makato

Makato, officially the Municipality of Makato (Aklanon: Banwa it Makato; Hiligaynon: Banwa sang Makato; Tagalog: Bayan ng Makato), is a 4th class municipality in the province of Aklan, Philippines. According to the 2015 census, it has a population of 27,262 people.In 1948, the arrabal of Tangalan, comprising the barrios of Tondog, Jawili, Dumatad, Afga, Baybay, Dapdap, Pudyot, Tagas, Tamalagon, Panayakan, Vivo, Lanipga, Napatag and Tamoko, was separated from Makato to form the municipality of Tangalan.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Profesa Musa Assad: Mshahara Wangu Ulikuwa Million 7 Na baada ya Makato Ulibakia Million 5 , Gari Zuri V8 na Marupurupu Mazuri.

    Ndugu zangu Watanzania, Aliyekuwa CAG wakati wa Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli Profesa Mussa Assad Amesema ya kuwa Mshahara wake kabla ya Makato ulikuwa ni Milioni 7 . Ambapo Baada ya Makato alibakiwa na Million 5. Amesifia Nafasi hiyo kwa kusema ni nafasi yenye marupurupu manono,Gari...
  2. Candela

    KERO KERO: CRDB BANK na makato hewa HEWA

    Guys guys guys, hawa CRDB hawako serious ni wezi aisee. Nina akaunti nao lakini sina kadi, baada ya kadi yangu kuisha muda siku renewe coz mda mwingi nafanya transfers pekee. Sio mtu wa kwenda ATM. Cha ajabu kila mwezi wanakata makato ya kadi kutoka kwenye akaunti yangu. Sielewi kwa kweli maana...
  3. A

    KERO 25.6% ya makato kwa Madereva wa Tax Mtandaoni ni kutunyonya sana, hali hiyo inatuumiza

    25.6% ya makato kwa Madereva wa Tax Mtandaoni ni kutunyonya sana, hali hiyo inatuumiza Madereva wa Tax Mtandaoni tunanyonywa sana hasa Kampuni ya Bolt inakata kamisheni 25.6% katika kila safari jambo inaumiza sana na ukizingatia kutokana na uhaba wa ajira vijana wengi tumeamua kujiajiri lakini...
  4. ChoiceVariable

    Ona Mabenki ya Tanzania Yalivyopiga Faida Kubwa Baada ya Kuwakamua Wananchi Kwa Riba Kubwa za Mikopo na Makato yasiyoeleweka.

    Benki ya CRDB imeongoza Kwa kupiga faida kubwa yaani super normal profit baada ya kuibia Watanzania Kwa riba kubwa na makato yasiyoeleweka. https://www.instagram.com/p/DXwCODMjpnq/?igsh=MXFyMnhrZGRwbGx4OQ== My Take Serikali Inafaa kuingilia Kati Ili kuokoa Wananchi kama inajali lakini...
  5. A

    KERO Elimu kuhusu makato ya PAYE kwa watumishi wa Serikali za Mitaa

    Mimi ni mtumishi wa afya Serikali za Mitaa, naomba kujua makato ya Pay As You Earn (PAYE) ni kwa ajili ya nini? Naomba wizara husika iliangalie hili kwani linatesa walio chini tu.
  6. A

    KERO TRA wameongeza kitu kwenye makato yao ya kodi ya pango?

    Hivi TRA wameongeza kitu kwenye makato yao? Binafsi sijaelewa vizuri ni nini kilichoongezwa. Kuna ile kodi ya pango ambayo tunalipa siku zote mfano mimi nalipia Shilingi 72,000 kwa Mwaka, sasa mwaka huu wanasema nilipie Asilimia 10 ya hiyo kodi ya pango ambayo ni 7,200 yaani nalipia 72,000...
  7. Meneja Wa Makampuni

    Naomba niulize kuhusu makato ya akaunti za biashara NMB

    Nina akaunti ya biashara NMB. Jana nimedownload statement yangu imesoma kama unavyo ona hapa chini: Ni kipi kinasababisha Monthly Fee ya kila mwezi itofautiane? Kilichofanya nilete mada hii hapa ni baada ya kuona nimekatwa Monthly fees Jumla ≈ TZS 227,780.85 na hiyo imefanyika ndani ya siku...
  8. JimCarrey

    Changamoto ya Mfuno wa ESS kwenye simu

    ....Wakuu nimejaribu kuapply loan lakini natumia simu imekuja namna hiyo kwahiyo siwezi kuona kiasi gani napata na makato yake Ili niweze ku apply kila nikijaribu kusogeza nione mbele inagoma, hata ku rotate simu pia haitaki msaada nifanye Nini niweze kuona hapo MFUMO WA ESS KWA SIMU
  9. B

    Makato kwenye mshahara wangu

    Habari wakuu. Mnamo wa mwaka jana mwezi wa nne nilipata kazi kwenye kampuni moja hivi, tulikubaliana kiasi cha mshahara take home itakuwa 500K. nilivoanza, nilikuwa napokea cash kwa accountant bila makato yoyote. Yaani ilikuwa hiyo 500k hadi mwezi December. Nilikuwa situmii bank, na...
  10. A

    KERO Makato ya Mkopo na kutorejeshewa fedha

    Mahali pa Kazi: Wilaya ya Meru, Mkoa wa Arusha Ninatoa malalamiko yangu hadharani dhidi ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) kuhusiana na makato ya mkopo yaliyofanyika kimakosa na kutorejeshewa fedha hadi sasa. Historia ya Masuala ya Elimu na Ajira: Mwaka 2010, nilichaguliwa kujiunga na...
  11. Meja Jenerali Isamuhyo

    Makato kwenye lipa namba yameongezeka kimyakimya

    Sasa hivi ukilipa kwa kutumia lipa namba ni kama unakomolewa. Makato yameongezeka maradufu mno. Yajayo yanaogopesha
  12. kiss ov love

    Haya makato NMB mbona sijayaelewa

    Guys, last week niliuza vipande UTT kiasi cha 300k taslimu, sasa hadi kufika kwenye akaunti yako ya benki inachukua siku 3 za kazi. So, ikawa imefika leo chakushangaza hela imeingia leo hii, mida ya jioni nimeangalia kwenye akaunti yangu ya NMB nakuta ipo 289, 571 nimeshangaa hiyo elfu 10 na...
  13. A

    KERO Madereva wa Taksi Mtandao wananyonywa sana na Makato, wakilalamika wanaonekana wajeuri

    Jaman hebu tazameni katika suala la taksi Mtandaoni hasa huduma ya Bolt. Madereva wanalia 😢 sana kisa commission zao, na ni kweli ni kandamizi sana, 25% ya nauli kweli 😢 kwa mfano safari ya Sh 10,000 Bolt wanakata takribani Sh 2,500 inabaki 7,500. Hapo hutoa pesa ya mafuta kwa hiyo safari...
  14. Msanii

    KERO Kuna ongezeko kubwa la makato katika huduma ya fedha kwa simu

    Nimefanya transaction kwa mobile phone. Nimetoa kwa wakala na hichi ndicho kilichonistua.... Hivi TRA wanatuona sisi raia kama mazuzu au nini hiki wanachokitafuta kwetu? Wizara ya Fedha, huu mchezo ni wizi na siyo haki
  15. Roving Journalist

    KERO Responded Wakulima wa tumbaku Mpanda Kati walalamikia makato ya 3% na kutolipwa fedha zao

    Wakulima wa zao la tumbaku kutoka Chama Cha Msingi Cha Ushirika Cha Wakulima wa Tumbaku Mpanda Kati, Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamelalamika kutolipwa fedha zao hadi hivi sasa licha ya Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kutoa maagizo kwamba kabla ya siku kuu ya Nanenane Wakulima wote...
  16. Room 28

    Taja huduma za mitandao ya simu ambazo ni zisizo na makato

    Mi ninazo zijua 1.Kununua muda wa maongezi au kumnunulia mtu kutoka mpesa/airtel money -Hapa hutakatwa hata mia kama gharama ya huduma 2.Luku Hapa napo ilikua n bure saizi naona kuna percent fulan wanakata ukinunua umeme zaman haikuepo
  17. A

    Wizara ya fedha iangalie Vizuri Bank ya NMB

    Inakata kiasi kikubwa wakati wa kuomba mkopo. Mfan: unakopa Mil 15 hadi kupatiwa huo mkopo unapokea Mil 11. Hiyo Mil 4 yote ni Processing fee ambayo inavipengele vyake. Tunaumia huku ngazi za chini.
  18. BWANA WANGU

    Makato ya Bank ya CRDB yanakatisha tamaa

    Habari wakuu, Wahenga walisema " Masikini atabaki kuwa Masikini, tajiri ataendelea kuwa tajiri zaidi na zaidi" na Mimi nasema " Tumbo lililo zoea rushwa halishibi kamwe" Wakuu hii tabia ya CRDB, kukata makato ambayo wateja wake hawaelewi jinsi yanavyo enda. Ni kuwakosea wateja kwa kweli. Hivi...
  19. S

    Mkeka wa mishahara mpya ya July, 2025 na makato yake bado haujatoka kama miaka ya nyuma?

    Hii ngoma bado haijavuja au safari hii wamekuwa makini kuliko miaka ya nyuma ambapo majedwali ya viwango vipya vya mishahara na makato kama PAYE huvuja? Mara nyongeza ni shilingi 10,000 au 20,000 kwa wale ambao mishahara yao sio kima cha chini. Mtalia tena watumishi kama mlivyolia 2022.
  20. W

    Nilitoa shilingi milioni 14 dirisha la benki nimekatwa elfu 2 tu kwenye statement, wamesahau makato yao au ?

    Kwenye statement ya benki naona kuna makato ya elfu 2 tu,
Back
Top Bottom