Ofisi ya TAESA Mkoa wa Dodoma, inatoa nafasi za internship na fursa nyingine za kazi kwa upendeleo wa kujuana, badala ya kuzingatia sifa na vigezo vinavyostahili.
Aidha, baadhi ya wanaopata fursa hizo huwahudumia waombaji kwa dharau na kuwajibu kwa lugha isiyofaa. Tunaomba mamlaka husika...
KIGOMA: Tukio la wizi limetokea usiku wa kuamkia leo katika ofisi za Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Kigoma, ambapo mikeka 100 imeibwa ikiwa na thamani inayokadiriwa kufikia shilingi milioni 1.5.
Mikeka hiyo ilitolewa na Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Mhe. Babalevo, kwa...
Kinachonisumbua zaidi ni namna anavyosimulia maamuzi hayo kana kwamba hatma ya Tanganyika ilikuwa jambo ambalo alikuwa na mamlaka binafsi ya kuliamua. Kana kwamba nchi ilikuwa mali yake kiasi kwamba angeweza kuamua mustakabali wake bila kuwashirikisha Watanganyika wenyewe.
Tanganyika ilikuwa...
Mji wa Mikumi uko njiapanda ya maeneo mengi ya mkoa wa Morogoro pia uko katikati ya huo mkoa.
Mji wa Mikumi umezungukwa na maeneo mengi ambayo ni vivutio vya utalii kama mbuga ya Mwalimu Nyerere, Mikumi, Ruaha na milima maarufu kwa mimea na viumbe pori kama ilivyo Arusha, pia ni mji uliofikiwa...
Kwa nini Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Mohammed Babu, hataki kuagiza maeneo yote ya wazi (Open Spaces) yaliyopo katika Manispaa ya Moshi kupatiwa Hati za Umiliki, ili kuweka utaratibu wa kisheria wa umiliki na matumizi ya maeneo hayo?
Tunaomba mamlaka husika zifanye uchunguzi kuhusu changamoto zinazowakabili wananchi na watumishi katika Ofisi za Wizara ya Ardhi Mwanza, ili zipatiwe ufumbuzi wa kudumu.
Changamoto ya vyoo vya matumizi ya pamoja
Jengo hilo lina mlango mmoja wa kuingia kwenye eneo la vyoo, ambavyo vinahusisha...
Habari wandugu.
Harufu ya UFISADI.
Kweli inasikitisha sana nchi hii hivi kweli ofisi ya mkuu wa mkoa imekosa watalaamu wa kugundua ufisadi uliofanyika .
Badala yake mkuu wa mkoa anasimama anabariki kilichofanyika
Kama jambo hili lingefanyika china hapo naamini wachina wangeanza na mkuu wa mkoa...
Kwa hakika unafanya kazi nzuri na kubwa sana kwa niaba ya Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Dodoma.
Asante kwa kazi kubwa na nzuri unazofanya katika kuuheshimisha mkoa wa Dodoma na makao makuu ya nchi. Katika mkutano mkuu maalumu wa CCM taifa mwaka jana, wakati wa kuteu na kuthibitisha jina la...
Sisi wananchi wa Igoma, Mwanza, tunakabiliwa na changamoto ya usafiri wa daladala kwenda maeneo mbalimbali, ikiwemo katikati ya jiji, Buhongwa, Airport na Ilemela.
Kwa sasa, tunategemea daladala zinazotoka Kisesa au Kishili. Hata hivyo, zinapofika Igoma huwa tayari zimejaa, hali inayosababisha...
Anonymous
Thread
daladala
ianzishe
igoma
latra
mkoa
mwanza
route
wananchi
Wamama na watu wanaolalamika kubomolewa nyumba zao ukifuatilia aliyehusika kubomoa nyumba hizo ni mtu wa Kilimanjaro.
Watu wa mkoa huo kukudhulumu eneo lako ni kitu cha kawaida sana.
Fuatilia migogoro inayoibuka kwa kasi sasa hivi huko Madale, Goba, Mbweni, Bagamoyo, Kibaha
Serikali imeelekeza zaidi ya Sh 1.4 trilioni katika Mkoa wa Simiyu katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Sita, katika utekelezaji wa miradi ya umeme, barabara, maji, elimu na afya.
📍Itilima-Simiyu
🗓️Septemba 14, 2026
——————————
Amesema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Itilima, mkoani...
awamu
awamu ya sita
katika
kipindi
mkoa
mkuu
mwigulu
mwigulu nchemba
serikali
simiyu
waziri
waziri mkuu
waziri mkuu mwigulu
waziri mkuu mwigulu nchemba
zaidi ya
Kupanda bajaji na Bodaboda ni roho mkononi.
Waendeshaji wa vipando hivyo hawaheshimu sheria wala watumiaji wengine wa barabara.
Matokeo yake ni kama hiyo bajaji, lori na daladala "wamemfanyizia" bajaji,
https://www.youtube.com/live/BdUex_A8m7A
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwaapisha Wakuu wa Mikoa na Katibu Tawala wa Mkoa, Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar Septemba 02, 2026.
dkt. samia
hoja
ikulu
katibu
katibu tawala
maelekezo
mikoa
mkoa
mkono
ndogo
nukuu
rais
rais dkt. samia
rais samia
rais samia suluhu
rais samia suluhu hassan
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
septemba
suluhu
viongozi
viongozi wateule
wakati
wakuu
wakuu wa mikoa
wateule
zanzibar
Katibu wa Chadema mkoa wa Mara anetoa wito huo akirejea mifano ya Nelson Mandela alivyoweza kukaa meza moja na makaburu na muafaka ukapatikana.
My Take:Inaelekea kuna misimamo miwili kinzani ndani ya CDM juu ya hatua za kufanya katika utatuzi wa maswala muhimu ndani ya chama chao.
Imeelezwa kuwa namna ya kufikisha na kufanikisha Utekelezaji wa Dira 2050 ni kuwepo na uundaji wa Kamati za Usimamizi, Ufuatiliaji na Utekelezaji kwenye ngazi zote pamoja na mkakati mawasiliano utumiwe ipasavyo kufikisha ujumbe kwa viongozi na wananchi.
Hayo yameelezwa na Jumanne Abdallah...
TAARIFA KWA UMMA
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga inawatafuta ndugu au jamaa wa mtoto huyu wa kiume anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 5, ambaye hajafahamika jina lake.
Mtoto huyo alinusurika katika ajali ya barabarani iliyotokea tarehe 20 Juni 2026 eneo la Wendele, iliyohusisha gari la...
Shalom shalom watanzania! Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja.
Hivi ni sahihi kwa mkuu wa mkoa wa mji mkubwa wa Dar es salaamu tena uliojaa matukio ya watu kutekwa, kupotezwa Hadi kuuliwa kutoa kauli hiyo mbele ya kadamnasi ya umma? Hivi hii kauli angeitoa kiongozi yeyote wa upinzani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.