mbaya

The Mbayá or Mbyá are an ethnic group, commonly called "Indians", which formerly ranged on both sides of the Paraguay River, on the north and northwestern Paraguay frontier, eastern Bolivia, and in the adjacent province of Mato Grosso do Sul, Brazil. They have also been called Caduveo. In the 16th century the Mbayá were called Guaycuru, a name later used generically for all the nomadic and semi-nomadic Indians of the Gran Chaco. The Kadiwéu people of Brazil are the surviving branch of the Mbayá.The Mbayá called themselves the Eyiguayegis 'people of the palm', a reference to the abundant palm trees in their home country. (The name Eyiguayegis is similar to that of Agaces or aigeis, a name more often applied to the related Payaguá. Possibly the two peoples were nearly the same in the 16th century.) The Mbayá spoke a Guaycuruan language. They were "formidable" fighters and "kept the Europeans – settlers and priests alike – at bay" for more than 300 years.The Mbayá were nomads. With horses captured from the Spanish, the Mbayá developed an equestrian culture by about 1600 and were a serious threat to Spanish and Portuguese settlers, missionaries, and governments in Paraguay, Bolivia, and Brazil until near the late 19th century. They also raided and subjugated other Indian groups, notably the Guana. They were generally friendly with the Payaguá, who lived along the Paraguay River and had a riverine culture.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi Mafundisho ya Kidini Yanavyopandikiza Chuki, Utengano, na Roho Mbaya Kwenye Jamii

    Kuna uongo ambao tumelishwa kwa miaka mingi kwamba dini zinaleta amani na upendo tu. Ukweli wa kihistoria na wa kimaandiko uko wazi: Dini nyingi zimejengwa juu ya mfumo wa kubagua watu, kueneza chuki, na kuvunja hata mahusiano ya familia Ukiacha maneno matamu jukwaani apa na ukaenda kwenye...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Hakuna legacy urathi mbaya alioacha Magufuli kama kutuletea hawa vinyamkera wa kukera.

    Vipo vingi hadi vinatia kinyaa. Pamoja na mengi mazuri aliyofanya, alikosea kwa kuumba na kuleta vinyamkera ambao wamegeuka kero katika taifa letu. Vinyamkera hawa wanakula kwa miguu na mikono tena bila kunawa. Hawashibi wala kuridhika. Ni viumbe hatari kuliko hata chawa wanayonya damu. Ni...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Uchawi, ushirikina, ulozi, wivu ,roho mbaya nk, ndio sababu ya nchi za afrika kuendelea kuwa masikini.

    Habari wa kuu, kimsingi Kuna vitu vingi vya ajabu sana nchi za Africa hasa ukijiuliza nakutafakari kwa kina, watu wazito kwa kila kitu hasa kifikra na kutambua kusudio la binadamu kuwepo kwenye uso wa dunia, Kwa upande wangu sijawai na sitokuja kuwalaumu watu wanao jazana kwa wanao jiita...
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Methu: “Ruto na Kindiki Wameleta Pombe Mbaya Mlima Kenya”

    Seneta wa Nyandarua, John Methu, amewakosoa Rais William Ruto na Naibu Rais Kithure Kindiki, akidai kuwa uongozi wao umechangia kupatikana kwa pombe mbaya katika jamii za Mlima Kenya. Katika hotuba yake, Methu alielekeza lawama kwa viongozi hao kuhusu aina ya pombe inayopatikana katika eneo...
  5. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Unakuta unashuhudia mchezaji anaanza kucheza soka (debut) hadi unashuhudia akistaafu soka wewe bado uko vile vile unaishi na mandoo ndoo unamo lala

    Hali hii ni mushkeli aisee, Wenzangu wa "uchumi wa mandoo ndoo" mmeamkaje?
  6. A

    JamiiForums Tanzania Malalamiko kuhusu utoaji huduma katika Zahanati ya Mkolowony Moshi DC

    Tunaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu hali ya utoaji wa huduma za afya katika Zahanati ya Mkolowony iliyopo Moshi DC. Zahanati hiyo imeruhusu mtu ambaye si mtaalamu wa afya kutoa huduma kwa wagonjwa. Kinachotia wasiwasi zaidi ni taarifa kwamba mtu huyo anahusika hata katika kutoa sindano kwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa kwa serikali na nchi kumfungia kufanya sanaa mtu anayepambana kurekebisha hali mbaya iliyopo ya mmomonyoko wa maadili katika jamii.

    Wanaume wote wapo pamoja na dudu baya. Wamama,wadada hadi wabibi wanaowapenda na kujivunia vijana wao wakiume,wanaunga mkono kampeni ya dudu baya. Kwa kifupi watanzania wote [ukiwatoa mashoga,wasagaji na basata] ya serikali ndio hawaoni jambo jema,tukufu na la kheri analofanya dudubaya. Hii la...
  8. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Makonda alitumia methodology gani kusema jezi ni mbaya? Au yeye mawazo yake ni sheria? Kikao cha wizara kinasemaje?

    Wakuu tupelekeni watoto shule.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hekaya za Muuza Kangala: Wananchi wanasema jezi zinafaa, Waziri anasema ni mbaya kunani?

    Kati ya watu mil 67 wanaoishi hapa Tanzania wamekubali na kusema kuwa jezi alizotengeneza Sandaland kwa mkataba halali ni nzuri na zinafaa. Ila mtu mmoja tu ambaye ni waziri anadai kwenye macho yake ni mbaya na hazifai. Kuna nini? Kuna ka ten pasenti kamempita kushoto?
  10. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Uongo mbaya na msema kweli mpenzi wa Mungu, jezi ni mbaya na hazina mvuto.

    Tuseme ukweli jamani, jezi ni mbaya na hazina hata mvuto, Uongo mbaya...Hivi hawaoni hata jezi za nigeria, Ghana, burkinafaso,, waibe ibe basi hata idea kidogo..jezi Ina rangi Moja tu.. Kwakweli nakuelewa Mr Makonda, mtu nchi yako Ina host mashindano makubwa ya Afcon halafu una jezi hazina...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Dudu baya hajamdhalilisha mtu hata mmoja

    Dudu baya hajamdhalilisha mtu hata mmoja.maana anaowataja wana dalili zote za ushoga.kwa hiyo ni wao ndio wanajidhalilisha kwa kuenenenda kinyume na utamaduni,mila,desturi,dini na utashi wa kawaida wa kibinadamu. Dalili hizi zinatosha kabisa kumtambua mwanaume anayejihusisha na ushoga...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Habari mbaya sana kwa wachagga

    Mlima Kilimanjaro ni chanzo kikuu cha maji katika maeneo yote ya uchagani. Mifereji, mito, yote imeanzia huko. Mlima huo ulipata umaarufu zaidi kwa kuwa na theluji(glaciers) ilihali upo karibu na equator. Theluji hiyo ilifunika mlima ule kilele chote. Ila kwa miaka ya karibuni, asilimia...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rekodi Mbaya ya Utawala wa Samia Suluhu Hassan: Tanzania imegeuka Nchi ya Misiba, Kesi za Uongo na Uteuzi za hovyo

    Cha kwanza alichofanya ni kuhakikisha anajipachipa au anapachikwa udaktari ili aonekane Msimi. Sisi tunamchora tu🤣 Salaam Wakuu, Hivi mumegundua jinsi Uongozi ikishalaniwa unavyofanya kazi? Haijawahi kutokea, hii ni rekodi Mbaya Nchini Tanzania ya Uongozi wa Samia Suluhu na Rekodi mpya kwa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Matuta yaliyowekwa na Wananchi eneo la Chang'ombe Makaburini ni hatari sana

    Kuna matuta katika eneo la Chang’ombe Makaburini yaliyowekwa na wananchi bila kufuata utaratibu unaotakiwa. Hali hiyo imekuwa ikisababisha ajali, huku baadhi ya watu wakipata majeraha. Je, mamlaka husika hazioni changamoto hii? Ni muhimu hatua zichukuliwe ili kuhakikisha matuta hayo yanawekwa...
  15. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jifunze kutumia Capcut bure (Free Class)

    Jifunze kutumia Capcut bure (Free Class) CapCut Course: Beginner to Advanced 🔰 Kozi hii ni kwa ajili ya: Content creators (TikTok, Instagram, YouTube) Wamiliki wa biashara wanaotaka kutengeneza video za matangazo Freelancers wanaotaka kuuza huduma ya video editing Wanafunzi au mtu yeyote...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Hali ya maisha ni ngumu kuliko tunavyodhani

    Leo nimeenda zahanati ya serikali bhana. Nikaandikiwa vipimo nilivyotakiwa kupima, nikapewa bili ya Sh16,000. Nikalipia na kwenda maabara. Huwezi kuamini, maabara wamechukua mkojo na damu, lakini walichopima ni malaria pekee. Ningeenda hospitali binafsi, vipimo hivyo ningetumia hata Sh6,000 tu...
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Baraza la Wazee CHADEMA, Mkoa wa Mbeya asema CHADEMA imejaa watu wenye roho mbaya, asema uchaguzi wa chama umejaa rushwa ya kutisha

    Ukiona moshi, usidhani uko Mkoa wa Kilimanjaro, wakati mwingine ni moto unawaka chini kwa chini. Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Chadema Mkoa wa Mbeya amekiri kwamba uchaguzi ndani ya chama umejaa rushwa ya kiwango cha kutisha, kiasi kwamba aliamua ajiondoe kuogombea uenyekiti wa chama mkoa wa...
  18. B

    JamiiForums Tanzania TIMU MAGHUFURI MTU MBAYA ( Tujikumbushe jinsi asali ilivyotamu

    1.Kigogo 2.Mboe 3.Zito 4.Shangazi Daaah, hii miamba ilimshambulia sanaa marehemu maghufur Cjui kwa sasa Nini Kimetokea. Asali tamu sana Mtume Kuna miujiza? Nini kimetokea ,,,,,,,>mama kajifungua bila ujauzito ..... Nawatahadharisha 1.Tusali sana Kila mmoja kwa dini yake
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba amepata kadhia ya kukumbwa na upepo mbaya mkutanoni. Tumuombee.

    Mzee wetu kachoka sana, walikosea kumpa muda mrefu sana wa kusimama na kuongea. Yeye kashafanya zamu yake imetosha, haya ya sasa atuachie sisi wenyewe tuhangaike nayo. Apunzike tu. https://www.youtube.com/live/wEUJIEJ28Ts?si=ydn-fstezmmkfSAe
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania KERO Sheikh alia na hali mbaya ya vyoo Mbezi Magufuli stendi

    Ujumbe nitakaoutuma, naomba huu ujumbe ufike, niombi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Mimi nimeingia leo kutoka safari, tumefikishwa Mbezi... waitwaje ile stendi mpya? Mbezi Magufuli. Ningeomba Mkuu wa Mkoa au yule aliyeweka lile jambo, enda katembelee ile sehemu. Je, yastahili kuwapeleka watu...
Back
Top Bottom