Idara ya afya Wilaya ya Rombo imegeuka Kikosi kazi cha kumwaga Chanjo za UVIKO-19, kupika majina ya watu kuwa wamechanja

MoseKing

JF-Expert Member
Jul 5, 2017
4,924
8,911
This is Tanzania.

Yaliyoendelea, yanayoendelea yanasikitisha.

Umeona takwimu za chanjo ya UVIKO-19 kuwa 86% ya Watanzania Wamechanja 😅

Kwa sample ndogo ya Halmashauri ya Wilaya ya Rombo kazi iliyokuwa inafanyika inasikitisha.

Vials za chanjo za UVIKO-19 zimemwagwa sana kwa kushirikiana na timu ya uongozi wake Afya ya Wilaya na hivyo KUPIKA majina bandia ya chanjo.

Yasemekana kwasasa ukaguzi rasmi wa Data (Data verification) hivyo watu hawalali wanapika vitabu kwaajili ya Wakaguzi.

Je, Hali iko hivi nchi nzima?
 
Watetea chanjo huko U.S nao wameshindwa kuzitetea chanjo zao mbele ya Supreme Court kama chanjo ni salama na kweli zinaweza kupambana na Vurus vya Covid! Mwisho wa siku Court imeona chanjo zilikuwa za mchongo.
 
Hehehe
 
Mr. White Says 'Calm down, relax and wait for the next PANDEMIC' (And I'm sure you will duped again !!!)
 
Kuna mmoja alinifuata ananiomba nimpe elfu 4 animpe cheti cha Covid-19 bila kupimwa
 
His opinion?

How about yours?
Wewe ni mtumishi hapo rombo alafu una chuki Kali na wachaga
Hebu tembelea maeneo yafuatayo ujionee maendleo
Nenda mokala,ushiri,ibukoni,shimbi,mashati,usseri,mahida,mengwe,manda Yan kupo Safi kbs Anza na makazi AFu urudi hapa
 
Mtu akisema ukwli siku hizi ni chuki
 
Nilipewa offer ya kupata cheti cha UVIKO pasi na kuchanja
Vyeti mbona vilikuwa vingi tu na vilikuwa vikipatikana Kwa elf 20 tu...........mtu anachukua namba ya NIDA na namba ya Simu......nusu saa tu unaenda kuprint gamba
 
Mtu akisema ukwli siku hizi ni chuki
Una chuki binafsi na wachaga
Tembelea vijijini hko utajionea tofauti
Jamii ya kichaga Iko tofaut kbs vijijin hudumaa karibia zote unazipata hko uko ni jambo la kufurahisha wachaga vijijin karibia 80% wanatumia gesi
 
Back
Top Bottom