#.Ukikubali kila kitu unaitwa mpole.
#.Ukikubali kutumwa kila saa unaitwa mnyenyekevu.
#.Ukikubali kulipwa kidogo unaitwa mvumilivu.
Kumbe wanakufurahia na kukuita majina mazuri kwa sababu huna msimamo.
Anayependwa na kila mtu hana msimamo kwani
Mwenye msimamo lazima kuna watu...
Chief Mkwawa—ambaye jina lake rasmi la kiukoo na kiutawala tangu kuzaliwa ni Chief Mkwavinyika Munyigumba Mwamuyinga—anasalia kuwa alama kuu ya heshima, uzalendo uliotukuka, na msimamo usiotikisika. Makala hii ya kiweledi inachambua ukweli wa kihistoria wa shujaa huyu na kufanya tathmini ya kina...
Katika taarifa yake ya kikao chao cha Septemba 20, 2026 CMAG imesisitiza yafuatayo:
1. Kuendeleza mchakato Unaojumuisha pande zote, unaoaminika na unaowezeshwa kupitia ushirikiano kati ya vyama vya siasa.
2. Kulinda Uhuru wa kiraia, Uhuru wa kisiasa na Uhuru wa vyombo vya habari.
3...
Nimeishi na Wakurya, wakiwemo Wanzanaki na koo mbalimbali ambazo wakati mwingine hujitambulisha kama makabila tofauti, lakini ukiangalia kwa karibu utaona ni wale wale tu wote wanaitana MURA ! mambo mengi wanafanana kuanzia majina, mila, tohara na mambo mengine mengi. Kwa kifupi, wote ni kina...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Lissu, anaendelea kukabiliwa na kesi ya uhaini katika Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam. Anashtakiwa kwa kauli alizotoa Aprili 3, 2025, kwenye mkutano wa chama ambazo upande wa mashtaka unadai zilikuwa na nia ya kuchochea uasi...
Katika matukio mengi yanayoendelea kwenye siasa za upinzani kuanzia uchaguzi wa Chadema, kuhamia Chauma, Mbowe kuonekana alikuwa muigizaji, tetesi za Lema haivi chungu kimoja na Heche, n.k.
nimeona maoni mengi ambayo yanawapoint na kuwachafua wachaga, kwajili ya matendo ya wachache.
Watu...
baada
binafsi
hawana
imani
kashfa
kina
kuharibu
kuliko
kupotea
kupoteza
kuyumba
kwasababu
legacy
maslahi
maslahi binafsi
mchaga
msimamo
nyingi
sana
siasa
siasa za upinzani
tamaa
taswira
uaminifu
upinzani
uzalendo
viongozi
wachache
wachaga
wengi
Hii picha imeleta gumzo sana huko Tanzania jinsi ambavyo Chid Benz amesimama kishujaa kabisa mbele ya Bw. Katambi bila kuonesha unyonge hata kidogo. Hii picha imekuwa gumzo kwa watu wengi sana
Wengine wamesema ameonesha kumdharau aliyemwita au ameonesha kutojali pengine baada ya kuona ameitiwa...
Sisi wakweli na wanazuoni wa iliyokweli huwa hatubabsishwi na matukio.
Inawezekana tuna tukio moja tu la huyu anayesemaekana ana msimamo na wasiojua wanaweza kusema eti ana msimamo kutokana na hilo tukio moja tu.
sisi wenye msimamo tunakuambia tukio hilo halitubabaishi wala kutuondoa kwenye...
Leo ni siku ya kuzaliwa mtume Muhammad S. A.W,kiongozi wa kiislamu.
Tutaangazia kidogo kuhusu msimamo wa Mtume Muhammad ktk swala la kutoa haki ktk vyombo vya mahakama.
Upi ulikuwa msimamo wake na vipi jamii ameiasa. Hapa siingilii mahakama maamuzi tunachambua jinsi ya mtume Muhammad...
Ndugu wana-Jamii Forums,
Katika hali iliyoleta taharuki na mjadala mpana kwenye anga za kisiasa za ukanda wa Kusini mwa Afrika (SADC), mwanasiasa machachari na msomi kutoka Afrika Kusini, Dkt. Mbuyiseni Ndlozi, ametoa kauli nzito inayomgusa moja kwa moja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Mtangazaji:"Kuhusu maridhiano, hapa nimesikia mwanzoni umezungumza unasema kwamba hakuna maridhiano mpaka wapatikane watu kutoka nje. Unaamini kwamba Tanzania haiwezi kufanya mambo yake bila kushirikisha watu wengine?"
John Heche: "Hivi vitu Farhia si vitu vinavyotokea kwa mara ya kwanza...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche amekemea vikali wimbi la utekaji na kupotea kwa watu nchini wakati akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika mji wa mpakani wa Sirari, wilayani Tarime mkoani Mara.
Akihutubia mamia ya wananchi waliofika...
Watanzania wote hawana msimamo mmoja, ila CCM ina msimamo mmoja. Lazima tujitizame, kwanini CCM wote wana mtizamo mmoja? na kwa nini Watanzania wote hawana mtizamo mmoja?.
Tukome kupima upendo kwa idadi ya mambo tunayofanya kwa watu na tupime upendo kwa idadi ya watu wanaotuheshimu tunaposema "hapana".
Ukikosa msimamo, utatumika mpaka uchoke ila ukiujenga msimamo utaheshimiwa hata na wale waliokuwa wanakutumia jana
Kumbuka: Mlango usioweza kufungwa...
Yeye akiwa na shida anaomba nimsaidie pesa. Namsaidia. Mimi nikiwa na shida. Anataka anipe kipapiro/papuchi. Ambacho hicho anacho yeye all the time so haingii gharama. Eti ndo mapenzi ndo sadaka.
Sadaka ni kutoa kitu kinachokuuma ambacho unapoteza. Siyo kuoffer kitu ambacho unacho tu kinabaki...
Dar es Salaam.
Taarifa waqliyoitoa Chama cha ACT-Wazalendo walipokuwa wanaongea na Waandishi wa habari. kuwa litafungua mashauri mahakamani kupinga baadhi ya vifungu vya Sheria ya Fedha ya Mwaka 2026 limefungua mjadala mpya kuhusu nafasi ya siasa za upinzani katika usimamizi wa fedha za Umma...
Papa Leo XIV amewandoa kundini na kuwanyang'anya Sacramenti zote Wakatoliki wa SSPX wenye makao makuu Switzerland baada ya kuwasimika Maaskofu wanne wapya wa order yao kinyume na katazo la papa Leo.
SSPX ni Wakatoliki wanaoshikilia msimamo mkali na WA kale zaidi wa dini wakiendesha misa zao...
Aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP Mstaafu), Omar Mahita, ameshikilia msimamo wake wa kimfumo akisisitiza kuwa chombo hicho kina uwezo kamili wa kujiendesha chenyewe kiutendaji bila kuhitaji uwepo wa msimamizi wa kisiasa (Waziri).
Msimamo huo mzito wa Mahita umeibuka tena hivi...
👉Ndani ya siasa za kimkakati, kuna wachezaji ambao huonekana kupambana hadharani lakini nyuma ya pazia wakawa sehemu ya operesheni kubwa zaidi isiyoonekana kwa macho ya kawaida.
👉Safari ya Peter Msigwa ndani ya CHADEMA haikuwa ya kawaida, bali ilikuwa operesheni ya muda mrefu iliyojengwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.