inasikitisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. idiomer

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana kuona watu wanaweka matumbo mbele na kuiacha Tanzania nyuma

    Yaani unatumia fedha za walipakodi kumfurahisha mtu ambaye kesho atatoka madarakani. Hebu fikiria kuisaidia shule ambayo vizazi na vizazi vinasema, hospital ambayo wananchi watatibiwa. Kumtumikia kiongozi wa juu ni utumwa tumikiwa wananchi.
  2. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana. Ujenzi wa SGR Makutupora ni 14% wakati angelikuwepo hayati Magufuli Ujenzi wa SGR ungekuwa umefika Mwanza kwa 100%

    Kuna janjajajanja tu tu wafanyabiasha wanaomiliki mbasi na malori hawataki ujenzi wa Sgr ukamilike kufikia 100% kwa sababu ya manufaa ya biashara zao. Hayati JPM aliwadhibiti .Leo hii Sgr ingekuwa imeshakamilika.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana. Mzazi anahangaika kusomesha mtoto na pia anahangaika kumpeleka Sober house

    Nasema hiki ndio kizazi cha hovyo kabisa kutokea tangu kupata uhuru. Wazazazi wanapaswa kuwa na bajeti ya kusomesha na bajeti ya kupeleka mtoto sober house Inasikitisha sana.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Story ya mtoto Richard Kiko ( 15) inasikitisha mno

    Jana niliweka taarifa ya kupotea kwa mtoto Richard Riziki Kiko (15) mwanafunzi wa kidato cha pili, shule ya sekondari Mbwawa Lutheran iliyopo Kibaha. Richard alipotea juzi jumapili, akiwa anarudi nyumbani Magomeni Kagera akitoka kumsalimia bibi yake Mbezi Kibanda cha Mkaa. Jioni wakati anarudi...
  5. bwawani90

    JamiiForums Tanzania Chelsea inasikitisha sana ilitakiwa iwe ya 16 hafi jana

    kwa huu msimamo hii timu inapaswa iwe chini sana. kwenye wanasema number don't lie lkn hapa namba zinadanganya
  6. O

    JamiiForums Tanzania State of Fear: Inside Tanzania's Enforced Disappearances - BBC Africa Eye Documentary

    "When Samia Suluhu became Tanzania’s first female president in 2021, after the sudden death in office of her predecessor, there were hopes that her presidency would mark a break from authoritarian rule. She lifted a ban on opposition rallies, allowed the media to operate more freely, and called...
  7. amarina

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana; Anakufa mwanasiasa, wananchi wanashangilia

    Kama ilivyo desturi kisalimia. Nimesalimia. Inanishangaza kufuatia vifo vya wanasiasa kuanzia oct 29. ukifuatilia utakuta wananchi wanashukuru. Hii ni hatari sana. Na nadhani siasa inakwenda kuwa kazi ya ajabu sana maana wanasisa watakuwa wanajificha. Sasa kama mwanasiasa anajua kabisa akifa...
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha kwamba bado kuna waafrika wanaamini kuwa kuna supernatural forces tofauti kati yetu zinazoongoza maisha, ni aibu, MAISHA NI MAISHA!

    "Ooh ilikuwa iwe hivi" "Ilipaswa ie hivi" "Ni mipango ya Mungu wafe kwenye ajali familia nzima" "sikuzaliwa na nyota kali ndio maana sifiki malengo" 🚮🚮🚮🚮🚮
  9. BIG BROTHER ALEX

    JamiiForums Tanzania Hii stori imetaka kuniliza inasikitisha sana

    Kijana John Jay-Z, HUKO Instagram amesimulia, jambo zito, linalo ishi kwenye maisha yake Hadi Leo, baada ya kumaliza elimu yake kipindi hicho. Alijiingiza kwenye kazi ya saidia fundi, anasimulia ILIKUA tarehe 3/10/2021 asubuhi saa kumi na moja. Mama yake mzazi walie kuwa wanaishi NAE,j alikuja...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha Genius Prof Kabudi kuwa Chawa wa hawa jamaa! Dah

    Nasikitisha Genius Prof Kabudi kuwa Chawa wa hawa jamaa! Dah
  11. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh: Maaskofu kuwaaminisha watu yale yalikuwa ni maandamano inasikitisha. Au Baraza La Maaskofu linahusika?

    Wakuu, Nimepata kihali baada ya kuona kauli hii kutoka kwa huyu Shekhe. "Kuona viongozi wa dini tunaowategemea katika taifa kuwaaminisha watu kwamba yale ni maandamno imenisikitisha. CHADEMA walisema wanaenda kukinukisha, wanaenda kufanya uasi wanaenda kuvuruga Uchaguzi. Maandamano yanatoka...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Polepole kutelekezwa na wenzake wakina Bashiru, Butiku na Warioba inasikitisha

    Polepole kutelekezwa na wenzake wakina Bashiru, Butiku na Warioba inasikitisha. Sasa na wenyewe wanaogopa kutekwa! yaani hata kusema kitu kuhusu mtu ambaye Mama yake anaenda kulia mahakamani! Kesho nani atakuwa salama
  13. Surya

    JamiiForums Tanzania Msikilize Mchungaji Mwanamapinduzi akiongea Katika Space ya MariaT huko mjini X INASIKITISHA.

    Masikilize
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hii video inayosambaa ya mkenya aitwaye Stanley inasikitisha sana

    Habarini wakuu, Stanley ni kijana wa Kikenya aliyezamia USA zaidi ya miaka 10 iliyopita yaani kiufupi ni muhamiaji haramu. Sasa upwiru umemponza, alikutana na binti wa miaka 15 mtandaoni akamtongozya wakakubaliana kufanya appointment. Bwana Stanley akaenda kwa binti akiwa na illegal firearms 2...
  15. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana na kuonesha hatuna Utu. Majini yametutawala kichwani. Kumuua huyu Dogo?

    Maskini. Wala hakuwa na silaha au kundi la kusema anatishia maisha kiongozi yeyote. Tunamuua kwa sababu za kipuuzi kabisa. Na kunywa damu yake ili kusafisha nyota zetu. Mwangalie hapa anatabasamu.
  16. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli hakuna wa kumshauri Samia? Hii inasikitisha

    Wasalaam. Hii sera kuhusu maiti kuzuiliwa nayo ni ahadi ya ccm kuelejea uchaguzi mkuu? Yaani wakishinda watapiga marufuku maiti kuzuiliwa swali je nani aliweka sera hii? Ina maana sio ccm na serikali yake? Hebu sikiliza kwa makini.
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana, ni kaka gani huyo anayemfuatilia Rose Ndauka wakimuhisi kuwa ni CHADEMA?

    Rose Ndauka mwenyewe anasema "Sina Chama chochote lakini nipo huru kutoa maoni yangu,Wewe kaka acha kunifatilia wewe kula hela za watu lakini achana na mtu Mimi,mbona ni mtu mdogo tu Mbaya zaidi siku nikifa utataka kuja mbele kuwa mstari wa mbele....Niache " Mfuatilie kwa uzuri hapa
  18. kekule benzene

    JamiiForums Tanzania INASIKITISHA SANA KUONA KUNA VIJANA WANAOMBA KUSOMEA KOZI YA UALIMU

    Habarini wadau
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha! Mmoja wa viongozi wa vyuo vikuu vyetu nchini anavuta bangi

    Yawezekana Bangi ina faida kwa baadhi ya watu, lakini kimazoea ya heshima ya jamii ya ki-tanzania, kila mvuta bangi hapewi heshima kiasi kikubwa. Hata kama anafanya mambo ya maana kila wakati hutiliwa mashaka. Hiki ninachoandika ni taarifa rasmi niliyopewa toka kwa classmate wa mmoja wa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Nawalilia waliopoteza maisha yao kipindi cha Mbowe wakipigania mageuzi kumbe haikuwa hivyo! Inasikitisha sana!

    James kujiunga Chauma ana baraka za Mbowe. ni dalili kuwa na Mbowe yuko njiani kwenda chauma.. Watoto wa watu wamekufa wakiamini kuwa wana Kiongozi wa upinzani kumbe sivyo! ULAANIWE MBOWE NA UZAO WAKO https://youtu.be/IBiQWxmh8qQ
Back
Top Bottom