. MoseKing

    Idara ya afya Wilaya ya Rombo imegeuka Kikosi kazi cha kumwaga Chanjo za UVIKO-19, kupika majina ya watu kuwa wamechanja

    This is Tanzania. Yaliyoendelea, yanayoendelea yanasikitisha. Umeona takwimu za chanjo ya UVIKO-19 kuwa 86% ya Watanzania Wamechanja 😅 Kwa sample ndogo ya Halmashauri ya Wilaya ya Rombo kazi iliyokuwa inafanyika inasikitisha. Vials za chanjo za UVIKO-19 zimemwagwa sana kwa kushirikiana na...
  7. MoseKing

    Je, Kituo chako Cha Ajira Kiko Wilaya gani Tanzania, unadhani ni sehemu yenye 'Future' kwako au unatamani kuhamia Mkoa tofauti- Utaje

    Binafsi, Niko Kilimanjaro kikazi lakini hata ikitokea napata uhamisho usiku wa manane nasepa. Kilimanjaro nadhani ni Mkoa wa wastaafu na siyo sehemu ya utafutaji. Na maisha ya huku ni tofauti sana. NI mkoa mdogo sana. Ni mkoa wenye idadi ndogo sana ya watu, mostly wazee. Ni mkoa wenye Ardhi...
  8. MoseKing

    Ukweli usiosemwa: Kwa Tanzania, UTAPELI ni Biashara iliyohalalishwa kabisa isipokuwa kwa wenye mamlaka tu

    Mifumo ya Tanzania kiukweli inasikitisha sana. Masuala ya UTAPELI yamehalalishwa kabisa na watu wanaofanya UTAPELI wanafanya waziwazi bila kificho na hakuna anayewagusa. Tanzania hata siku moja usikae ukafikiri labda ukiwa kama Raia wa kawaida serikaali itakulinda. Suala la kujilinda ni...
  9. MoseKing

    Kuendekeza "Undugulisation" kumeifanya serikali ya Awamu ya 6 imepwaya Mapema sana. Possibly, hali ikawa Mbaya zaidi.

    -Teuzi zimejaa Wakwe, mashemeji was Mitala kina Mchengerwa ambao hata waboronge vipi hawatatumbuliwa. - Teuzi za watoto was vigogo kina Nape, Makamba, ambao kiuhalisia hawanq jipya tRNA zaidi ya kutafuna nchi na kuumiza watu. - Mwugulu akili hana kabisa na hajawahi kuwa na jambo lolote LA...
  10. MoseKing

    Binti Mkenya, Diana Chepkemoi apitia Jehanamu Saudi Arabia, baada ya kwenda kufanya kazi za Ndani

    This Kenyan girl called Diana Chepkemoi, Meru University student who went to find work in Saudi Arabia. She went healthy, now she is ENSLAVED. See her transformation. Our embassy has her location and employer's phone but they are sitting pretty waiting for her to die. Sad!
  11. MoseKing

    DCs waondolewe, DEDs wapewe Nguvu(Ulinzi na Usalama ) Wakuu wa Idara wapewe Nguvu kuhudumia Idara

    Hata kama CCM hawataleta Latina mpya au wanahitaji utitiri wa vyeo ili waweze kutoa fadhila na zawadi, Ni muhimu kupitia muundo wa utawala ili kuboresha kazi, kuondoa urasimu. na kuongeza Tina na kukwepa lawama. Leo, DCs wanalaumiwa masuala ya mapato lakini kiuhalisia DCs hawahusiki kabisa. DCs...
  12. MoseKing

    Tatizo kubwa siyo "Nyongeza ndogo" ya mshahara, tatizo kubwa kukatwa mpaka na vyama vya wafanyakazi (Rais Samia ondoa makato ya lazima ya vyama)

    Makato ya Lazima ya Vyama vya wafanyakazi kwa jina la Ada ya UWAKALA ifutwe. Kujiunga na Vyama vya wafanyakazi libaki kuwa Jambo la hiari. Hii ni DHULMA. Wabunge Wana mishahara ya 3.8M kwanini kiasi kinachoongezwa hawaweki kwenye BASIC kwasababu wanajua kitakatwa. Mtumishi hatakuja kupata...
  13. MoseKing

    Navutiwa kujiunga CHADEMA. Nahitaji kujua MSIMAMO wa CHAMA kuhusu Masuala muhimu yafuatayo.

    1- Je, CHADEMA Ina amini katika FALSAFA za Mwalimu Nyerere ? 2- Ni upi msimamo was CHADEMA kuhusu Mahakama ya KADHI? 3- Ni upi msimamo wa CHADEMA kuhusu HALI YA MUUNGANO? - Wanaunga mkono serikali TATU, MBILI, MOJA, MKATABA au KUVUNJA Muungano? 4- Je, CHADEMA Wana amini kipi kuhusu SOKO...
  14. MoseKing

    Ni nini huwa kinapelekea eneo fulani kujikuta limekuwa na Makazi ya Kishua (wealthy neighbourhoods)?

    Nimejaribu kufikiri lakini sijapata majibu. Je, suala hili Ni coincidence au Kuna kuambizana? Mfano kwa Dar es Salaam, maeneo Kama Masaki, Oysterbay, Mikocheni, Upanga, Mbweni, Msasani, Kijichi. Je, haya maeneo huwa inakuwaje unashangaa watu wenye uwezo kiuchumi KUJENGA sana Mitaa hiyo kwa...
  15. MoseKing

    Pesa inatafutwa mguu kwa mguu ( CHADEMA Kazini )

    Ila ndio hivyo, ukisikia pesa inatafutwa. Hapa Wananchi hawana Maisha magumu tena
  16. MoseKing

    Video: Akili za mashabiki wa Diamond zilivyo

    👇👇👇😥 Imagine ni mwanao na baba yako.
Back
Top Bottom