masterpiece Kamundu
Utangulizi
Tanzania ina rasilimali nyingi na watu wenye uwezo, lakini bado tunakabiliwa na changamoto za kiuchumi, kijamii na kiutawala. Ili kuendelea, tunahitaji sera rahisi, uwajibikaji, ubunifu na viongozi wanaotanguliza maslahi ya nchi.
Kodi, biashara na ujenzi
Mfumo wa...
Kuwa fundi wa incubator siyo kujua kubadilisha spare part iliyoharibika kwenye incubator iliyokwisha tengenezwa.
Fundi mzuri anapaswa kuelewa mfumo mzima wa incubator, kutambua tatizo, kujua chanzo chake na kufanya testing baada ya matengenezo.
Haya ni baadhi ya mambo muhimu:
✅ Elewa jinsi...
Biashara ya duka la dawa muhimu , asilimia kubwa wanaoifanya wanaifanya kinyume na sheria.
Yani hii biashara wengi wanaiendesha kinyume na matakwa yanayotakiwa hivyo wengi wanaiendesha kiujanja ujanja kwa kutegemea kuwahonga wakaguzi wakifika.
Dawa zinazoruhusiwa kuuzwa kwenye hizi dldm...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema ushirikishwaji wa sekta binafsi ni muhimu katika kufanikisha malengo ya maendeleo ya Tanzania, hasa azma ya kufikisha thamani ya uchumi wa Taifa hadi dola za Marekani trilioni moja ifikapo mwaka 2050.
Dkt. Mwigulu ameyasema hayo leo, Jumapili, Septemba...
Maombi ya Yabezi yanatoka katika Biblia kwenye Kitabu cha 1 Mambo ya Nyakati 4:9-10.
Yabezi alikuwa mtu aliyekuwa na mwanzo mgumu kwa sababu mama yake alimzaa kwa uchungu na kumpa jina "Yabezi" linalomaanisha "maumivu" au "teso." Hata hivyo, hakukubali jina lake au mazingira yake yamainishe...
1. Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato umefikia asilimia 89.02.
2. Ujenzi wa runway, taxiways na apron umefikia kati ya asilimia 98 na 99.
3. Jengo la Abiria limefikia asilimia 81 ya utekelezaji.
4. Mnara wa Kuongozea Ndege (Control Tower) umefikia asilimia 74 ya utekelezaji...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema juhudi za kuimarisha afya na uhai wa wanawake, watoto wachanga na watoto ni muhimu katika kujenga afya bora, nguvu kazi na...
Je,
ni inashiria ya uchovu, kiwewe, hofu au ni hali ya kawaida kwa mwanadamu kisayansi?
Vipi siku ya mwisho ya final submission yake kizimbani, akisahau kuieleza mahakama jambo muhimu zaidi pengine la kumuokoa na kitanzi, na kisha akalikumbuka akiwa nje ya mahakama, labda akiwa anasubiria...
Je,
alitaka kujionyesha kwamba yeye ni bingwa wa maisha ya sheria, hali ya kua inafahamika kwamba ni ufadhili wa wanaomfadhili ndio unaomsitiri yeye na familia?
Kulikoni akatae msaada wowote ule wa kisheria kutoka kwa mawakili na wanasheria wenzake wote Tanzania, wakati mambo mengine yote...
bila
chochote
darasa
hii
kesi
kisheria
kisiasa
kufanikiwa
kuomba
kusaidiwa
lisu
mawakili
mtuhumiwa
muhimu
nchi
sana
tanzania
tundu
uhaini
wanasheria
wote
Wakuu kuna moments huwa binadamu tunazipitia, zinakuwa ni nyakati ngumu zinazokupa mzigo kichwani kias kwamba unakata tamaa kabisa unajiambia moyoni hapa sitoboi dadek, ila unajipa moyo ngoja niendelee kujaribu ikishindikana basi.
Halafu unaona mambo yanaanza kuclick, unaanza kuelekea kwenye...
22 September 2026
Tandika, Dar es Salaam
Machinga wa jijini Dar es Salaam wasema maendeleo ya vitu siyo msingi wadai maendeleo ya watu
https://m.youtube.com/watch?v=pUFAOzubI44
Chinga hao wa halmashauri ya Temeke eneo la Tandika jijini Dar es Salaam waonesha uelewa mpana wa maendeleo ni nini...
Katika dunia ya sasa, watu wengi huzungumzia AI (Akili Mnemba) kama teknolojia inayobadilisha maisha kwa kasi kubwa. Hata hivyo, swali moja muhimu linaibuka: Je, ni AI kweli inayotawala maisha yetu, au ni algorithm zilizopo nyuma ya pazia?
Algorithm ni seti ya kanuni na maamuzi yaliyopangwa...
Kwasababu sote ni mashuhuda jinsi ambavyo DCI na mashahidi wengine ambao tundu lisu aliwadanganya wafuasi wake kwamba hao ni mashahidi wake na wangetetea uhalifu wake mahakamani, lakini cha kushangaza mashahidi hao wamemkataa na kujitenga kabisa na uhalifu wa mtuhumiwa huyo wa uhaini.
Na hapa...
Habari zenu wakuu, hope mko poa kabisa.. Leo imenibidi nifanye ku share jambo muhimu sana kwetu hasa mnaoteseka na hizi Routers za ISPs wetu hawa wa bongo kwa muda mrefu sana na mawakala wao wengi hawana uelewa mkubwa sana juu ya hili tatizo so inabidi mhusika ndo ufanye configurations mwenyewe...
Lissu aliomba miongoni mwa nashahidi wa kwenda mahskamaani ni rais Salia, Waziri mkuu mstaafu Majaliwa na makamu wa rais mstaafu.
Jaji akisoma hukumu ameeleza kwa nini rais hawezi kwenda, ila hajaeleza kwa nini waziri mkuu na makamu wa rais hawawezi kwenda mahakamani.
Kwa ninavyoona, Waziri...
Chadema hakuna wazee wa kuwashauri wote wamewakimbia kwasababu wanasiasa zisizo jari utu wa watu wengine, chadema wanafanya siasa za kimihemko sana,
Inakuwaje wasitake watu wahudhurie misiba? Misiba inahusiana vipi na siasa? Kwahyo mtakuwa mnahudhuria misiba ya chadema tu? Mnajiona mpo sawa...
Kesi ya mauaji ya blogger na mwalimu Albert Ojwang imepata mgeuko mwingine baada ya afisa wa polisi aliyekuwa protected witness kufariki kabla hajatoa ushahidi wake mahakamani.
Stephen Maina Nderitu, aliyekuwa akifanya kazi katika ofisi ya OCS katika Central Police Station, alifariki Jumatatu...
El Niño na maandalizi ya mvua kubwa
Nyumba: Kagua paa, mifereji ya maji na sehemu zinazovuja.
Mafuriko: Ondoa taka kwenye mitaro na epuka kujenga/kukaa kwenye maeneo yanayotuamisha maji.
Maji: Hifadhi maji safi ya matumizi endapo huduma itakatika.
Chakula: Kuwa na akiba ya vyakula...
Sometimes akili inahitaji utulivu relaxation ya hali ya juu ili kuji restart
mijini kilele zimekuwa nyingi sana.
mtu January to Dec uko kwenye kelele lazima uwe mental tu.
Kucheki afya yako ni muhimu sana , afya ya moyo , kiwango cha sukari mwilini na nk ni muhimu mno.
Sio unagida mipombe bila kujua afya yako ipoje , watoto wadogo kabisa unakuta ni mgonjwa wa sukari bila kujijua ,anagida mipombe tu bila kujua hali ya afya yake🤔, mwisho wa siku tunamchimbia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.