Mwaka jana mwezi September nilienda usahili pale utumishi Dodoma na niliweka mrejesho hapa. Usaili wa utumishi (kwenye interview ya mchujo) unawalenga wanafunzi na wahitimu wapya
Kimsingi mimi kama expert (niko internationally certified) sikupenda aina ile ya interview kuulizwa masuala ya...
Je, Unatumaga Maombi ya kazi/ujumbe/document kwa njia ya Email na huweki Subject na body of Email?
Je, Umetuma maombi mengi ya kazi kwa njia ya Email na hujapata majibu?
HII HUENDA NDIO SABABU KUBWA YA BAAZI YA MAOMBI YAKO KUTO JIBIWA... "KUTO KUWEKA SUBJECT NA BODY OF EMAIL"
- Nikosa kubwa...
Ajira portal kama hamuwezi kuwasaidia watu hamna haja ya kuwa na help desk, maana mtu anakuwa na shida anawapigia toka asubuhi mpaka jioni, simu ipo busy, na ikiita haipokelewi.
Kwanini msiajiri watu special kwa ajili ya kazi hiyo tu! Kama wanavyofanya mitandao ya simu!! Nyinyi ndo mnaoajiri...
Hizi kazi zimekuwa nyingi na hakuna watu wa kuzifanya mpaka UK inatafuta wafanyakazi kutoka nje.
Jaribu bahati yako, ukweli ni kazi za kuangalia wazee,
sasa wewe kama unaona haikufai, pita kushoto,
Wale wanataka kujaribu bahati yao, fursa ndio hii.
Uwe una elimu hata ya uuguzi kutoka chuo...
wakuu habari za majukumu naitwa yohana naomba kutumia forum hii kutafuta kazi y Mambo ya yanayohusu miradi nina degree ya project planning and management pia nina diploma ya community development.
Naombeni msaada wenu pls. Naweza kukupatia any information about me when needed.
thank you...
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 23-11-2022 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya...
Nawakumbusha tu vijana.
Kuwa wakati nyie mnabishana kuhusu Simba na Yanga au Liverpool na Man U wanasiasa pamoja na marafiki zao matajiri wanagawanya ajira nzuri nzuri na kuwapatia watoto wao.
Nyie endeleeni kusubiri ajira zile za kukaripiwa na madiwani, ma DAS, ma DED, ma DC n.k, nako hizo...
MBUNGE WA KALIUA AMEITAKA KAMPUNI YA CCECC KUWAPA VIJANA AJIRA
Mbunge Jimbo la Kaliua, Tabora Mhe. ALOYCE KWEZI ameitaka kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) Inayotekeleza Mradi wa Ujenzi Reli ya KALIUA - MPANDA Kwa kiwango cha MGR kuwapatia Ajira vijana wa...
Hili swala la la nafasi za kujiunga na Jeshi la ulinzi la wananchi Tanzania ni kuwadanganya na kuwahadaa watoto wa maskini Rais na watu wako chini ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga taifa Bashungwa mngeachana nalo tu hili swala, Kwa jinsi mnavyotaka kujisafisha na kujikosha kwa...
Hakika ccm imetushika akili sana yaani lema anajaribu kuwatoa tongotongo watu lakini yeye ndo anaonekana mbaya. Hivi sisi waafrica ni nani alituloga? Au ni elimu zetu hafifu ambapo hatujui hata Nini chenye manufaa kwetu na ni haki yetu kuipata unless rais hayupo kwa ajiri ya maslahi yetu Bali...
Wasalaam!
Nani anaelewa kuhusu Ajira za SERIKALI ya AWAMU YA SITA?
Kuna madaktari wetu wapo mtaani miaka 4 sasa.
Kuna walimu wetu waliosomeshwa kwa pesa za wananchi, kwa mkataba wa kurudisha pesa hizo baada ya Ajira, lakini wapo mtaani miaka 4 na zaidi.
Kuna wataalamu wetu WA kilimo wapo...
Na nakuomba CDF Jenerali Mkunda kama Waombaji Ajira Wote katika Tangazo lenu wakiyashindwa haya Mazoezi yafuatayo muachane nao na mbaki na wale tu Watakaoweza ( walio Fiti ) kabisa
1. Wakimbie kwa Kuuzunguka Uwanja wa Mkapa mara 75 kwa Spidi kama za Winga teleza wa Yanga SC Tuisila Kisinda.
2...
Mimi ni miongoni mwa watu ambao wamehangaika sana kutafuta ajira. Nimekaa miaka 2 mtaani mpaka nilipokuja kupata ajira mwaka huu.
Kuna websites huwa zina matangazo ya ajira. Sitaki kuzitolea mfano maana sitaki kuchafua website yoyote. Na lengo la hii post sio kuchafua website yoyote ila kushare...
Wengine wanafikiri bado tupo kwenye zile zama za ulimbo na ulimbombo, zile zama za kuambiwa Jambo na kukubali bila kujiridhisha. Wanaofanya hivyo wanatambua watanzania ni wavivu sana wa kutafuta ukweli hivyo lolote analosema linabebwa kama lilivyo.
Kitendo Cha Lissu kusema China hakuna...
Rasmi tena bila kupepesa macho Bodaboda nchi nzima kupitia wawakilishi wenu mmeutangazia Umma wa Watanzania kwamba katika shughuli zenu mpya za "Uafisa usafirishaji" mnapata Tshs. 800,000+ kwa mwezi.
Hii ni wastani wa 200,000 kwa kila wiki. Hapa Mafinga nilipo nawajua wamiliki wengi wa...
Bongo nyoso, yaani hili swala nyuma yake kuna vigogo wanaouza hizo boda boda ndio maana wanakingia kifua kulinda biashara zao. Boda boda ina risk kubwa sana. Serikari isikwepe jambo hapa. Hakuna ajira hapa
Binafsi, Niko Kilimanjaro kikazi lakini hata ikitokea napata uhamisho usiku wa manane nasepa.
Kilimanjaro nadhani ni Mkoa wa wastaafu na siyo sehemu ya utafutaji. Na maisha ya huku ni tofauti sana.
NI mkoa mdogo sana.
Ni mkoa wenye idadi ndogo sana ya watu, mostly wazee.
Ni mkoa wenye Ardhi...
Suala la kuwakilisha wananchi halipaswi kuhodhiwa na mtu mmoja kwa muda usio na ukomo. Ni vyema katiba mpya ikaweka ukomo wa mtu kuwa mbunge. Haiwezekani mtu alikuwa mbunge au diwani toka enzi za Mkapa. Hadi leo kwa Rais wa nne bado anataka kuendelea kuwakilisha wananchi. Na bado anataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.