• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

mshahara

 1. E

  MShahara wa Tutorial assistant part time kwa Tutorial assistant vyuo vya public Tanzania huwa ni shillings ngapi naomba kujua??

  Hivi Mshahara wa Tutorial assistant wa part time kwa vyuo vya public huwa ni shillings ngapi ?
 2. T

  CoronaVirus: Mgonjwa wa kwanza wa corona apona Kenya. Watumishi wa Serikali akiwemo Rais kupunguziwa mishahara

  Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametangaza kuwa mtu wa kwanza amepona kabisa ugonjwa wa corona. ''Hii inamaanisha kuwa ugonjwa huu unaweza kukabiliwa''alisema rais Kenyatta katika hotiba yake kwa taifa. Idadi ya walioambukizwa ugonjwa wa corona nchini Kenya imefikia 28. Rais pia ametangaza hatua...
 3. Masanjaone

  Mshahara wa mwezi March upo tayari

  Wapendwa mshahara umetoka nendeni mkachote hela mje mlipe madeni ya maji, na vibanda vya chakula. Msisahau nauli za watoto kurudi shule maana tarehe 17 imekaa kushoto.
 4. K

  Tetesi: Mshahara wa Machi vipi? Watoto wanahitajika kurudi toka shuleni kwa likizo ya dharura

  Mshahara wa mwezi huu vp jamani watoto wanahitajika kurudi toka mashuleni kwa likizo ya dharura.
 5. H

  Jamaa hachukui mshahara lakini anaichuna nchi kisawasawa

  https://www.theatlantic.com/ideas/archive/2020/02/why-does-billionaire-charge-secret-service-650-night/606253/?utm_campaign=the-atlantic&utm_medium=social&utm_source=facebook&fbclid=IwAR3y_iyU3RnN2EFxwCwKcyEf9G4_tGJNo1u7cSjbUpfEEJCVZVE3mMdOAbY
 6. mjusilizard

  Ongezeko la Mshahara na Uhuru wa Uchumi

  Hongera kwa kuongezewa mshahara! Unadhani sasa ni muda wa kuongeza simu mpya, gari ama nguo mpya? HAPANA! Usifanye hivyo aisee, jitahidi uendelee kuishi kama ulivyokuwa hujaongezewa na helauliyoongezewa itunze yote 100% baada ya miezi 12 hivi au zaiid. Uhuru wa kiuchumi unakuja namna hii...
 7. J

  Je, Katibu Mkuu wa CHADEMA analipwa mshahara? Mbona Dkt. Slaa na Dkt. Mashinji wameondoka wakiwa wadaiwa sugu wa benki?

  Jana nilimsoma pahala humu JF mkuu Douglas Sallu akiwa ametoa tangazo la benki fulani likiwataja kwa majina na picha wadaiwa sugu wa benki hiyo. Miongoni mwa wadaiwa hao yumo Dr. Mashinji. Dr. Slaa alipoondoka Chadema naye alikuwa na deni na nyumba yake kule mbweni almanusura ipigwe mnada sema...
 8. T

  Mfanyakazi wa Serikali mmoja huku Idukilo kasema kwa masikitiko bado anatumia mshahara wa enzi za Kikwete

  Ameongea kwa masikitiko sana sana kuwa ameshindwa kutoa rejesho la mkopo niliomkopesha wa shilingi laki 3 kwa sababu mshahara anaoutumia mpaka sasa ni wa wakati wa JK haujapanda na wakati maisha yamekuwa magumu mno. Nikamwambia lkn vipi mbona watoto wenu wanasoma bure, huoni kama mmesaidiwa...
 9. Analogia Malenga

  Mghwira aagiza Mkurugenzi Mwanga asilipwe mshahara kwa kushindwa kujibu swali

  Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira ameagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga Zefrin Lubuva asilipwe mshahara wa Februari hadi atakapojirekebisha. Hatua hiyo imekuja baada ya Mghwira kukasirishwa na kitendo cha mkurugenzi huyo kushindwa kujibu maswali aliyomuuliza kwanini...
 10. mwanamwana

  Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye arejea CCM, alijiengua CHADEMA baada ya kuambiwa na Mbowe 'Sumu haionjwi kwa kuilamba'

  SUMAYE AREJEA RASMI CCM Waziri Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye leo Februari 10, 2020 ametangaza kurudi Chama cha Mapinduzi (CCM) Disemba 4, 2019 alitangaza kuachana na CHADEMA huku akidai alikosea kudhani kuna demokrasia ndani ya chama hicho. Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye alijtoa CCM...
 11. Black Mirror

  Mh. Rais Magufuli, usipoongeza mshahara 2020 ruhusu uhamisho

  Mheshimiwa Rais Magufuli wa Tanzania, wewe ndiye mwenye mamlaka ya mwisho kwa kila kitu hapa Tanzania. Mara nyingi umekuwa ukiwasihi watumishi wavumilie kuhusu kuongezewa mishahara kama inavyopaswa kuwa kwani sasa hivi unajenga nchi, lakini mheshimiwa unapaswa ukumbuke kuwa maisha hayasimami...
 12. I

  Naomba msaada wa kisheria: Nimepandishwa cheo ila bado mshahara wa zamani

  Heshima kwenu wakuu. Naomba ushauri wa kisheria. Ninafanya kazi kampuni binafsi. hawa wanaoitwa wawekezaji. Mwaka 2018, miezi kama 18 iliyopita nilipandishwa cheo.Cha ajabu nimeendelea kulipwa mshahara uleule wa cheo cha zamani na kila nikimuambiwa muajiri wangu anachukulia poapoa. Vilevile...
 13. matokeotz

  What is the average salary of software engineer in Tanzania? Wastani wa Mshahara wa sofware enjinia ni kiasi gani?

  Hello, I am wondering what is the average monthly salary for developer/software engineer in Tanzania? Junior/Senior levels? Je mshahara wa programa wa kompyuta ni kiasi gani kwa mwezi? wastani. asanteni
 14. superbug

  Walimu kama mmepata mshahara tulipeni madeni yetu.

  Walimu kama mshalipwa mtulipe bana hii gvt yenu si inawajali? It pays you on time and a lot of money na mmeongezwa mishahara sijui madaraja nk. So plz lipeni madeni yetu huku mtaani. Wiki hii ikiisha naanza kuwafukuza kwenye nyumba yangu.
 15. Bonde la Baraka

  Tunaosubiri mshahara wa Januari tukutane hapa

  January ishaanza kufika ukingoni na saa tunasubiri ujira ambao ni haki yetu ya msingi. Najua kuna simbanking na internet banking lakini utamaduni wetu wa kupeana updates tuuendeleze. Ukiuona mshahara tuambie mithili ya Waislam wanavyojuzana pindi mwezi unapoandama ili wale Eid
 16. A

  Haya ndio matumizi sahihi ya mshahara wako

  Mshahara ni malipo/ujira anaopokea mtu baada ya kutekeleza majukumu yako katika kipindi fulani kwa mujibu wa makubaliano. Mshahara unaweza kuwa mkubwa au mdogo kwa kulinganisha kiwango cha uzalishaji,gharama za maisha na mtazamo binafsi. Kuna mtu au mazingira ambapo mshahara wa TZS ni 170,000...
 17. R

  Natafuta kazi ya uhasibu

  Mimi ni kijana wa miaka 23 natafuta kazi ya kusomesha au ya uhasibu. Elimu yangu ni Diploma, mshahara ni maelewano chochote kitakachokuwepo basi tukikubaliana naweaz kuungana kufanya kazi. Nipo Zanzibar 0772 333 435.
 18. kidadari

  Natafuta Kampuni inayokopesha viwanja na kulipa kwa kukatwa kwenye mshahara

  Nahitaji kiwanja maeneo ya KIBAHA au CHANIKA ila sina hela cash hivyo kama kuna kampuni inayokopesha viwanja na kulipa kidogo kidogo kwa kukatwa kwenye mshahara wangu nipo tayari. -Kiwanja kiwe na sqm 600 au zaidi. -Bei isizidi milioni 3. -Muda wa makato ni miaka mingapi? -viwe vimepimwa itakua...
 19. mohamedidrisa789

  Dereva wa magari madogo anatafuta kazi kwa mshahara wowote ule wala hachagui kazi

  Dereva wa magari madogo anatafuta kazi yoyote ile ya udereva.yupo dar es salaam, ana uzoefu wa kuendesha magari ya aina yoyote ile na hachagui kazi. Mawasiliano 071666219 na 0621537507
 20. Makirita Amani

  Tabia kumi za mshahara zinazokufanya uendelee kuwa masikini

  1. Mshahara haujawahi kutosha. 2. Ongezeko la mshahara huwa haliendani na ukuaji wa gharama za maisha. 3. Mshahara huwa unaleta uteja, unapozoea kupokea kila mwezi unakuwa kama mlevi. 4. Mishahara huwa haikutani. 5. Mshahara hutengeneza tabia ya ukopaji sugu ambayo inakuwa mzigo zaidi. 6...
Top