wenyewe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Africa ni wrong entry kwa wa africa wenyewe.

    Unazaliwa africa ila africa inavokutendea na kukufanyia au kuona ulipo ni kama sio sehemu sahihi. Msemo wa wazungu kusema watu weusi ni nyani ulikuwa sahihi kabisa.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Warangi wakarimu kuliko ukarimu wenyewe

    1. Warangi hawajui kukataa mnaweza kutembezewa mbunye (isio na antenna) mtaa mzima bila kujuana. full majuba ila maadili hamna. 2. Ukioa Mrangi, jiandae kulea ukoo mzima nyumban kwako hata umepanga chumba kimoja. Kaka zao wala mirungi mwanzo-mwisho. Full kutegemea Dada zao.
  3. ngara23

    JamiiForums Tanzania Vita ya ushoga ni ngumu sana kuliko hata madawa ya kulevya, Dudu ashafungiwa na Basata

    Binafsi sioni kosa la Dudu baya Naona anajitoa kupinga uvunjifu wa maadili Badala BASATA kama chombo cha serikali wamfungie? BASATA wanamfungia Dudu Kwa kosa gani? Kuna uwezekano hadi uko BASATA yamejipenyeza mabwabwa Mashoga yamejipenyeza hadi serilini Wafanya maamzi baadhi ni machoko
  4. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania USHIRIKIANO BAINA YA TEC,WANAHARAKATI NA CHADEMA UNAZIDI KUBAINIKA BAADA YA WAO WENYEWE KUSHUTUMIANA

    Friends and Our Enemies, "How you do anything,is how you do everything"...Dante. Tumekuwa siku zote hapa Jukwaani tunasema kwamba yale yaliyotokea 29 October yana viashiria vyote kwamba wapo watu walikuwa nyuma ya seke seke lile kiasi cha kupelekea nchi yetu pendwa na kisiwa cha amani...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Hali inayotokea katika maisha tumepangiwa au tunapanga sisi wenyewe

    Salaam Nianze na kutafakari kwanza asubuhi hii Hali hizi tunazokumbana nazo ni kwamba tumepangiwa au tumepanga sisi katika maisha haya tunayoishi sisi, Nimeenda na kuwahi kabisa kibaruani na kufata vigezo vyote sijachaguliwa kufanya kazi au Leo sio siku yangu , labda nataka niende sehemu...
  6. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Kuna watu hawawezi kua /kukaa wenyewe. Hii hua inanishangaza sana

    Wakuu, Leo mimi nataka nishee na ninyi jambo moja. Kuna hiki kitu hua kinanishangaza sana. Nimekuja kugundua kwamba kuna watu hawawezi kabisa kukaa wenyewe peke yao. Hapa naomba nieleweke kwamba kukaa wenyewe yaan mtu ukimwacha dakika 2 peke yake unamkuta amefanya vitu km kichaa fulani vile...
  7. Equation x

    JamiiForums Tanzania Matajiri wakubwa duniani, wanatengenezwa na nchi zao au wanajitengeneza wenyewe?

    NIkiangalia Marekani, Ulaya, naona matajiri ni wengi sana ukiringanisha na sehemu zingine za dunia. Na kama wanatengenezwa na nchi zao, kwa sisi waafrika tujifunze nini?, Na kama wanajitengeneza wao wenyewe, ni nini kifanyike? Nipo hapa nawaza nikawekeze kwenye uchimbaji wa mafuta Iran.
  8. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ana uchungu sana na Nchi kuliko wananchi wenyewe!

    Kwa mujibu wa maoni, hisia na saikolojia ya wananchi inaonesha hawakubaliani na Rais wao na serikali yake kwa namna inavyowaongoza. Sasa je kama anajua hakubaliki na asilimia kubwa ya watu wake kwanini? Hajitafakari na kuwajibika kwa dosari hiyo.!? Je yeye ndie pekee anayeweza kuongoza nchi na...
  9. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kuahirisha Baraza Kuu, simmeona Wenyewe tangu Juzi Walofadhiliwa kufanya Fujo, wanavyojitokeza kujilopokesha?

    Sasa fikiria hizo kelele, ndizo zingeibuliwa pande zote , Kusingekuapo na Mkutano Tena, Bali Fujo Fujo ambazo Serikali na Msajili wangetumia!!. Sasa wameambiwa kwakua Mkutano umeahirishwa, ni Ama kurudisha Pesa za watu au Kuita Vyombo vya habari kumshambulia Heche
  10. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi hajui kuwa hakuna kiapo kisicholindwa na Sheria/kanuni sijajua kwanini chadema wanamtumia huyu madam

    Maria Sarungi ameandika post ambazo zimenifanya nimjue kuwa hana akili sawasawa, hajui mambo mengi sana, wajinga tu ndo wanaweza kuamini post zake. Kwasababu chadema Ina ujinga ujinga na upumbavu mwingi ndo maana wanamtumia sana Maria Sarungi Anyway ngoja nitoe elimu kidogo. Viapo vyote...
  11. Superbug

    JamiiForums Tanzania Yametimia mkitumaliza sisi mtageukiana wenyewe kwa wenyewe

    Iliwahikutabiriwa hii hali ya ccm kuwatesa wapinzani kwa kuwauwa kuwateka na kuwafungulia kesi za uongo. Godbless Lema akiwa mbunge kabla magufuli hajawafanyia uovu aliwahi kusema bungeni haya mnayotufanyia sisi chadema mnadhani yataishia kwetu tu lakini siku mkitumaliza sisi mtauwana na...
  12. britanicca

    JamiiForums Tanzania Jambo zito kisiasa lakaribia litatikisa, ni ama ajiamulie mwenyewe au wenyewe waamue

    Kwa heshima bora ajiamulie mapema aisee Litatikisa hakuna week kadhaa mbele miamba inatikisika Ni credit kwa Taifa Britanicca
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Natamani kuwepo na makongamano ya self awareness ya kusaidia vijana kujua sababu kuu ya ukapuku na fujo zetu ni sisi wenyewe watu weusi.

    Ishu sio kujilaumu kwa mtiririko huu Ila kujua kweli, ili tujiondoe katika utumwa wa victim mentallity wa kufundishwa kulaumu wazungu huku anaekufundisha kulaumu anatumia mwanya huo kukuminya wenye wewe mwafrika mwenzake. Truth prevails, truth heals, right? Tukijua ukweli kuwa kuna jamii...
  14. Poker

    JamiiForums Tanzania Tupo Wenyewe Ulimwenguni?

    Katika kupiga hesabu zangu na kuziangalia nyota, kuwaza na kuwazua nimefikia hitimisho kuna uwezekano mkubwa tupo wenyewe huku ulimwenguni. Dalili zote zinanionyesha uhai uliopo duniani, ni wakipekee na unaweza usipatikane popote pale ulimwenguni. Kuna sababu nyingi zinazofanya niamini hivo...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Kwa maoni yangu naona lengo la TEC ni kunawa mikono kwamba tulionya kabla na tumeonya baada Kwa wazi Kwa Siri damu iwe juu vichwa vyenu wenyewe

    Kwanza wameonyesha UNYENYEKEVU kama WATUMISHI wa Mungu Kwa watawala kuwatafuta Ili kuwaambia ukweli Tangu zamani kazi ya makuhuni na MANABII ilikuwa ni kuonya watawala walipokuwa wanakosea njia Baada ya kuonya kazi Yao inaishia pale wanasubiri maamuzi ya watawala. Baada ya hapo wanaotegemea...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Polisi na zimamoto wanaposema walifanikiwa kuzima moto wakati moto huo umeteketeza kabisa nyumba au gari, wana maana gani? Si moto ungezimika wenyewe?

    Jana tena katika ajali ya basi na Aphard huko Moshi, msemaji wa Polisi anasema vikosi vya polisi na Zimamoto walifanikiwa kuzima moto. Nashindwa kujua hayo mafanikio wanayoyataja ikiwa hali ya basi lililoungua ni kama hapa chini. Kauli hizo ni sawa na zile nyingine kauli potoshaji za Polisi...
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Upinzani Tanzania umejichuja wenyewe na kubaki na viongozi na wanachama waropokaji, watukanaji na waporomosha matusi tu, hoja sio utamaduni wao tena

    Unadhani kwanini baadhi ya vyama vya siasa vya upinzani nchini Tanzania vimeaamua kuacha kupambana kutafuta kuungwa mkono na wananchi kwa kutumia itikadi za vyama vyao, sera na agenda za kuvutia wananchi wapiga kura, na badala yake vimeanzisha utamaduni wa kutumia matusi kujitambulisha kwa umma...
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Jamiiforum mnapuuza ila na wenyewe mpo kwenye list.

    Mimi sipo nchini ila mnapo futa ila tambueni mpo kwenye list. Na hawa mnao wapa nafasi kwenye jukwaa ndio waliopo kwenye list. Tupo mbali ila list ya watu ni nyingi nyie bisheni ila mwisho wa siku hata unayefuta hupo kwenye list.
  19. S

    JamiiForums Tanzania US General: Hatuna silaha kuilinda Israel bora tujilinde wenyewe

    Generali wa marekani Alexus Grynkewich amesema kwasasa hana silaha za kuilinda Israel hivyo ni bora silaha zilizopo ziisadie kwenye ardhi ya marekani badala ya kuilinda Israel.
  20. MIHAYO1710

    JamiiForums Tanzania MAISHA YANGU YA SOCCER VS NEEMA YA MUNGU

    Wakuu ningependa kuelezea kwa kifupi zaidi maana ya neema ya Mungu, kupitia maisha yangu halisi ya soccer. 👉Mimi niliupenda sana mpira wa miguu, lakini mpira wenyewe haukuwahi kunipenda! Ukoo wangu (Upande wa baba na mama) hakuna historia inayoonesha kwamba aliwahi kuwepo mcheza soccer...
Back
Top Bottom