Uhasama wa mashabiki wa Manchester United na Arsenal nchini Kenya umechukua sura nyingine baada ya mashabiki wa Manchester United kuibuka washindi wa 5–4 kwa mikwaju ya penalti dhidi ya Arsenal katika pambano lililofanyika jana katika Uwanja wa Nyayo.
Mchezo huo ulijaa ushindani mkali huku...
Haiwezekani timu ambayo imechukua ubingwa miaka 5 mfululizo inazidiwa promo na Simba ambayo haikua na kombe lolote,kitengo hicho kinapaswa kuongezewa pro active mmoja ambae pia ni muongeaji na mchambaji ili kusukuma agenda flani flani.
Kilele cha mwananchi kesho ipo kama haipo,jezi zinatoka...
Spain ambayo ambayo imesheni wchezaji wa Barca ishatinga fainali.
Furaha iliyoje.
Argentina yenye Greatest Of All Time(GOAT) La Pulga ambaye ni pure cule yupo fainali.
Furaha iliyoje.
Ureno yenye goti wa kuvundika out tushasahau kama walishiriki hizi fainali za kombe la dunia.
Furaha...
Hii project ilitakiwa kuwa kwa jamii kuridisha shukrani kama wakongwe wa fiesta mkaleta matukio kama kila mlicho fanya,kukumbusha maduka ,watu kampuni.
Hapa naona babu tale na cheo kesho sio mbali mtakuja kulia tukiwazika.
Mashabiki wageni kutoka mataifa mbalimbali walioenda kuangalia weldi cup wamekumbana na usumbufu na sintofahamu nchini Marekani katika huduma za migahawa na bar kutokana na utamaduni wa Marekani wa mteja kulazimika kulipa 20% ya ziada juu ya gharama halisi kama tip/ ahsante/ bakshish kwa...
Mashabiki wa timu ya taifa ya Scotland wanajulikana kama Tartan Army ambayo iko kwenye group C na wanatarajiwa kupambana na Morocco leo kwenye Boston Stadium (Gillette Stadium) walivamaia jiji la Boston na kunywa bia zote mjini, baa zote zikabaki tupu. Imebidi kiwanda cha bia mjini hapo...
Arsenal imetwaa ubingwa wa Premier League 2025/26 baada ya Manchester City kulazimishwa sare ya Goli 1-1 kutoka kwa Bournemouth, matokeo hayo yanamaanisha hakuna timu itakayoweza kufikia alama za Arsenal na zote zikiwa zimesaliwa na mchezo mmoja.
Hadi sasa Arsenal ina pointi 82, Man City ni ya...
Mzuka wana jamvi ?
Nimewaza tu kwani sasa Dunia nzima inasikitika kisa kaeneo kidogo masgariki ya kati kutokea mgogoro na flow ya energy kuwa disturbed .
Sasa imagine mafuta yaishe kabisa huko au Waarabu wagome kuyaauza si tutarudi stone age ?
Ina Waarabu na makobaz ndio wanaamua dunia tulie...
Ni kipi haswa ulichosimamia😁😁 muuaji ayatollah anaeua watu wake kwa ajili ya madaraka au watu wa iran ambao kiasili ndio wenye nchi?
Hakuna unajua wewe zaidi ya ushabiki, unashibikia IRGC kwa maana wana wakilisha unyama ulionao ndani yako na unyama wa itikadi mnayo share nao.
Mashabiki 18 wa soka wa Senegal waliowekwa jela kwa kosa la kuingia uwanjani wakati wa fainali ya fujo ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kule Rabat mwezi Januari 2026, wamekana kuhusika na kosa lolote.
Awali Februari 2026, mahakama nchini Morocco iliwahukumu mashabiki hao kifungo cha...
Wale wafuasi wa wa Iran a.k.a wazee wa threesome, naomba tujuane ili tufurahie ushindi mkubwa ambao tumeupata Katika mtifuano wa mashariki ya kati.
Ayatollah secretarybird, nawakaribisha kwa raha tele 😎.
adriz.
Eti Echolima1 MK254 loose Nut kwani wale vijana wanachukizwa na ustaarabu wa magharibi na maendeleo yake huku wakishabikia vikundi vinavyohatarisha maisha ya watu duniani kisa vikundi hivi vinasali kama wao?
Je ni upumbavu au ulimbukeni? Au vyote kiujumla?😁
Bila shaka Wanalunyasi mtakuwa mnatamani kupata kiongozi kijana ambaye ana maoni makubwa juu ya klabu yenu kama ambavyo Yanga wamewatesa misimu hii minne mfululizo baada ya Engineer Hersi Said kuchukua kijiti cha Rais wa Klabu baada ya Mshindo Msolla.
Mnahitaji uongozi wenye maono, uwezo wa...
Jeshi la Polisi limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya mashabiki katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Mabomu hayo yamepigwa baada ya kumalizika mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya wenyeji Pamba Jiji dhidi ya Simba SC uliomalizika kwa sare ya bao 1-1.
Baada ya mchezo kumalizika...
Ukimsikiliza rais wa Marekani Donald Trump kwa makini na bila upendeleo, unagundua ni mtu mwenye changamoto ya akili. Ni muotaji ndoto wa mchana, muongo, mjinga, na mpumbavu.
Anaongopa hata bila kuona aibu wala kupepesa macho na bado kuna watu wanamuamini. Napata shida sana kumuelewa na...
Kama Nabi na Gamondi waliwahi kufungwa na Ihefu, Tabora united na Simba kwa nyakati tofauti hata kocha Pedro anaweza kufungwa na Simba pia. Kama ikitokea hivyo haimaanishi Pedro hafai, hajui na anapaswa kufungashiwa virago vyake na kuondoka Yanga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.