Watumishi wa Idara ya kilimo tulioajiriwa August 2024 Halmashauri mwaka huu hatujapata annual increament ikiwa ni haki yetu ya msingi, tunaomba utumishi watupe majibu
Fedha za OC (Other Charges) zinalenga kuwezesha uendeshaji wa shughuli za ofisi, ikiwemo kugharamia stahiki mbalimbali za watumishi zinazohusiana na utekelezaji wa majukumu yao.
Cha kusikitisha, watumishi wa kawaida wanapofanya kazi za ziada (Extra Duty) na kuwasilisha madokezo ya malipo, mara...
Anonymous
Thread
fedha
halmashauri
idara
katika
mbeya
posho
wakuu
wakuu wa idara
wilaya
Mimi ni mkazi wa Chalinze, Mtaa wa Nero, Darful. Tunaendelea kukabiliwa na changamoto ya ukosefu wa maji mara kwa mara. Wakati mwingine tunakaa hadi mwezi mzima bila kupata maji.
Hadi ninapoandika malalamiko haya, tumekaa takribani wiki mbili bila maji, bila kupewa taarifa yoyote kutoka Idara...
Hivi ninyi Idara ya maji mkoa wa Mbeya mnashida gani? Haiwezekani tumelipia maji toka Jumatatu mpaka leo hii hamtaki kurejesha maji .
Mnapigiwa simu mnaahidi kutuma mafundi lakini mafundi wenu hawaji, mnategemea watu wanaishi je.kama kuna shida nyingine tujuzeni sababu malipo yote tayari tumefanya.
Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama na Ujasusi ya Ecuador (CIES), Michele Sensi-Contugi, pamoja na mkewe Stephany Hollihan, ni miongoni mwa watu saba walipoteza maisha kufuatia ajali ya helikopta iliyotokea eneo la Mlima Ololokwe, Kaunti ya Samburu nchini Kenya.
Vyombo na Eneo: Helikopta aina...
Serikali ya Tanzania si ya Majimbo, kila taasisi ipo kitaifa, hakuna taasisi za majimbo
Watumishi wa Serikali wanaweza kufanya kazi katika mkoa wowote nchini, bila kujali wanatoka mkoa gani. Kwa mantiki hiyo, fursa za kupata elimu inayowawezesha kuingia kwenye ajira za Serikali zinapaswa pia...
Wakuu habarini.
Mimi ni mtumishi wa umma. Idara ya Elimu msingi.
Nimesoma BAED.
Naomba ushauri course ya kusoma Masters, lengo ni kutoka kufundisha.
Pendeleo langu ni MASTER OF EDUCATION IN QUALITY MANAGEMENT.
Je, ni best option over MASTER OF EDUCATION IN ADMINISTRATION, PLANNING ANF...
Siku ya kupatikana katiba mpya inaweza kuondoa raisi kuwa na kikosi kama chake.
Kwa afrika kinatumika vibaya ukilinganisha na nchi kubwa.
Rais anapounda kikosi chake ina maana anaweza kumuweka hata mwanaye au rafiki kumlinda yeye.
Mifano hipo tokea kwa Idd Amin,Museveni, Tanzania, Zimbabwe...
Watumishi wa Idara ya Radiology ni idara pekee hawalipi extra duty, unapangiwa roaster unasoma extra duty asubuhi hadi saa mbili usiku lakini haulipwi. Kinachouma ni kwamba muda wako wote wa kujishughulisha mtaani unaishia kazini.
Lakini humo ndani kuna taasisi kama MOI na JKCI wao wanalipwa...
Watumishi katika Idara ya Sekondari ya Halmashauri ya Tarime Vijijini hatujalipwa fedha za likizo kwa wakati na kwa viwango vinavyostahili.
Baadhi ya watumishi bado wana madai ya fedha za likizo za miaka iliyopita bila kupatiwa ufumbuzi. Wakati mwingine malipo yanapotolewa, hayalingani na kiasi...
Kumekuwa na ubishi sana kuhusu yupi kiungo bora kati ya Bellingham & Pedri na viungo wengine … takwimu za Jude 👇
• Magoli 6, pasi 1 ya mabao, mara 4 kuwa Mchezaji Bora wa Mechi (MOTM), mechi 6
• Mchezaji wa kwanza tangu Maradona kufunga mabao mawili (brace) katika uwanja wa Azteca.
•...
Tuseme ukweli hii idara kama hakuna kitu imebaki kama ilivyounda tokea kupata uhuru.
Ni kama idara iliyochakavu hakuna jipya wala mapya.
Idara ya usalama imebeba mambo ya kizamani sana na mtindo wa kizamani kwa dunia ya sasa hakuna idara kama hizi.
Leo mataifa yenye kulinda nchi idara ya...
Kumekuwa na changamoto nyingi sana za kiutumishi kwa uongozi uliopo, watumishi kunyanyaswa na kukosa haki zao za kiutumishi na kupelekea utendaji kazi kudhoofika kwa baadhi ya watumishi na hali hii imesababisha kutokuelewana katika kutimiza majukumu ya kazi ya kila siku na kufanya utendaji kazi...
Anonymous
Thread
afya
halmashauri
idaraidara ya afya
uongozi
wilaya
Katika ulimwengu wa sasa unaobadilika kwa kasi ya ajabu, usalama wa taifa hautegemei tu idadi ya watumishi au zana za kivita, bali unategemea ufanisi, weledi, na wepesi wa Idara za Kijasusi na Usalama katika kubaini, kuchambua, na kuzuia matishio. Ili kuhakikisha idara hizi (kama vile TISS...
Utawala wa hayati JPM ulifanya kazi kwa ufanisi na uliweza kuwaridhisha wananchi kuwa upo makini na ulijali maslahi ya wananchi.
Idara ya usalama taifa ilikuwa karibu na wananchi. Ndio maana hata kama ni kero ndogo namna gani rais alikuwa na taarifa nayo kwa undani. Kero za wananchi...
Cha kushangaza hata hizo heshima anazopewa kila kona nazo zinafichwa kwenye mfumo wa serikali.
Kwa sasa si rahisi kujua hata CV,umiliki,jina la muhusika labda kama unatuma pesa kwenye simu.
Na kushangaza mpaka namba zao zimepewa uficho ukijaribu kuangalia taarifa.
Jambo lengine la kuchekesha...
Kwa niaba ya wenzangu, naomba msaada wenu kuhusu changamoto tunazokutana nazo katika shule za msingi Wilaya ya Mbulu DC.
Wakuu wetu wa shule wamekuwa wakitunyanyasa kwa kutulazimisha kufundisha vipindi vya jioni bila ridhaa yetu. Aidha, tunatishiwa kuchukuliwa hatua za kinidhamu na viongozi wa...
Anonymous
Thread
bila
idara
jioni
kufundisha
mbulu
msingi
ridhaa
shule
shule za msingi
vipindi
wakuu
wakuu wa idara
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda ameagiza kusitishwa kwa mikataba ya muda ya watumishi wa Idara ya Ardhi katika Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela huku akiahidi kuzungumza na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi ili kuwahamisha watumishi waliokaa muda mrefu
Mtanda ameyasema hayo wakati akisikiliza...
Mkoa wa Geita wafanyakazi wa idara ya afya kupitia shirika lisilo la kiserikali ICAP wanacheleweshewa mshahara wao kila mwezi na wakiuliza kwa mratibu wa mkoa hatoi majibu mazuri na kutishia kama umeshindwa acha kazi ambacho sio jambo jema
Anonymous
Thread
afya
geita
idaraidara ya afya
kila mwezi
kiserikali
kupitia
mkoa
mkoa wa geita
mshahara
mwezi
shirika
wafanyakazi
wao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.