Sijui ni nini hiki, ila ni Natamani kufanya ngono kila wakati, yaani it requires a little trigger mara wa babeli kusimama.
Ni wapo kazini Nita mu idealize mwanamke wa usafi, ni tamu idealize secretary yaani it goes to the point najiona ningelikuwa bora nijihasi tu, maana hii sio kawaida...
Sisi tulikuwa wafanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), katika Mradi wa Julius Nyerere Hydropower Project (JNHPP) Rufiji, tukiwa tumeajiriwa kwa mkataba kupitia STE.
Tunaomba kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu kuondolewa kazini bila kupewa taarifa (notice) kama ilivyoainishwa kwenye...
Anonymous
Thread
jnhpp
kazini
mkataba
rufiji
shirika la umeme
tanesco
wafanyakazi wa shirika
Katika jamii za wamatumbi tuishiyo, kuna hii dhana kuwa mtu akiwa mdogo kiumri basi hata executive function yake na akili zake haiwezi kufanya makubwa.
Ila hii ni dhana mbaya sana, ambayo wamatumbi wengi wamekuwa nayo, hasa makazini. Ukienda kufanya kazi na ukawa mtu wa kutoa output ya kazi...
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Lynn Chawala amesema ufaulu na mfumo wa upangaji wa matokeo ni miongoni mwa vigezo vinavyozingatiwa katika mchakato wa ajira, huku uteuzi ukitegemea pia mahitaji ya taasisi husika.
Amesema mfumo hupanga waombaji...
Naomba kuwasilisha kero kuhusu mchakato wa ajira katika Taasisi ya Afya Muhimbili. Tulifanya usaili wa nafasi mbalimbali, lakini hadi sasa imepita miezi kadhaa bila kuitwa kazini, huku mwaka ukiendelea kumalizika.
Kinachotushangaza ni kwamba kada nyingine zilizofanya usaili katika taasisi hiyo...
#Tanzania Kozi 8 Zinazolipa kwa Dola leo hii Bongo hakuna vyeti!
1. FUNDI WA MIGODINI (Mining Technician) - Geita, North Mara, Bulyanhulu wanalipa Dola 4,000 - 12,000 Watanzania tuna madereva tu.
2. URUBANI WA BALLOON - Dola 600 KWA SAA 1 (Hii ndiyo fursa kali zaidi!).
3. TOUR OPERATOR WA...
Taasisi nyingi za umma ukienda kutafuta huduma ni kama vile umeenda kuwaomba hela, uwezi kwenda ukiwa na muda wako lazima uteseke tu na usikamilishe, watanzania nyie ni watu wa hovyo kweli, ukienda ofisi yoyote ya serikali ukitoka huko satisfied na tatizo lako umelitatua kwa wakatii, na...
Ewe mod uliye kazini toka jana usiku ni nini hasa mimi de Gunner nimekukosea?
Una futa Kila Nyuzi niianzishayo, je una uhasama na mimi?
Kwa nini usije inbox yangu na ufunguke, au labda kama unashida ya pesa uniambie tu mkuu,
Kila Nyuzi nayo anzisha unapita nayo mkuu daah
Wanabodi huyu mod...
"Ai see, hilo swala bwana... Kwanza ningetamani sana kukujibu lakini sasa ha- hili jambo pia lipo kwenye... kwenye mikono ya sheria kwa hiyo sasa kila... Kwa upande wa ambao wanalilalamikia jina... wanaosema wamepotezea jina nao wana... wana mashtaka yao, lakini na mimi pia nina mashtaka yangu...
Kuna namna unajikuta kuwa mateso ya kifedha ndio mtaji wako, hata katika unafuu unajikuta kupitia stress za madhara ya "deep state economy",
Muda na energy unayo invest haikulipi sambamba na commitment yako.
Watu wengi wanaishi katika credit, hakuna mwenye surplus, ili kujikimu inabidi ukope...
Mimi namwamini Mungu katika Yesu kristo na President ambitionist
SINA KANISA HUDUMA YANGU NI ONLINE
Anzia page ya 5 post ya 100 ndo mistari inapoanzia na itakupa mambo yafuatayo
Itakupa wazo jipya kwenye fikra zako na mbinu za kufanya ili utoke hapo ulipo
Kama kuna roho chafu itaziondoa...
Kazi yangu mimi ni biashara ya genge, nauza mboga. Nilichogundua hapa kijijini kwetu ukiona noti mpya nyingi zinakuja gengeni kununua bidhaa ujue watumishi wamelipwa misharaha yao. Wingi wa hela hizi nyingi na mpya unapotea ndani ya siku 7 hadi kumi tu. Nikamuuliza mwenzangu anaemiliki glossary...
Kutoka kwenye korido za siasa huko teeth, Mstaafu mmoja aliyependwa sana awamu ya 5 tayari amedokezwa ajiandae kula kiapo siku chache zijazo kama Makamu wa Rais mpya.
Walimu tulioajiriwa na Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu (Kasulu DC) mwezi Julai 2025 bado hatujathibitishwa kazini hadi sasa.
Hatujapewa maelezo ya wazi kuhusu sababu ya kuchelewa kwa uthibitisho huo, hali ambayo imekuwa ikitutia wasiwasi na kutokuwa na uhakika kuhusu ajira zetu.
Tunaomba...
Niliwahi sikia hizi tetesi kitambo... na nimekuwa namuangalia anavomsema vizuri hata kumtendea mema putin na nchi yake... na anavomkaripia zelinski. Kuna wakati najiuliza huu ni ukichaa wake, uzee, ama maksudi akiwa kzn... wenzangu mnasemaje
https://youtu.be/TYI4EoAPq4U?si=B8wC9KTr439VXKBI...
Ndugu yangu ameitwa kazini kama Afisa Usafirishaji na katika barua yake ya ajira ameagizwa kuripoti Dodoma. Alifika mapema katika kituo alichopangiwa na kuanza taratibu za kuripoti kama alivyoelekezwa.
Hata hivyo, alipofika katika kituo hicho, aliambiwa kuwa kituo kina magari machache na hivyo...
Miaka kadhaa mara baada ya kuangaika hapa na pale kutaguta ajira nikafanikiwa kuajiriwa ofisi moja ya umma
Kwangu lilikuwa jambo la heri sana kupata kazi, na kwa wazazi wangu walifurahi sana kijana wao kupata kazi.
Mara baada ya taaribu za ajira nilipangiwa kituo cha kazi mkoa jirani na...
Rasmi yule dada anayetukana matusi Rasmi yuko kwenye mikono Salama taangu tarehe 30/07/2026 soon atapandishwa kujibu Yanayomkabili au anaweza asionekane kabisa Save huu Uzi serikali ina mkono mrefu.
Wizara ya elimu chini ya Professor Mkenda imeendelea na upigaji wa pesa za elimu.
Moja, wanatengeneza semina na mtaala mpya ambazo hazina kiwango cha kutosha iki kupata pesa za kuendeshea na pesa hizo zinaishia mkononi kwa watu wachache nasi walimu walio hudhuria semina hizo
Semina hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.