kuchangia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini -TEC,BAKWATA,CCT chini ya mwamvuli wa Interfaith Committee wana nafasi kubwa ya kuchangia kupatikana Maridhiano na Mufaka wa Kitaifa

    Viongozi wa Dini Baraza la Maaskofu Katoliki,Baraza Kuu la Waislamu Tanzania,Jumuiya ya Wakristo Tanzania ,wanayo nafasi kubwa sana kuchangia upatikanaji wa Mazungumzo,Maridhiano na Muafaka wa Kitaifa na hatimaye Taifa kuanza safari ya kupata Katiba mpya. Tukumbuke kwamba kwenye mapendekezo ya...
  2. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Waislamu tuendelee Kuchangia Maendeleo, Hata kama zinaliwa!

    Waumini hawamchangii mwanadamu, wanamchangia Mungu na huduma yake. Mwanadamu akizila na kununulia kobasi na kuongeza wanawake, sisi hatuhusiki. RITA naomba muende na Minaaninii mingine kufanya ukaguzi.
  3. 0

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za Heche zinafukuza matajiri kuchangia CHADEMA

    Kwenye Mwananchi ya Leo kuna habari hiyo. CHADEMA hakuna matajiri bali hohehae, akina mimi tunaochangia buku moja, au jero pale CDM inapoomba tone tone Chama cha Matajiri wanajijua .... wale wanaokitolea 10B Uzuri tunawajua mnaotaka kututoa kwenye reli Anyways kituo kinachofuata ni 88, kisha...
  4. Baba mtakatifu91

    JamiiForums Tanzania MWONGOZO RAHISI WA KUCHANGIA HOJA HAPA JF

    Ili kuchangia hoja yenye mashiko kwenye nyuzi fuata hatua hizi: 1. Soma muktadha - Angalia hoja zilizopo na mwelekeo wa mazungumzo. 2. Thibitisha uhalali - Hakikisha hoja yako ni sahihi (tumia vyanzo ikiwezekana). 3. Muundo wazi - Tenga hoja yako kwa nambari au bullet points. 4. Ongeza...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Afya tunalazimishwa kuchangia pesa ya Mwenge, Halmashauri ya Wilaya Buhigwe - Kigoma

  6. F

    JamiiForums Tanzania Rostam 'kupewa. tuzo ya juu kwa kuchangia uchumi nani anajidanganya na kumdanganya nani?

    Taarifa kuwa Rostam Aziz kapewa tuzo ya juu na waziri mkuu Lameck, ni matusi kwa taifa. Eti kapewa tuzo kwa kuchangia kukuza uchumi! Anachangiaje kwa kutuibia? Je, kuna wakubwa nyuma yake hasa bi mkubwa mwenyewe au ni kuzidiwa akili kwa watawala wetu tokana na ukosefu wa ubunifu, udhu, na...
  7. Room 28

    JamiiForums Tanzania Kumbe kuna nyuzi nimezuiluwa kuchangia?? Nini jf inakiogopa ni haya madini yangu😀😀

    Kuna uzi nimuuona unahusu Nchi ya Rwanda imeendelea kuliko Kagera” Nikajaribu kupitia nikaona analysis iliyofanyika ni yakitoto! Wakati nimeandaa madini yangu kumuelimisha huyu jamaa nikaambiwa SIRUHUSIWI KUCHANGIA” kuna shida kidogo Nikalog out nika log in kurudi ishu ile ile Kuufuatilia...
  8. UTPC

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kevin Mwasha: Wananchi wanaotumia maji kutoka katika vyanzo visivyo salama wayachemshe au watumie vidonge vya kusafisha maji

    Hofu ya Kiafya Inayozidi Kutokana na Maji Yasiyo Salama Wakati mradi wa maji wa Shilingi bilioni 4, Kata ya Mkwajuni, Wilayani Songwe ukisubiriwa kwa hamu kubwa kuanza kufanya kazi, hofu ya kiafya inazidi kuongezeka miongoni mwa wananchi wa Kata hiyo. Wananchi wanabainisha kuwa maji...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Bafu la kuchangia wapangaji wote, ila mtu unaoga zaidi ya nusu saa, unatuchelewesha wenzako kwenda mihangaikoni

    Wa kishua mtuache kwanza, Wa Uswazi tuna jambo letu. Ndugu wangai, Nina jambo linanikaba koo mwenzenu, Hivi umewahi kukutana na kero kwenye hizi nyumba zetu za kupanga ambapo unakuta mpo wapangaji zaidi ya familia moja na mnachangia choo na bafu? Basi mwenzenu kuna linalonikaba koo, yaani...
  10. Jayvpapa

    JamiiForums Tanzania Kwani Kuna ulazima wa watu kuchangia mchango wa harusi?

    Nimeshuhudia Kuna watu wanakosana na marafiki ndugu kisa alishindwa kutoa hela ya mchango wa harusi Kwani ni lazima kufanya harusi na hauna bajeti?
  11. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Responded HOJA Jirani zangu walikataa kuchangia nguzo ya umeme, sasa nimeileta mwenyewe wanalazimisha kuitumia na wao

    Naomba ushauri na kueleweshwa kutoka kwenu wana-JamiiForums wenye uzoefu au uelewa wa masuala ya umeme ukinunua nguzo (TANESCO). Ninaishi Katoro eneo ambalo naishi kwa muda mrefu halikuwa na umeme. Mwaka huu 2026 mradi wa umeme umefika, nguzo zimepandishwa na nyaya za msongo wa chini...
  12. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kuna watu eti wanataka kumchangia yule Ng'ombe

    Nasikia kuna watu wapo bize kutafuta habari za yule Ng'ombe kutaka kujua hali yake baada ya ile ajali. Kuna diaspora mmoja kasema kama huyo Ng'ombe atahitaji matibabu mazuri zaidi anaijua Hospitali moja mahiri ya UC Davis Veterinary Hospital iliyoko California huko Marekani. Na kama aliuawa...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi wanakosa taarifa sahihi juu ya mikopo inayotolewa na halmashauri kwa ajili ya kujiajiri, hali inayowarudisha nyuma kiuchumi na kuchangia

    Ukosefu wa Uhamasishaji wa Kutosha: Wengi wa vijana hawajui kuwa halmashauri hutenga asilimia 10 ya mapato yake ya ndani kwa mikopo ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu (kila kundi asilimia 4, 4, Viongozi wa halmashauri hawafanyi kampeni za kutosha kuwafikia vijana katika kata, vijiji au...
  14. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Uundwe Mfuko Maalumu wa Kuchangia Fedha Familia zilizopoteza ndugu zao au Walijeruhiwa Kwenye Maandamano ya 29/10/2025

    Tarehe 29/10/2025 ni siku ambayo haitasahaulika Katika historia ya nchi yetu ni siku ambayo ulifanyika uchaguzi ( Uchfuuzi) sambamba na kuwepo kwa maandamano ambayo baadhi ya watu wamepoteza maisha na wengine kujeruhiwa. Maandamano haya, ingawa ilikuwa ni njia ya watu kutoa sauti zao kuhusu...
  15. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwanini wana JF wengi hawapendi kuchangia nyuzi za kimombo?

    Nimekuwa nikifuatilia nyuzi nyingi za kimombo. Nimegundua kuwa hazina wachangiaji, na hivyo wasomaji. Je, tatizo ni lugha au kuna namna?
  16. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mwanachama active wa JF na kuna mada inazungumzwa mahali unapoishi na ukashindwa kuchangia chochote wewe ni sawa na bure

    Kama wewe ni mwanachama active wa JF angalau kwa miaka miwili na kuna mada ikawa inazungumzwa ambayo haitegemei taaluma fulani na ukashindwa kuchangia chochote angalau 50% basi wewe ni sawa na bure na hauna haja tena ya kuendelea kutumia JF maana umeshindwa kabisa kuchota maarifa ya humu. Humu...
  17. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Bilionea Chief Godlove kuchangia Bilioni 50 kampeni za CCM

    Bilionea tokea Pande za Kyela ameahidi kuchangia Chama Chetu kwa 50 b TZS ili kufanikisha kampeni za CCM mwaka huu
  18. V

    JamiiForums Tanzania WACHINA waliruhusiwaje kuchangia CCM. Sheria zinasemaje ?

    Nchi nyingine wana sheria kali dhidi ya kuchangiwa pesa kutoka nje ya nch au na wasio raia. Hawataki nguvu au mawazo ya watu Urusi iamue nani anatawala Wafaransa, kwa mfano. Kwa saab ni lazima ana lake jambo, la maslahi yake yeye, vinginevyo anajali nini, mambo ya Wafaransa yanamhusi nini...
  19. Ileje

    JamiiForums Tanzania Yanga ifungiwe na FIFA kushiriki mashindano yo yote ya kimataifa kwa kuchangia CCM!

    Mimi ni mpenzi wa Yanga lakini nimechukizwa sana kwa club hii kujihusisha na mambo ya siasa! Kwamba kwa kuwa Yanga ilishiriki katika kupigania Uhuru wa Tanganyika siyo sababu ya kujihusisha na mambo ya siasa! Eng. Herse anatumia Yanga kwa maslahi yake binafsi ya kisiasa, kwa hiyo natoa wito...
  20. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuichangai CCM yanga yaona aibu yafunga comment

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Si tu kwamba aibu tunaona sisi wana yanga na mashabiki ya yanga Bali hata wao waliochanga wanaona aibu pia Wamefunga comment huko LONDON BOY
Back
Top Bottom