sensa 2022

The Fèsta de ƚa Sènsa was a feast of the Republic of Venice held on the occasion of the feast of the Ascension (in the Venetian language, Sensa) and still celebrated as a recreation today. It commemorated two significant dates in the Republic's history; the first being May 9, 1000, when the Doge Pietro II Orseolo rescued the denizens of Dalmatia imperiled by the Slavs. The aforementioned date marked the onset of Venetian extension in the Adriatic.

The second event commemorated took place in 1177 when the Doge Sebastiano Ziani, Pope Alexander III and the Holy Roman Emperor, Frederick Barbarossa agreed to the Treaty of Venice which ended the long-standing differences between the Pontificate and the Holy Roman Empire.
On the occasion of this festival was held the ceremony of the Marriage of the Sea (It. Sposalizio del Mare). This ceremony is recreated annually with the Mayor of Venice taking on the traditional role which was historically executed by the Doge.

View More On Wikipedia.org
  1. MoseKing

    Sensa 2022: Matokeo yanaonesha Watanzania wengi "hukata moto" miaka ya 30+. Je, ni hali mbaya ya maisha?

    Ni Kwasababu ya ugumu wa maisha? Au kutokana na ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza? Au ni kutokana na mtindo wa maisha?
  2. Abuu Kauthar

    Sensa 2022, ina maana gani kutuma meseji kila siku

    Hivi hii ina maana gani kutuma meseji kila siku ili mimi zinisaidie nini? Yaani ndio mpanga maendeleo ya nchi ama ni nini eti wanajukwaa?
  3. kyagata

    Kwa mujibu wa Sensa, hii ndiyo mikoa liyowekeza vyema kwenye suala la elimu

    Mikoa mama ya Kanda ya ziwa yani Mwanza, Mara na Kagera inaonekana kujizatiti vyema haswa katika swala la elimu ikifuatiwa na mikoa ya pwani pamoja na kaskazini. Kwa hiyo kile kitendawili cha mikoa gani inaongoza kwa kuwa na wasomi wengi hapa Tanzania huenda kikawa kimeteguliwa na sensa ya watu...
  4. voicer

    Sensa 2022: Kwanini Samia hakutangazia Taifa kupitia vyombo vya habari ili kuokoa mapesa yaliyoteketea?

    Ilikuwa rahisi zaidi Rais angetutangazia idadi yetu, kwa kulihutubia taifa, na Dunia nzima kupitia vyombo vya habari.Na tungeelewa bila kuharibu mapesa ya walipa kodi. Badala Kutumia Mamilioni kama sio mabilioni, eti kisa Sherehe ya kutangaza Matokeo ya Sensa,Ni ubadhirifu mkubwa kwa pesa za...
  5. peno hasegawa

    Matokeo ya sensa 2022 yanaonesha kila mwaka Watanzania wanaongezeka watu 1,800,000 kuanzia mwaka 2012

    Sensa ya wayu na makazi ya mwaka 2012 Tanzania ilikuwa na watu 44 milioni ambapo sensa ya mwaka 2022 watanzania wamehesabiwa na kupatikana watu 62 milion. Kwa hesabu hii, inaonyesha 62m ~ 44m = 18m 18,000,000/miaka 10 = 1,800,000 Kwa mantiki hii kila mwaka kuanzia mwaka 2012 hadi 2022...
  6. V

    Sensa 2022

    Wahenga walishasema kuishi kwingi kuona mengi .Mabadiliko ya kweli yanaanza na mabadiliko ya fikra. Uthubutu umeleta mabadiliko Kwa Mara ya kwanza sensa imefanyika kidigitali, jambo zuri kwenye mabadiliko. Serikali imethubutu japo Maandalizi hayakutosheleza kufanikisha zoezi hili,nimefarijika...
  7. Jerlamarel

    Kila kishkwambi cha Sensa kilipaswa kiwe na powerbank yake, lakini hali ni tofauti

    Kulingana na bajeti ilivyopangwa, ni kwamba kila kishkwambi kilipaswa kiambatane na powerbank yake. Lakini makarani wengi waliopo mitaani hasa maeneo ya mijini hawana hizo powerbank. Kila wakifika kwenye kaya inabidi waombe kufanya kazi yao wakiwa wamechomeka vishkwambi kwenye umeme. Kumbuka...
  8. B

    Kwanini sensa ya watu na hii ya majengo hazikufanywa sambamba?

    Tumeambiwa zaidi ya 600bn/- zimetumika kwenye sensa tuliyoambiwa ni ya watu na makazi. Tungali tunajitafakari wanakuja na jipya: Hili nalo ni zoezi la bilioni ngapi? Hivi makazi na majengo nini tofauti? kwanini mawili haya kama ni tofauti na kama ni muhimu hayakuunganishwa ili kufanywa pamoja...
  9. Influenza

    Zoezi la sensa 2022 lafikia asilimia 54 ikiwa leo ni siku ya 4

    Zoezi la kuhesabu watu katika sensa ya watu na makazi limefikia 54% hadi leo Agosti 26, 2022.
  10. Fukua

    Hongera Rais Samia kwa zoezi la Sensa linaloendelea nchini

    Salaam wanajukwaa na watanzania wote. Kwanza, nimshukuru Mungu muumba kwa uzima na afya tele NAMI nimeiona siku ya leo. Pili, Nimshukuru Rais wetu Mpendwa Mama msikivu, mnyenyekevu, mpole, mchapakazi, na mwenye mapenzi mema na nchi yetu, Mama SAMIA kwa kuendelea kuiongoza nchi yetu kwa weledi...
  11. BARD AI

    Sensa 2022: 17% ya kaya zimehesabiwa kwa siku moja

    Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi 2022, Anne Makinda amesema kuwa asilimia 17.13 ya kaya zote nchini zimehesabiwa ndani ya siku moja kwenye Sensa ya Watu na Makazi iliyoanza jana Jumanne Agosti 23, 2022. Makinda amesema hayo leo Jumatano Agosti 24 jijini Dar es Salaam wakati akitoa tathmini ya...
  12. Logikos

    Sensa 2022 - Could it be Done Better?

    Kumbuka Better sio Kwamba kilichofanyika ni kibaya bali hata kama ni kizuri, Je kingeweza kuboreshwa? Binafsi sina tatizo hata kama sensa ingechukua mwezi mzima au mwaka, let alone siku 7 Binafsi kwenye hii karne ya Sayansi na Teknolojia, nadhani hili zoezi lingeweza kufanyika kwa urahisi na...
  13. Tengeneza Njia

    Maoni yangu kuhusu Sensa 2022

    Wadau, hivi Serikali haikuona umuhimu wa kuunganisha masuala ya postal code na mifumo hii ya sensa? Kama tayari anuani za makazi zipo kwenye system, huyu karani anayekuja kwenye makazi yetu alitakiwa kwanza akifika aingize ile anuani anayoikuta (kwenye milango yetu) au vibao vile walivyoweka...
  14. Msanii

    Sensa 2022: Zoezi linavyoendelea na yanayojiri

    Tarehe 23 Agosti ni siku rasmi ya kuanza zoezi la kuhesabu idadi ya Watu waliopo ndani ya mipaka ya nchi yetu. Zoezi hili limeandaliwa kwa umakini mkubwa tena kwa muda mrefu hivyo kutoa nafasi ya kufanya majaribio mbalimbali na kutatua changamoto na hata kuweka utaratibu mzuri wa kuliendesha...
  15. Areus

    Tuwajue na kuwatambua wanaotaka kulihujumu Taifa kwa kukwamisha zoezi muhimu la sensa

    Hakuna asiyejua umuhimu wa sensa kwa maendeleo ya Taifa letu. Serikali imetenga fedha nyingi sana kwa ajili ya sensa kutokana na umuhimu wake katika nchi yetu Lkn kuna watu wanaikwamisha serikali katika kutimiza adhima hii muhimu. Leo nikiwa kijijini nilikoenda kupumzika katika likizo yangu ya...
  16. Webabu

    Watanzania tutakuwa wengi kwa kuhesabiwa kimakosa

    Leo ni siku ya Sensa. Hata hivyo mpaka kunakucha leo bado sikuwa na taarifa sahihi za sensa. Sikujua leo nisitoke nyumbani au nikitoka niache nini na nini. Tabia yangu huwa sifungui tv wala redio nyumbani na kwenye simu siangalii sana ujumbe mpaka nione ni wa kampuni za simu wenye neno pesa...
  17. Mad Max

    Mshahara wa Agosti ungeingia leo ili kesho tutulie tuwasubiri Makarani

    Kama kichwa kinavyojieleza. Mzigo ungeingia leo, ili kesho tukae na familia zetu tunawangoja makarani waje watuhesabie. Sasa hadi sahivi bila bila, tunaodaiwa madeni kesho tutaweza kweli kukaa majumbani? Karibuni wazee wa kusema walimu mna njaa kweli kweli.
  18. G

    Sensa kwa maendeleo? Hapana

    Tumekuwa tukiaminishwa kuwa lengo la sensa ni kuisaidia serikali kupata takwimu zitakazosaidia kugawa keki ya taifa kulingana na idadi ya watu katika sehemu husika. Hiyo inabaki kuwa nadharia tu ila kiuhalisia sio hivyo. Tumeshuhudia wilaya kama Chato na sehemu nyingine wanakotoka viongozi...
  19. Influenza

    Maswali 100 ya sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ORODHA YA MASWALI YA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022 Maswali yote ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 yanatakiwa kujibiwa na Mkuu wa Kaya husika, isipokuwa MASWALI YA HALI YA UZAZI kuanzia swali Namba 67 hadi 71 ambayo yanatakiwa yajibiwe na mwanamke...
Back
Top Bottom