saudi arabia

  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Bad News: Kijana wa Sri Lanka kunyongwa Saudi Arabia kwa kumkashifu Muhammad.

    Mfanyakazi mhamiaji Mtamil kutoka Sri Lanka, Sivarasa Anojan, amehukumiwa kifo nchini Saudi Arabia kwa sababu ya maoni aliyoyaandika kwenye Facebook ambayo yalionekana kuwa ya kumdhalilisha Uislamu na Mtume Muhammad. Kesi hiyo ilianza baada ya video kusambaa nchini Sri Lanka ikimuonyesha...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Iran wanatuangusha, wanashindwaje kuwajibu Marekani kwa kuishambulia nchi ndogo Israel kama wanavyofanya kwa Saudi, Kuwait, Jordan, Bahrain, n.k.

    Ni miezi inapita Iran ikipigwa na Marekani, inajibu kwa kulenga Saudi Arabia, Bahrain, Kuwait na Jordan kwa sababu tu kuna kambi za Marekani huko. Lakini kuna swali moja lina viulizo vingi, Israel ikiwa hapo jirani kabisa na Jordan, kwanini hairushiwi makombora ya wastani kwa idadi kama wenzake...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rubani alipiga ukunga “ALLAH AKBAR!” kabla ya kumchoma kisu nahodha aliyemzuia asidonoshe ndege Israel, Madaktari wa Saudi Arabia watoa msaada

    Mods naombeni msiunganishe uzi, nyuzi nyingi vichwa havijagusia lengo la rubani pamoja na uhusika wa Saudi Arabia kupeleka madaktari kusaidia abiria. Rubani msaidizi kutoka Oman anadaiwa kujaribu kuchukua udhibiti wa ndege ya Flydubai iliyokuwa ikielekea Tel Aviv, ikiwa na zaidi ya watu 170...
  4. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya semeni ukweli sasa! Tanzania inawasaidia sana; Tanzania yaipiku Saudi Arabia kwa Wakenya nchini Tanzania wakituma KSh1.5 Bilioni nyumbani

    Tanzania imeipiku Saudi Arabia kwa mara ya kwanza kama chanzo cha fedha zinazotumwa Kenya na diaspora, huku Wakenya wanaoishi na kufanya kazi Tanzania wakituma nyumbani shilingi bilioni 1.52 (pesa za Kenya) kwa mwezi Agosti 2026 tu. Kwa mujibu wa takwimu za Benki Kuu ya Kenya(CBK), Wakenya...
  5. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Saudi Arabia kujiunga na Abraham Accorda kutakuwa na faida pande zote Israel na Saudia!!

    Balozi wa Marekani nchini Israel, Mike Huckabee, akizungumzia uhusiano kati ya Israel na Saudi Arabia: Waisraeli wangefurahia sana kufikia makubaliano ya kiusalama na Saudi Arabia, na wangependa kuona Saudia ikijiunga na Makubaliano ya Abraham. Hakuna kusita kwa upande wa Israel katika suala...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hebu Kwanza: Hawa Saudi Arabia Vipi?

    Kuna nchi duniani inayowashinda waSaudi katika ununuzi wa silaha za kivita, silaha za kisasa kabisa! Sasa hawa wa Houthi wanapata wapi hata uthubutu tu wa kuzozana na Saudi Arabia kiasi kwamba makombora yanapigwa hadi ndani mwa Riadh, na nusra mengine yaende Mecca! Kwa nini Saudi walielie na...
  7. O

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Saudi Arabia Imepiga Marufuku Ajira kwa Wakenya?

    Saudi Arabia Imepiga Marufuku Ajira kwa Wakenya? Ubalozi wa Kenya Watoa Ufafanuzi
  8. F

    JamiiForums Tanzania Saudi arabia ardhi ya Tawhid inaenda kuomba msaada kwa israel wasaidiwe ulinzi wa MECCA na madina. ni aibu kubwa sana kwa Allah na Quran

  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia ameanza kumuomba Israel msaada wa intel dhidi ya wahuthi, mnajifanyaga kukaza alafu mnaachia wenyewe😁

    Baada ya wahuthi kupiga hadi mecca , sasa saudi ameona hii ni zaidi ya dharau, lakini saudi anajua hawezi enda kichwa kichwa maana wahuthi ni proxy ya iran na labda pia ina fadhaliwa na syndicate ya muslim brotherhood. Kwa hio anataka acheze kwa tactics dhidi ya wahuthi, ndio maana amewaangukia...
  10. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Highway 10, Saudi Arabia, ndio barabara ndefu bila Kona Duniani. Unaenda Kilometa 240 straight! RIP in Advance!

    Hii road naona kabisa ni death trap ingekuwepo Tanzania. Hamna kilima, hamna Kona kwa Kilometa 240? Karibia Dar - Mikumi.
  11. A

    JamiiForums Tanzania John Heche: Tunaongozwa na watu waliokosa maarifa

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema Serikali ya CCM inaongozwa na watu waliokosa maarifa badala yake wamebaki kutishia wapinzani na kufungua mitandao ya kijamii. Ameyasema hayo Agosti 12 katika maadhimisho ya vijana kimataifa yaliyofanywa na chama hicho jijini Dodoma.
  12. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Marekani yaruhusu Saudi Arabia kurutubisha Uranium bila uangalizi Wakimataifa

    Kulingana na vyanzo na nyaraka walizoziona CNN, utawala wa Trump umekubali kimsingi kuruhusu Saudi Arabia kusafisha uranium ndani ya nchi yake. Tatizo kubwa: Hii itafanyika bila kutekeleza ulinzi wa kimataifa* unaokusudiwa kuzuia utengenezaji wa silaha za nyuklia. "Ulinzi wa kimataifa" kwa...
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa Houth waikoromea Saudi Arabia

    Magaidi wa Houthi kutoka Yemen (Ansar Allah) Wame Toa video ya propaganda yenye kichwa "Jibu Liko Njiani!", ikitishia Saudi Arabia kwa kuonyesha njia panda na viwianishi juu ya viwanja vya ndege muhimu, bandari, na miundombinu ya nishati kote Ufalme, baada ya shambulio la Saudi Arabia leo kwenye...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia yazindua majaribio ya Package Visa ya utalii ili kurahisisha usafiri

    07 Julai 2026 Saudi Arabia yazindua majaribio ya Package Visa ya Utalii ili kurahisisha usafiri Julai 7, 2026 | 12:39 AM Picha maktaba ya jiji ls Jeddah Gazeti la Saudia RIYADH — Saudi Arabia imezindua majaribio ya eVisa ya Kieletroniki kupitia watoa huduma za usafiri na utalii...
  15. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Waislamu wakasirika na kulaani kwa kitendo cha mashoga kufanya sherehe Saudi Arabia.

    Waislamu wakasirika na kulaan8 vikali mashoga kufanya party sherehe saudi Arabia wakati huu wa msimu wa hijja. Inasemekana sherehe hiyo iliruhusiwa na utawala wa MBS mwana wa mfalme. Video hiyo iliyosambaa kwenye Nyau de adriz
  16. Ritz

    JamiiForums Tanzania Trump, anatafuta pakutokea anasema Nimeombwa Qatar, Saudi Arabia, United Arab Emirates, nisiwashambulie Iran.

    Wanakumbi. 🚨Kutoka kwa Rais Trump… “Nimeombwa na Emir wa Qatar, Tamim bin Hamad Al Thani, Mkuu wa Taji la Saudi Arabia, Mohammed bin Salman Al Saud, na Rais wa Falme za Kiarabu, Mohamed bin Zayed Al Nahyan, kusimamisha shambulio letu la Kijeshi lililopangwa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia imepata njia mbadala ya Hormuz kupitishia mafuta yake kwenda sokoni

    Saudi Arabia imeongeza mauzo yake ya mafuta hadi zaidi ya nusu ya viwango vya kawaida licha ya usumbufu kutoka kwa vita vya Iran. Ufalme huo unasafirisha mafuta kupitia bomba hadi bandari ya magharibi ya Yanbu, huku usafirishaji kutoka Yanbu ukiwa na wastani wa mapipa milioni 4.19 kwa siku...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mhandisi Zena Ahmed Said apangiwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amempangia kituo cha kazi Balozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Moses Kusiluka, Balozi Mhandisi Zena Ahmed Said amepangiwa kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Saudi Arabia.
  19. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Heavy fines for agencies and employers in Saudi Arabia in regards to Kenyans working there. Will this help reduce the numbers of deaths?

    Wakati Wakenya wengi wamekuwa wakilalamika kuhusu mateso, passport kushikiliwa na contracts fake, Saudi Arabia sasa imeweka fines kali kwa employers wanaokiuka sheria. Sheria mpya iliyotolewa na Ahmed Al-Rajhi amesema kuwa SR10,000 (KSh 340K) fine for hiring bila valid permit SR200,000 (KSh...
  20. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Iran yatishia kuilipua Al Kaaba Endapo Saudi Arabia Itaendelea na Msimamo wake

    Kumekucha naona Iran wametishia kulipua makazi ya Allah endapo Saudi Arabia itafanya shambulizi lolote dhidi yake. Sijui Allah atapona na kama akipona sijui atahamia wapi, au iran watajenga Al Kaaba nyingine kwao?
Back
Top Bottom