watumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. milele amina

    Watumishi wa Umma someni hapa Kuna Ujumbe wenu muhimu kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025.

    Msije mkasema hamkujulishwa au hamkuambiwa mapema! Niwatakie siku njema!! Makonda, RC Dodoma,Mkurugenzi Moshi Manispaa na wengine wengi. ====== Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amewataka watumishi wa umma wanaohudumu chini ya ofisi yake...
  2. Dalton elijah

    Watumishi mnanaotaka kugombea nafasi za kisiasa zingatieni taratibu za kiutumishi”

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka watumishi wa umma wanaohudumu chini ya ofisi yake kutojiusisha na shughuli za siasa kama ambavyo Sheria, Kanuni na Taratibu za utumishi wa umma zinavyoelekeza. Waziri Mchengerwa ametoa...
  3. Stephano Mgendanyi

    Pre GE2025 Watumishi mnanaotaka kugombea nafasi za kisiasa zingatieni taratibu za kiutumishi - Mhe. Mchengerwa

    WAZIRI MCHENGERWA: Watumishi mnanaotaka kugombea nafasi za kisiasa zingatieni taratibu za kiutumishi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka watumishi wa umma wanaohudumu chini ya ofisi yake kutojiusisha na shughuli za siasa kama...
  4. Roving Journalist

    Madai ya Chuo Kikuu Huria (OUT) kutolipa Watumishi stahiki zao, Chuo chatoa ufafanuzi

    Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (Open University of Tanzania - OUT), Adam Namamba amezungumza na JamiiForums kuhusu madai ya baadhi ya Watumishi wa Chuo hicho kutolipwa stahiki zao mbalimbali. Awali, Wanachama wa JamiiForums.com walidai kuna changamoto...
  5. Roving Journalist

    DC Meatu: TAKUKURU inachunguza tuhuma za Watumishi waliochukua fedha za michango ya Wananchi kujenga Shule

    Baada ya Mdau wa Kata ya Kabondo Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu kuomba Serikali kupitia kwa Rais Samia Suluhu Hassan na Waziri wa TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa kufuatilia madai ya ‘upigaji’ wa fedha za Wananchi uliotokea katika Kata hiyo, suala hilo limetolewa ufafanuzi. Kusoma zaidi hoja hiyo...
  6. Z

    NMB acheni kuwahadaa watumishi wa umma kwa meseji za mikopo hadi milioni 200!!!

    Hivi karibuni watumishi katika idara mbalimbali wamekuwa wakipokea meseji kutoka NMB Benki zikiwataka kukopa hadi milioni 200 huku Benki ikijua kuwa watumishi hao hawakopesheki kutokana na mikopo walaiyo nayo. NMB acheni kuwahadaa watumishi.
  7. F

    SI KWELI Watumishi wa Umma waliofukuzwa kazi kimakosa 2018-2023 kurudishwa

    Hapo sijui wanataka kufanya nini. Kuna ukweli wowote hapa?
  8. M

    DOKEZO Zahanati ya Mtamaa (Singida) isaidiwe, Watumishi ni wachache, mazingira ni mabovu hasa kwa Wanaoenda kujifungua

    Eneo la Mtamaa lililopo Kilomita 20 kutoka Manispaa ya Singida kuna zahanati ambayo inahudumia wakazi wa eneo hilo ambayo inatambulika kwa jina la Zahanati ya Mtamaa. Nimefanikiwa kufika mara kadhaa katika Zahanati hiyo na kugundua mambo ambayo ni vizuri nikishea na Wana JF inaweza kuwa na...
  9. eden kimario

    Nawauliza watumishi wa Yesu Kristo: Mungu Mkuu kupita miungu yote, aliye hai peke yake, kwa nini wanaoneana Wivu katika kazi walizopewa!?

    habari ya wakati huu jamii forum leo nawazungumzia hawa watumishi na ninaposema watumishi sio tu wahubiri wa neno la Mungu na na utendaji wa huduma zao, bali na waimbaji wa nyimbo za injili ambao wao wanahubiri kupitia nyimbo, ikiwa ni moja ya zile huduma tano alizotoa Yesu Kristo ya...
  10. Torra Siabba

    DOKEZO Baadhi ya Watumishi Kituo cha Afya Rusumo (Kagera) hawana lugha nzuri na hawatoi huduma nzuri pia kwa Wagonjwa

    Wana JF kuna Kero moja ambayo imekuwa ikitutafuna sisi wakazi wa Kijiji cha Mshikamano, Kata ya Rusumo ambayo ni wahudumu wa Kituo cha Afya cha Rusumo kilichopo Wilayani Ngara mkoani Kagera. Hiki kituo kilijengwa mahususi kwaajili ya kurahisisha huduma za afya kwa wakazi wa kijiji hicho na...
  11. A

    DOKEZO Ubaguzi kwa watumishi kupata stahiki zao Taasisi ya Vyuo vya Mifugo

    Kuna ubaguzi mkubwa kwenye taasisi ya vyuo vya mifugo LITA kwa watumishi kupata stahiki kulingana na mtumishi kuwa karibu na mwenye kitengo. Changamoto imezalisha chuki kwa watumishi pia hawana morali ya kazi tena ni kama taasisi imefikia ukomo hakuna mawazo mapya tena. Mkuu wa taasisi ni...
  12. B

    Kupanda kwa nauli holela za daladala

    Habari, kumekuwa na changamoto kubwa sana kwa abiria tunaoshuka njini kwa kupanda daladala za kutoka bohongwa kwenda usagara tunalazimiashwa kulipa nauli nauli kamili bila kujali tunashukia njini tena nusu ya safari, tunaomba mamlaka ziangalie jambo hili kwani zinaumiza kwa wanaoishia njiani.
  13. State Propaganda

    Georgia : Kobakhidze kuwapa tuzo watumishi wizara ya mambo ya ndani waliowekewa vikwazo na Western countries

    Waziri Mkuu wa Georgia, Irakli Kobakhidze, atangaza kwamba maafisa wa Wizara ya Mambo ya Ndani wa nchi hiyo ambao hivi karibuni wamewekewa vikwazo na Marekani na Uingereza, watapewa tuzo ya heshima ijulikanayo kama Order of Honor. Uamuzi huu, uliohakikishwa wakati wa mkutano wa waandishi wa...
  14. J

    Wajibu wa Waumini Kuhudumia na Kuwategemeza Watumishi wa Mungu

    Wajibu wa Waumini Kuhudumia na Kuwategemeza Watumishi wa Mungu Utumishi wa Mungu ni Nini Utumishi ni hali ya kutii na kuitumikia mamlaka au mtu mwenye mamlaka fulani na ambaye unamwamini na kumtegemea. Katika muktadha huu tunakuta kuna watumishi wa aina mbalimbali, ikiwa ni pamoja na utumishi...
  15. Megalodon

    Kwanini Mishahara ya watumishi ambao wapo ngazi moja inatofautiana? Je, Utumishi huwa mnafanya kazi kisayansi kweli?

    Moja ya Jambo ambalo sikuwahi kulielewa wakati nipo TZ ni hili! MD aliemaliza MUHAS na kwenda kufanya kazi Hospital za Wilaya , hardly kuwa na take home inayozidi laki 9 . The same MD aliyemaliza MUHAS akaenda MNH , take home yake inazidi 1M . Wote hawa wawili wapo level moja ya UDAKTARI wote...
  16. senkoP

    Uhamisho wa Watumishi Serikalini kuwafataa wenza wao

    Ni muda mrefu sasa tangu serikali itoe tangazo kwa watumishi wanaotaka kuhama kufata wenza wao lakini mpaka sasa kimya. Labda kama kuna mwenye majibu kuhusiana na hili naomba atoe ufafanuzi kwani ndoa za watu zinaharibika migogoro inaongezeka kwenye familia. Sijui tatizo liko wapi mpaka sasa...
  17. Megalodon

    Muda wa Kustaafu kwa watumishi wa Umma upitiwe Upya

    Huwezi kuwaambia freshers wajiajiri wakati hakuna hayo mazingira kuanzia kwenye kodi hadi kwenye mazingira. Mfano, Canada, wahitimu wanaweza kupeleka business Proposal yao kwa Wizara husika, mainjinia; kuomba ufadhili wa pesa wenye riba nafuu, gvt ikielewa proposal yenu mnapewa fund...
  18. Mchochezi

    Disemba 19 kama leo mwaka fulani, Hayati Magufuli alilipa mishahara kwa watumishi wa umma

    Hayati Magufuli alipokuwa Rais wa awamu ya tano alikuwa ni mtu asiyetabirika. Mwaka fulani katika utawala wake, alilipa mshahara tarehe kama ya leo. Imagine upo zako lindo unapokea sms ya salary pasipo matarajio Maandalizi ya krisimasi yakawa mazuri. Niwatakie Sikukuu njema ya Krismas na...
  19. A

    KERO Watumishi Hatulipwi likizo Morogoro kwanini?

    Kumekuwa na tatizo la wakurugenzi na wakuu wa idara Mkoa wa Morogoro hasa Manispaa ya Morogoro kuwazungusha Watumishi hela zao za nauli wakati wa kwenda likizo. Hili ni tatizo limekuwa likijirudia na limekuwa mazoea (Kero) ya muda mrefu. Wadau na Watumishi tumekuwa tukizungushwa mara kwa mara ...
  20. E

    BRT watumishi wanaihujumu?

    Management ya mradi wa mabasi yaendayo kwa Kasi BRT katika kutekeleza mpango wa 'maboresho', na kinachoonekana kuimarisha mfumo wa ukusanyaji mapato wamekuja na card. Wazo jema kabisa kwani pia hupunguza muda wa mteja kukaa foleni kununua tiketi. Lakini waliopanga bei ya card hawakuzingatia...
Back
Top Bottom