msimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. aBuwash

    Nataka kuwah msimu wa mchele mashambani hivi ni mwezi wa ngapi mavuno yanachanganya na mchele mashambani hupatikana kwa bei rahisi

    Habarii natak mwaka huu niingie mwenyewe chaka kwenda kufunga mzigo wa mchele na kuja nao hapa dar Naombeni muongozo wenu fremu ninayo mombasa ipo sehem yeny mzunguko mkubwa wa watu pia ni karib na lami ko wateja sina ila kutokana na location naamin sitahangaika sana kutafuta wateja wa kuanza...
  2. Smt016

    CAF Confederation Cup yafutwa. Msimu ujao kutakuwa na mashindano mawili tu

    Msimu wa 2024/2025 kutakuwa na mashindano ya African football league na CAF champions league. African football league itahusisha timu 24 ambazo zitatoka kwenye zone tatu kulingana na rank zao za CAF. Zone 1) North Africa Zone 2) West / Central Africa Zone 3) South / East Africa Kwa sheria...
  3. Frank Wanjiru

    Wydad kutoshiriki Club Bingwa msimu ujao

    Ni rasmi Wydad Athletic 🇲🇦 hawatashiriki michuano ya CAF champions league msimu ujao. Wameukosa Ubingwa wa ligi kuu pia wameikosa nafasi ya pili kwenye ligi kuu 🇲🇦 Full — Wydad 0 - 1 FAR Rabat Wydad wasihofu kuna mwenzake walikuwa kundi moja nae atamfuata Shirikisho.
  4. kipara kipya

    Tetesi: Hiki kinachofanyika hapa kwenye ligi kuu ya bongo ni dhahiri Yanga atakua bingwa kila msimu!

    Nimeangalia michezo ya Yanga vs Ihefu(Singida black stars) na mchezo wa leo ni hakika hizi timu mbili zipo hapo kumtengenezea Yanga point 12 kila msimu, na hiyo imefanywa kwa makusudi na mmiliki wa hizo timu ambae ni mmoja wa baraza la wadhamini wa Yanga. Wengi wasichokijua nyuma ya pazia...
  5. sinza pazuri

    Inonga anaondoka Simba mwishoni wa msimu huu 2024

    Beki wa Simba Enoch Inonga anatarajia kuondoka Simba baada ya msimu kumalizika. Japo Inonga ana mkataba mpaka 2025 ila ameomba kuondoka na ameshaanza mazungumzo na club yake wamuachie. Pia beki wa kati Che Malone nae anataka kuondoka sababu hafurahii kuwepo Simba. Za ndani zinasema Simba...
  6. Suley2019

    KERO Barabara za Mwanagati hazipitiki msimu huu wa mvua. Magari yanaharibika. Daladala zinalazimika kupandisha nauli

    Habari, Licha ya kuwepo Malalamiko ya mara kwa mara kuhusu adha ya ubovu wa barabara Maeneo ya kuanzia Juu kidogo kwa Mpalange mpaka Kituo Cha Mwisho Mwanagati lakini hakuna hatua zinachukuliwa. Soma malalamiko Hapa Barabara ya Maeneo haya imekuwa shida kubwa na haipitiki kwa urahisi kiasi...
  7. FRANCIS DA DON

    Dalili zinaonesha, Yanga lazima ichukie ubingwa klabu bingwa msimu ujao

    Nimeangalia katika angle mbalimbali, ninejiridhidha, kombe linatuwa Jangwani. Ukibisha, bisha kwa hoja.
  8. Escotter20

    Mayele kasaini kandarasi ya miaka mitatu, kuitumikia simba msimu ujao

    Zilizotufikia.... Mayele ni mwekundu. Viongozi wa simba wameua ndege wawili kwa jiwe moja,wameitumia safari ya Simba Misri kumsajili MAYELE. unaambiwa Mayele katumiwa form ya usajili kwenye simu,na ameshasaini mkataba wa miaka mitatu ,hivyo kuanzia msimu ujao atachukua namba ya fred ambaye...
  9. demigod

    SImba SC ajipange upya kwa Msimu ujao, habari imekwisha kwa Mkapa

    Mkakati wa Al ahly kwenye hatua ya mtoano laiti kama angekutana na Yanga SC hapa Taifa kwenye hatua ya mtoano kama hii basi hii mechi ingeisha leo. Sioni Simba wanaweza kwenda Cairo kutoboa ktk fixture ya marudiano. SIONI kwakweli. Hii ni robo fainali ya 5 Simba anashindwa kwenda nusu. Game...
  10. Mhafidhina07

    Ukubwa wa Mechi ya Yanga na Mamelodi ni matokeo ya kiwango bora cha Yanga msimu uliopita na uwekezaji wa Mamelodi

    Nukta yangu naiweka hapa YANGA imekuwa ni moja ya timu tishio barani Afrika kwa sasa hii inatokana na kiwango kikubwa ambacho amekionesha kuanzia Makundi ya Shirikisho mpaka kufikia finali mwaka wa jana 2023,Kiwango hichi kimewashtusha wengi hasa ukiangalia yanga Alimpiga TP Mazembe na Waarabu...
  11. Teko Modise

    Mtazamo wangu: Arsenal atamaliza bila taji msimu wa 2023/24

    Leo ratiba ya UCL imetoka na Arsenal amepangwa na Bayern Munich. Baada ya kuona ratiba hii, nikawaonea huruma mashabiki wa Arsenal kwani wanaenda kumaliza msimu tena bila taji lolote. Arsenal ataanzia nyumbani Emirates kisha kwenda Allianz Arena ambapo huko atakufa nyingi si mnajua Harry Kane...
  12. THE FIRST BORN

    Hadi hapa Yanga ni Bingwa Msimu huu wa 2023/2024, Kwa Sababu Kuu hizi 2.

    Habari Mwana-Jukwaa La Sports. Nianze Kwa kusema Soka La Afrika linatofauti Kubwa sana Na Soka La Ulaya ambapo uwekezaji ni Mkubwa na Mchezo huu umepiga hatua kubwa sana. Ulaya kwenye Nchi zenye Ligi Kubwa na Maarfu kama Vile England,Spain,Italy,Ujerumani,Ufaransa,Ureno,Uholanzi na Mataifa...
  13. M

    Yanga msimu huu wa Simba dhaifu wekeni record mpya ya goli 12

    Kama mliweza kuwafunga goli 5 nina uhakika mkikutana tena mnaweza kuwafunga goli 9 au 12. Kwa ubora mlio nao kwa sasa na unyanya walionao Simba ya sasa nawashauri kaeni chini mkubaliane kuweka record mpya. Yaani goli chache ziwe ni 9
  14. Vincenzo Jr

    Msimu huu kombe la ligi kuu na tuzo zake hampati hata moja

    Bingwa. Yanga Kocha bora. Gamondi Kipa bora. Diarra Beki bora. Yao Kiungo bora. atatoka Yanga MVP . atatoka Yanga Simba sijui mtapata nini msimu huu.
  15. D

    Simba kushindana na Yanga msimu huu ni ngumu sana

    Huu ndo ukweli mchungu kwa wanasimba ni ngumu sana kushinda na Yanga kwenye mbio za ubingwa wa nbc premier league Nafasi ipo ila ni ngumu kutoka na aina ya mpinzani unayeshindana naye ambaye ni Yanga
  16. vvvv

    Aliyemleta Fredy Michael akamatwe mara moja

    Huu ni utapeli wa wazi,wachezaji wa aina ile hata wa ndani wapo na hawezi kusajiliwa na timu zingine ndogo. Wanaosajili Simba wanafaa wawe nyuma ya nondo sahizi kwa utapeli wa wazi.
  17. Mtumishitu

    Dagaa Tunduma bei ya jumla pitia hapa

    Habari ndugu zangu. Nadhani kila mmoja wetu yupo hai kwa anae soma hapa. Kama kawaida mr .waziri nazidi kuwarahisishia wateja wangu kupata mzigo wa dagaa kutoka ziwa victoria kwa wale waliopo mikoani. KWA WALE WALIOPO TUNDUMA SONGWE. Leo mzigo wa dagaa aina ya full mzigo umefika nenda kachukue...
  18. THE FIRST BORN

    Viongozi wa Simba kwa jinsi wanavyowadhara Mashabiki zao tegemeeni kutengenezwa kwa jambo la kuwapumbaza kama issue ya Msimu ulopita Saidoo

    Viongozi wa Simba hua hawawheshimu Mashabiki zao..Ndio maana kila wakiona Yanga wana trend wao wanawaza kuzima trend yao kwa kitu cha Mda mfupi. Si mnakumbuka Msimu uliopita aimba ilikosa FA ikatolewa CAF kama siku zote Robo na Ligi wakakosa pia walichokifanya wakaanza kununua games na SAIDOO...
  19. THE FIRST BORN

    Kila nikiona Yanga inacheza Match ya kimataifa hua inanikumbusha Fainali ya UEFA Msimu wa 2007/2008

    Ile Fainali ilikua Kati ya Manchester United vs Chelsea. Nakumbuka Fergie aliwaambia Wachezaji wake kua Nenden mkijua kua katika Fainali hii nyie ndio Mnachukiwa zaidi. Katika Fainali hiii nyie ndio mnaombewa kufungwa na watu wengi Dunian kote,Maana mmetawala sana kuanzia kwenye Ligi hadi...
Back
Top Bottom