mkenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Ondokeni Ndani ya Saa 24”: Mkenya Akamatwa Baada ya Kuwalenga Warundi

    Mwanaume wa miaka 32 amekamatwa Nairobi baada ya kudaiwa kutoa matamshi yaliyowalenga raia wa Burundi wanaoishi na kufanya kazi Kenya, katika kipindi ambacho mjadala kuhusu wafanyabiashara wa kigeni tayari umeibua hofu miongoni mwa baadhi ya wahamiaji. Kwa mujibu wa DCI, Kevin Odiwuor Otieno...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Hakuna Mkenya Anayepaswa Kufa kwa Kukosoa Serikali” - Rais William Ruto Asema Maandamano ya Amani Ni Msingi wa Demokrasia

    Rais William Ruto amesema hakuna Mkenya anayepaswa kupoteza maisha, uhuru au heshima yake kwa sababu tu ya kuikosoa serikali, kutoa maoni yasiyopendwa na wengi au kushiriki maandamano ya amani. Akizungumza katika Kongamano la 16 la Katiba lililofanyika KICC, Nairobi, Agosti 27, 2026, Ruto...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Marekani walimchagua Urais Obama ambaye Baba yake ni Mkenya. Halafu Mtanzania anakaa kujadili ujinga wa asili ya Mama wa Makamu wa Rais wetu

    Ndugu zangu Watanzania, Kuna Watu wanaojiita Wanaharakati wana ujinga Mwingi sana ,wana utoto sana , wana umbumbumbu mkubwa sana vichwani Mwao. Wivu ,chuki binafsi na ubaguzi vinawatesa sana baadhi ya watu waliojipachika majina ya Uanaharakati ili wapate kuganga njaa zao. Yaani eti mtu anakaa...
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Siku ya Mashujaa: Dome Okochi Budohi Mkenya Katika Harakati za Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    Kuhusu Dome Okochi Budohi (Mkenya aliyepigania Tanganyika) Mchango wake katika TANU: "Dome Okochi Budohi... kadi yake ya tano... ni mtu alikuwa anajua kila siku na mimi nimepata mengi... amekamatwa katika ardhi ya Tanganyika wakati akifanya harakati za tano." Kukamatwa na kuteswa: "Nimemuona...
  5. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Siku ya Mashujaa: Dome Okochi Budohi Mkenya Katika Harakati za Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/TFgNAKhXvkA?si=yZRkLlA-39W6CCjA
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Manabii wa Uongo Wapo!. Angalia Nabii huyu wa uongo wa Kenya Unabii Wake wa Uongo kuhusu Tanzania!, Adai Urais wa Samia Tanzania, Haufiki 2030!

    Wanabodi Kiukweli Shetani yuko busy sana kupitia manabii wa Uongo na Unabii wao wa Uongo kuihusu Tanzania!. Hii ni bandiko la kutoa angalizo kwa Watanzania wanaolitakia mema taifa letu kuwa makini na hila za mwovu shetani, anawatumia manabii wa ongo kama Nabii huyu wa uongo wa Kenya akitoa...
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sasa mkenya unaeza kumsambazia bestie wako tokens za stima

    Wakuu, Kenya Power wameintroduce feature mpya inaitwa Sambaza Stima basically unaweza sasa kutuma electricity tokens kama airtime Kupitia *9090# ama app, unaeza transfer kutoka 1 unit hadi 500 units kwenda kwa meter ingine. Pia kuna ile “emergency request” option ukikosa stima unatuma alert kwa...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Mkenya akamatwa na Tsh. 91.2 Milioni akidaiwa kuiba benki mpakani Namanga

    Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia Denis Ogesa (28), mkazi wa Nairobi nchini Kenya, kwa tuhuma za kuvunja, kuingia na kuiba fedha katika benki ya Azania, tawi la Namanga wilayani Longido. Ogesa anadaiwa kukamatwa wakati akiendelea kutekeleza tukio hilo la kihalifu katika benki hiyo ambapo...
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania Warangi Mnawaonea. Ukikataliwa na Mkenya Kaoge maji ya baharini🤣🤣

    Kuna watu wanawawaonea Warangi, Wanyanturu, Wanyiramba eti ni maharage ya Mbeya. Ushakutana na Wakenya wa Nairobi wewe? Ukimuomba Mkenya kududuana akakataa au akakuzungusha zaidi ya siku tatu, nenda kaoge maji ya baharini uondoe mikosi🤣🤣 Yaani Wakenya unajigeuzia kama chapati.. Hahitaji nauli...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hii video inayosambaa ya mkenya aitwaye Stanley inasikitisha sana

    Habarini wakuu, Stanley ni kijana wa Kikenya aliyezamia USA zaidi ya miaka 10 iliyopita yaani kiufupi ni muhamiaji haramu. Sasa upwiru umemponza, alikutana na binti wa miaka 15 mtandaoni akamtongozya wakakubaliana kufanya appointment. Bwana Stanley akaenda kwa binti akiwa na illegal firearms 2...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi Mkenya aliyepotea Saudi Arabia kwa miaka 12 apatikana amefungwa gerezani kwa makosa ya uchawi.

    Esther Maria Njeri aliyepotea mwaka 2012 akiwa mfanyakazi wa ndani Saudi Arabia amegundulika kuwa mfungwa katika gereza la Almaz baada ya Mkenya mwenzake aliyeachiliwa kutoka gereza hilo kuwaambia ndugu zake waliokuwa wakimtafuta kwa miaka 12 kwamba walikuwa wote gerezani huku Esther akiwa...
  12. Username 20

    JamiiForums Tanzania Kuna mKenya kaniuliza swali hapa naomba mnisaidie kujibu

    Baada ya kukamtwa na kurudishwa kwa baadhi ya wanaharakati wa Kenya na baadhi yao kuripotiwa kuteswa na kutupwa mipakani (Tanga na Kagera) Kisha kauli ya Rais kuwa hatakubali chokochoko, na kuwa katiba yetu haiingiliwi na mtu, jamaa kanikomalia kuwa ni kweli nchi yoyote ile duniani ina...
  13. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Mkenya aliyepazwa kunyongwa jana huko Vietnam amefikia wapi ?

    Toka jpili march 16 mkenya aliyepatikana na dawa za kulevya ktk nch ya Vietnam alitarajiwa atanyongwa march 17 saa 8.30 za usku. Hadi kufika Leo sijaona taarifa yoyote kuhusu mkenya huyo na serekali ya kenya ili kuwa ina haha kutafuta jinsi ya kumnasua mwezao huko Vietnam asinyongwe...
  14. The Watchman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkenya aliyekamatwa na dawa za kulevya Vietnam kunyongwa Machi 17, 2025

    Margaret Nduta Macharia (37), raia wa Kenya aliyekamatwa mwaka 2023 nchini Vietnam na dawa za kulevya kilogramu mbili za Cocaine, anatarajiwa kunyongwa hadi kufa kesho Jumatatu Machi 17, 2025. Kwa mujibu wa tovuti ya Daily Nation, Margaret aliyepewa hukumu hiyo Machi 6, 2025 alisema alipewa...
  15. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Madam Nderitu Mama Mkenya Ofisa wa UN Afukuzwa kazi kwa kulazimisha kusema Israel inafanya mauaji ya Kimbari - Inawezekana amekuwa kilaza

    Umoja wa Mataifa(UN) yamfukuza Nderitu(Faizafoxy wa Kenya) kwa kukataa kuainisha tabia ya Israel huko Gaza kama 'mauaji ya halaiki,' WSJ inahoji. Upinzani wa Nderitu kutaja vitendo vya Israel huko Gaza wakati wa Vita vya Israel-Hamas kuwa mauaji ya halaiki, ulisababisha Umoja wa Mataifa kukataa...
  16. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Mzungu: Ukitaka kumskasirisha Mtanzania, mwambie kajifunza Kiswahili kwa Mkenya!

    Ni kweli Watanzania hukasirika wakiambiwa Wakenya wanakijua Kiswahili kizuri kuwazidi?
  17. W

    JamiiForums Tanzania Kenya wanyakua Medali ya Dhahabu katika Mbio za Mita 800 za Wanaume Olympics

    Emmanuel Wanyonyi (20) ameshinda medali ya dhahabu katika mbio za mita 800 kwenye Olimpiki za Paris Agosti 10, 2024. Inadaiwa ndio Mshindi mwenye umri mdogo zaidi kushinda katika mbio za mita 800 akiwa mwanariadha wa tatu mwenye kasi zaidi duniani. Wanyonyi alikimbia kwa muda wa 1:41.19 na...
  18. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Bruce Africa bonge la artist ila biography yake nimeikosa hivi ni mtanzania au mkenya?

    Huyu kijana anakuja kwa speed kama vile katupwa kutoka kwa juu Ana nyimbo zake hazichoshi ila naona hajapewa sana airtime me mpaka sasa hivi sijajua ni mtanzania au mkenya?
  19. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania JInsi Mshahara wa Mkenya utakavyopigwa panga kuanzia Julai 1, 2023

    JIRANI ZETU WATAENDELEA KUKIONA CHA MTEMA KUNI , HAPO BADO ISSUE YA DOLA KUPOTEA HAIJAINGIA.. Huku Wakenya wakiendelea kukumbwa na hali ngumu ya maisha kutokana na ongezeko la gharama ya juu ya maisha, hakuna matumaini ya afueni kupatikana hivi karibuni. Hatua hii inajiri baada ya serikali...
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kama mna ushirikiano na huyo Mkenya anayehimiza ulimaji na matumizi ya bangi ndio mnadhania 2025 mtapata hata udiwani?

    Yaani mnataka nani mwenye akili timamu awaamini nyie kuwa mnaweza kuwa na nia njema na taifa hili?. Juu ya kulinda rasilimali za taifa kama madini mlishakiri wazi kuwa mtawapa wazungu wafanywe watakavyo. Leo hii mnashauriwa na wanaotaka vijana wa taifa hili waharibike kwa bangi. Nani...
Back
Top Bottom