mwanza

 1. N

  Ni aibu kusema Mwanza ni jiji la pili, limechoka, linachekesha, halmashauri hazina hela

  Kama anakuja mgeni mwanza unamuambia eti mwanza ndilo jiji la pili Tanzania atakushangaa sana,last time nilikuwepo huko 6 years ago kulikuwa na ahueni,nipo huku sasa kwa miezi kadhaa tangu mwaka jana Ndugu zangu ambao hamjaja mwanza muda mrefu hali ya huku ni kichekesho,ngoja niseme machache...
 2. Jamii Opportunities

  New Internship Opportunities at FHI 360 MWANZA: Project Interns

  Position: Project Interns - Mwanza, Tanzania Location: Mwanza FHI 360 is a non-profit human development organization dedicated to improving lives in lasting ways by advancing integrated, locally driven solutions. Our staff include experts in Health, Education, Nutrition, Environment, Economic...
 3. K

  Natafuta shamba au kiwanja Mwanza/ Sengerema

  Natafuta kiwanja au shamba eneo la Busisi / Kigongo feli Mwanza au upande wa kuelekea Sengerema. Eneo liwe barabarani Ukubwa wowote kuanzia nusu hekari hadi hekari 2. -Eneo liwe barabarani linaweza kuwa na hati au halina. -Linaweza kuwa limepimwa au halijapimwa. Uaminifu ni muhimu malipo...
 4. beth

  Mwanza: Moto wateketeza vibanda vya biashara zaidi ya 30

  Vibanda zaidi ya 30 vya wafanyabiashara ndogondogo maarufu machinga wapatao 200 vimeteketekea kwa moto ulioanza majira ya saa 10 usiku katika eneo la Makoroboi jirani na msikiti wa Wahindi jijini Mwanza. Vyanzo vya habari vinaeleza kwamba moto huo umesababishwa na hitilafu ya umeme na...
 5. Sinister

  Kenyan Girl Running Multi-million Online Empire

  Fortune favours the bold and Ivy Kungu is one girl who decided to go after her fortunes from a tender age. Born in Baltimore, Maryland, her everyday looks and creative makeup concept have made her a huge hit across all her social media platforms. According to networthstats.com, the young...
 6. J

  RAS mpya wa Mwanza yawezekana ndiye Mbunge mtarajiwa wa Kigoma mjini atakayemrithi Zitto Kabwe

  Kama ilivyokuwa kwa Harmonize yawezekana kabisa huyu RAS mpya wa Mwanza ndiye chaguo la CCM kwa Kigoma Mjini. Wakati wa kumuapisha, Rais Magufuli amesema anampeleka kijana huyo mtaalamu wa masuala ya fedha jijini Mwanza ambako ni jirani na kwao Kigoma lakini hategemei kama atatumia ukaribu huo...
 7. M

  Ushauri: Kampuni ya Twiga ijenge jengo la Makao Makuu Jiji Mwanza waliite Madini House

  Serikali na kampuni ya barrick wameunda kampuni inayoitwa TWIGA ambayo ni ya ubia kati ya hizo pande mbili. Ushauri wangu kampuni ya TWIGA badala ya kukodi jengo LA kufanyia shughuli zao, ingekuwa vyema wangejenga jengo la kudumu na kuliita MADINI House kama kumbukumbu ya makubaliano hayo!
 8. S

  Hivi gari za kutoka Mwanza kwenda Mbeya zinafika saa ngapi Mbeya

  Nauliza basi za Mwanza kwenda Mbeya zinafika huku saa ngapi na huwa zinalala njiani au ni moja kwa moja? Ikiwezekana nipatieni na mawasiliano yao hapo Mwanza.
 9. Barbarosa

  Sasa Mwanza tuigeuze ,,Egoli“ yetu!

  Mji wote wa Johannesburg nchini AK ulijengwa na dhahabu ya nchi hiyo, hivyo sasa tumeanza ukurasa mpya nimesikia makao makuu ya Kampuni yetu ya Dhahabu ya Twiga yatakuwa Mwanza City, hivyo hiyo ndiyo ,,Egoli“ yetu, kazi ni kwetu tu sasa, ... Egoli, AK, Mji wote wa Johannesburg ulijengwa na...
 10. Craig

  Champion Investment matapeli Mwanza

  Habari za kazi wanajamvi. Nimetapeliwa na kampuni inaitwa CHAMPION INVESTMENT ipo Mwanza wanajinasibu wamesajiliwa kisheria. Nitaambatanisha nyaraka zao hapa chini. Wanachofanya ni kukuunganisha kwenye group lao la Whatsapp halafu wanakwambia uwekeze kuanzia laki moja na na kuendelea baada...
 11. James William

  Jipatie dagaa safi wa Mwanza waliokaangwa

  Kwa wale wapenzi wa dagaa safi waliokaangwa kutoka Mwanza wakati ndo huu sasa wa kuchukua mzigo unaohitaji. Tunapima kulingana na mahitaji ya mteja na mzigo ambao mteja anauhitaji. Wanaohitaji mzigo mkubwa zaidi utahudumiwa, hata kwako wewe unayehitaji mzigo kidogo utapata kuanzia sh 1000 tu...
 12. Wangari Maathai

  Nauza dagaa wa Mwanza

  Heri ya mwaka mpya! Ninauza dagaa wa Mwanza ukitaka kuwa wakala nicheki tufanye biashara kwa bei nzuri sana na wale wanaoagiza gunia chache chek na mimi! Natuma mikoa yote Tanzania! dagaa hawana mchanga kabisa wapyaa!.. mawasiliano: 0688 590080 airtel 0626 740265 halotel
 13. elivina shambuni

  Bil 3/- zatua Mwanza kulipa fidia ujenzi daraja Kigongo - Busisi

  JUMLA ya Sh bilioni 3.145 zimepokelewa mkoani Mwanza na Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), kwa ajili ya kuwalipa fi dia wananchi. Watu hao ni watakaopisha ujenzi wa Daraja la Kisasa la Kigongo- Busisi lililopo Wilaya za Misungwi na Sengerema mkoani Mwanza. Hilo ndilo daraja...
 14. K

  Malipo ya maegesho ya magari jijini Mwanza sio haki

  Nimebahatika kutembelea jijini Mwanza mwisho wa mwaka huu na nimekutana na kitu cha ajabu ambacho sijawahi kukiona duniani kokote kuhusu jinsi ya kulipia maegesho ya gari. Mtu anakuja kuscan plate number yako bila hata wewe kujua, hivyo ni wajibu wako kujua hata kama ni mgeni kuwa unatakiwa...
 15. Influenza

  Mwanza: Achanwa tumbo hadi kutolewa utumbo kwa kuhoji matumizi ya Tsh. 10,000 aliyoacha asubuhi

  Benedictor Gogogo (48) mkazi wa kijiji Cha Itabagumba Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza nchini Tanzania amenusurika kifo kwa kuchanwa tumbo na kitu chenye ncha kali hadi utumbo kutoka nje baada ya kutokea ugomvi kati yake na mke wake. Akizungumza na Mwananchi kwa simu leo Alhamisi Januari 2...
 16. C

  Mnyika atambue kuwa sisi Wasukuma wa Mwanza si kama wanaume wa Dar es Salaam, Chifu gani tena wa kisukuma unalia lia kutekwa? Ukiwehuka usishangae

  Mnyika unajiita Chifu Malonja halafu unaanza kutengeneza uongo usio na maana baada ya kuona ziara yako Mwanza haijapata mwitikio mkubwa unalazimisha attention za watu Mnyika unajiita Chifu Malonja muoga, muongo na Mzandiki Unajiita Chifu Malonja muoga katikati ya wanaume Jasiri waMwanza...
 17. Mmawia

  Mnyika apewa Uchifu Mwanza na kupewa jina la Chief Malonja, ataka marekebisho ya Katiba

  Wana MWANZA wamempokea Katibu Mkuu wa CHADEMA kwa shangwe na kuweka historia kwenye mkoa huo kwa kuamua kukabidhi hadhi ya Chifu wa Wasukuma. Hakika huu ni msimamo wa kujivunia sana kwa wana MWANZA na inaonyesha kuwa sasa wameanza kujua mchele ni upi na chuya ni zipi kati ya CCM na CHADEMA...
 18. miss zomboko

  Temesa yakanusha kuhusu magugumaji kuzuia vivuko kufanya kazi Mwanza

  TEMESA inapenda kukanusha uvumi unaoenea mitandaoni kupitia video pamoja na picha zikielezea kusimama kwa huduma za vivuko katika kivuko cha Kigongo Busisi mkoani Mwanza kutokana na kuwepo kwa magugu maji. Tukio la magugu maji lilitokea siku ya tarehe 24 Desemba 2019 na magugu maji hayo...
Top