Jina la Christa Pike limeingia kwenye vichwa vya habari na kuwa gumzo kubwa nchini Marekani kufuatia kutokea kwa kisa cha nadra cha kufeli kwa utekelezaji wa adhabu ya kifo dhidi yake katika jimbo la Tennessee.
Mamlaka za magereza nchini humo zilitangaza kusitisha zoezi hilo baada ya sindano...
Husika kichwa cha habari hapo chajieleza, kugomea kufanya kazi kwa basi ambalo lilisajiliwa kufanya kazi ya kusafirisha abiria ni hujuma kubwa sana.
Hebu jiulizeni wagonjwa wangapi wameshindwa kupata huduma za afya?
Watoa huduma wangapi wameshindwa kutoa huduma kwa kushindwa kusafiri?
Hii...
Tunaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu hali ya utoaji wa huduma za afya katika Zahanati ya Mkolowony iliyopo Moshi DC.
Zahanati hiyo imeruhusu mtu ambaye si mtaalamu wa afya kutoa huduma kwa wagonjwa. Kinachotia wasiwasi zaidi ni taarifa kwamba mtu huyo anahusika hata katika kutoa sindano kwa...
Natafuta Mtu wa kazi ya ofisi ya uwakala wa tgo, halopesa, airtel money na kusimamia spea za pikipiki. Mshahara ni sh 80,000/= awe na uzoefu wa kufanya kaz na mwepes kuelewa kwa muda mfupi na mwenye nidhamu. Umri usiwe zaidi ya 24. Eneo la biashara ni Dar es salaam Kunduchi
Elimu angalau form...
Aliingia KenGen kwa KCSE certificate bandia, akafanya kazi kwa miaka 15 na kulipwa karibu Sh14.9 milioni. Baadaye, mahakama imebaini kuwa alipata pia cheti cha ulemavu kwa njia ya udanganyifu, kilichomwezesha kupata tax exemptions kwa zaidi ya miaka minne.
Huyo ni David Mogire Nyabuti...
Katikati ya mjadala unaoendelea kuhusu wageni wanaofanya kazi na biashara nchini Kenya, swali moja muhimu limejitokeza: Mgeni anapata wapi ruhusa ya kufanya kazi Kenya, na anahitaji nini?
Kwanza, kuruhusiwa kuingia Kenya hakumaanishi moja kwa moja kwamba mtu ameruhusiwa kufanya kazi au...
Kama mnakumbuka, October 2024 Tesla walikua na Event wakazindua Robitaxi zao wanazoziita Cybercab, unarequest gari (kama Uber), inakuja bila dereva, inakupeleka unakotaka kwenda. Easy.
Tesla wamezindua Cybercab (Robitaxi)
Tesla wamezindua Cybercab Robitaxi II
Sasa kawaida ya Tesla, wanatangaza...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo, amesema safari ya kulifanya taifa lijitegemee kiuchumi imeanza muda mrefu uliopita, huku utegemezi wa misaada kutoka nje ukiendelea kupungua katika kila awamu ya serikali. amesema kwa sasa vikwazo vya misaada haviwezi...
Kufanya kazi katika maeneo ya vijijini huku makazi yako yakiwa mjini kunaleta changamoto nyingi za kifedha na kijamii. Baadhi ya changamoto hizo ni:
1. Gharama kubwa za kununua usafiri
Watumishi wengi wanaofanya kazi katika maeneo ya pembezoni hulazimika kumiliki usafiri binafsi, hasa pikipiki...
Dini ni moja ya taasisi kubwa zaidi katika historia ya binadamu, na mara nyingi imechukuliwa kama biashara yenye mafanikio makubwa.
Dini hutumia imani ya watu kama bidhaa isiyoonekana. Bidhaa hizi ni ahadi za wokovu, baraka, uponyaji, au maisha bora baada ya kifo. Hizi ni bidhaa ambazo haziwezi...
Ukiachana na wachache kama kina Bakhresa, makundi hayo kazi ni msuli tembo lakini hadi hio hela umeipata ni kwa manyanyaso sana.
Boss tajiri lakini ukichunguza mishahara wanayowalipa wafanyakazi wao unabaki shangaa
Kwa mtu anayehitaji kufanya kazi eneo kama mgodi anahitaji nini, vyeti au matibabu yapi kutokea taasisi ya OSHA na gharama zake zikoje.
Natanguliza shukrani
Mfano mke wako au mchumba anakwambia anataka afanye kazi ya online live streaming kwenye majukwaa ya watu wazima.hakuna kukutana na mteja yeyote ana kwa ana anafanya kila kitu akiwa chumbani nyumbani kupitia kamera. Wateja wote ni wa nje ya nchi na atakuwa analipwa takribani 70k kwa siku masaa 4...
Watanganyika wote walioko Zanzibar ni tumbo Joto. Waanza kuzuiwa kuingia Ofisini kufanya kazi. Iinadaiwa wanafanya kazi za Wazanzibar na Vijana wa Zanzibar wanakaa jobless.
MY TAKE
Watanganyika tukijibu watavuka kurudi Zanzibari kwa kupiga mbizi.
Wazanzibar wajinga, wamesahau Mchanga wa...
Astaghfirullah!! nipo apa mapokezi kuwaonyesha vyumba na kuwakabidhi wateja funguo kiukweli ni mzozo.
Hivi uko kwenye ndoa mnaishi vipi mbona kina mama fulani na baba fulani wanapishana tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.