picha

 1. matunduizi

  Wakuu, hatua lilipofikia hili jiji la Dar es Salaam, hakuna tena hamasa watu kwenda Ulaya au US kupiga picha

  Tulizoea zamani mtu akienda Ulaya atalazimisha atafute angle ili apige Picha background imtambulishe hayuko Tanzania. Jana baada ya miezi kama tisa hivi kukaa upande mmoja wa jiji LA DSM bila kuzunguka niliachwa mdomo wazi. 1: Kuna Majengo Mapya makubwa mazuri hatari. Mfano mitaa ya Makumbusho...
 2. IrDA

  Teknolojia ya kuprint picha na kubandika kwenye photo frame za mbao

  Habari wakuu, Nimekuwa interested na kujifunza teknolojia ya kuprint picha na kuziweka kwenye photo frame za mbao kama inavyoonekana hapo pichani. Nimejaribu kuomba kufundishwa na watu mbalimbali wanaofanya biashara hii mitandaoni bila mafanikio. Naomba msaada wa maelekezo, kama kuna online...
 3. T

  Picha: Hospitali ya Rufaa ya Chato iliyowekwa jiwe la msingi na Rais Filipe Nyusi. Kuhudumia takriban watu milioni 18 mikoa ya Kanda ya Ziwa

  Picha za Hospitali ya Rufaa ya Kanda -Chato mkoani Geita ambayo imewekwa jiwe la msingi na Rais wa Jamhuri ya Msumbiji na Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi mara baada ya kuwasili Chato mkoani Geita leo tarehe 11 Januari 2021.
 4. KIMOMWEMOTORS

  Picha: Ifahamu Subaru Forester SG5 kwa ufupi

  Salam, Hapo chini ni baadhi ya picha za Subaru Forester tulizoagiza na kuwakabidhi wateja wetu walioagiza nasi Kimomwe Motors (T) Ltd kupitia ofisi zetu za Dar na Mbeya Model hii ya Forester yaani SG 5 ilianzia miaka ya 2002 ikaenda mpaka 2007. Injini: Injini yake ina Cc 2000 na nyingine...
 5. racka98

  Jinsi ya kutumia Google Lens kutambua vitu

  Google Lens ni teknolojia ya kutambua vitu mbali mbali katika picha. Hii inahusisha maneno, tafsiri, wanyama, aina za matunda, aina za miti, picha zilizopo mtandaoni zinazofanana na picha yako, nk. Hii teknolojia ipo kwenye simu nyingi za Android kupitia Camera application, Google Photos app na...
 6. isajorsergio

  Instagram yaongeza kipengele cha kuonesha picha ni halisi au imehaririwa

  Mtandao wa kijamii maarufu duniani kwa matumizi ya picha na video Instagram, yaongeza kipengele cha utambuzi picha endapo ni halisi au imehaririwa. Kipengele hiki kinaongezwa kuweka msukumo kwa watumiaji wachanga wa Instagram kuona si kila chenye kuonekana na mvuto ni halisi. Kipengele hiki...
 7. M

  Tunatengeneza urembo safi wa nyumba kama inavyoonekana katika hizi picha

  Ni mtaalam wa finishing ya urembo wa nyumba tunapatikana kote Tanzania na Kenya. Njoo WhatsApp kwa namba hizi +254759792752 au+255719999526
 8. Suley2019

  Mpango wa kando wa zamani wa Aliko Dangote waweka mambo hadharani; kimada wa sasa akanusha

  Katika mambo yaliyotrend siku ya mwisho wa mwaka 2020 ni suala la mchepuko wa Mwafrika tajiri kuliko wote, Aliko Dangote kuweka hadharani mahusiano yao akidai moyo wake kuvunjwa katika vipande 1,000. Katika ukurasa wake, mwanadada wa kimarekani Bea Lewis ambaye ni mmiliki wa mgahawa, alieleza...
 9. Room 106

  msaada: jinsi ya kupakua picha kutoka facebook

  Habari. Kwa kipindi cha karibuni nimeanza biashara ya udalali wa magari pikipiki simu vitanda na vitu vingine used hapa Dar. Nimekutana na changamoto ya kupakua picha zilipostiwa FB ili niweze kupost kwingine Naomba msaada ni njia gani nitumie Shukran, Dalali Solo. 0744033555__ TABATA BIMA DAR
 10. Statesman

  Picha wanazopenda kuangalia wanawake kwenye simu zao

  Wanawake bwana huwa ni viumbe wa aina yake kama mambo yao yalivyo tu. Unaweza mkuta katulia zake ukafikiri kuna jambo moja serious Sana analifanya kumbe, Ataperuze picha kulingana na tukio lililoko mbele yake au analolitamani litokee, 1. Kama ni mja mzito ; Atakua anaangalia vinguo vya...
 11. King Mufasa

  Hebu pata picha ingekuwa wewe unaishi maisha wanayoishi hawa wenzetu wenye uhitaji maalumu

  Mungu atukuzwe kwa yote aliyoyaumba kwa kuwa hata vilivyo dhaifu huviimarisha kwa namna yake. Hebu mfano wewe uliye na kila kiungo mwilini vikiwa timilifu katika utendaji kazi; siku moja inatokea kubadilishana uzoefu na walionyimwa labda kuona au kusikia mfano; {mfano si kwa nia mbaya} -...
 12. MAMESHO

  Uzi wa vitu feki tulivyonunua. Tunataka wengine wasinunue. Tupia picha

  Habari wanajf. Nimeona nianzishe uzi huu ili kusaidia kuanika vitu feki. Karibu. Hivi karibuni nilinunua kimashine cha kukatia chips. Ni fake na hakifai
 13. Kibosho1

  Picha: Haya ni mazingira ya Kilimanjaro | mikoa mingine tunaombeni picha za makwenu

  Lengo la uzi huu ni kupeana changamoto na mikoa mingine ili muwe na hasira ya ku hustle zaidi. Oneni maendeleo ya makazi ya Kilimanjaro sio kwamba ni serikali imefanya! Ni nguvu za watu,ndio mana hakuna mchaga anaerudi kwao kizembe lazma awe na chochote kitu bila hivyo ni aibu. Sasa ili kutoa...
 14. Nguseroh

  Mlioko Tanzania tutupieni jamvini picha za sayari ya Jupiter na Saturn

  Inakuwaje wanajamvi? Usiku wa kuamkia leo Sayari ya Jupiter na Saturn zitaonekana kwa macho ya kawaida. Mlioko nyumbani bongo ama Africa kwa jumla mna bahati kwasababu anga liko wazi sky is clear. Tokeni nje sasa hivi mpige picha hata na simu mshare. Huku Skendinevia tulipo hatuna iyo bahati...
 15. Trubarg

  NAWEZAJE KUSHITAKI VYOMBO VYA HABARI KWA KUTUMIA PICHA YANGU BILA RIDHAA YANGU

  Kuna picha huwa zinazagaa mtandaoni na zinatumiwa Sana na vyombo vya habari bila kuziba privacy ya muhusika..mfano Ni picha iloyozagaa kwenye vyombo vya habari hasa kipindi hichi Cha sikukuu..picha hiyo inaonyesha mtu akipuliza kipimo Cha pombe kwenya habari iliyotolewa na jeshi la polisi kuhusu...
 16. N

  Tovuti ya fiqhi ya ibadah yenye picha zilizochorwa

  Ni mradi unaohusiana na kuwepesisha mafunzo ya hukumu mbali mbali ya Uislamu kwa lugha mbali mbali, kwa lengo la kueneza Uislamu ulio sahihi kwa waislamu. Mradi huu unajumuisha kitabu chenye picha kuhusu hukumu mbali mbali za Uislamu, ndani ya kitabu hiki kuna milango mitano nazo ni: a) Twahara...
 17. 7 mchana

  Mwenye Picha ya cheti cha Ndoa naomba a-share na sisi tafadhali

  Tunajua kuwa Ndoa ni makataba, so nmeonelea ni vyema kuomba kujua mahudhui ya aina hii ya maktaba. Itapendeza zaidi kama vikipatikana tofauti tofauti yaani cha ⭕ Kikristo ⭕ Kiislamu ⭕ Kiserikali Kama vitakuwa vinatofautiana. Asante.
 18. Miss Zomboko

  Picha ya Maradona huenda ikachapishwa kwenye pesa ya Argentina

  Seneta Norma Durango aliwasilisha muswada bungeni ili kumfanya kiungo huyo, ambaye alifariki wiki mbili zilizopita akiwa na umri wa miaka 60, kuwa kwenye noti ya 1,000 sawa na dola ($ 12, £ 9), noti ya juu zaidi. Noti hiyo itakuwa na uso wa Maradona upande mmoja na picha ya moja ya mabao yake...
 19. CARIFONIA

  Umejifunza nini kutoka katika hii picha?

  Ukiangalia katika siasa zetu na mambo mengi hii nchi inayopitia nadhani hii picha inaweza kua na ujumbe ambao kila mtu anaweza kuutafasiri anavyoweza lakini CCM nadhani pia mnaweza jifunza kitu hapa
 20. PLO

  Je, ni sahihi kwa Mwanamke kupiga picha na rafiki wa mume na kuzitunza katika simu yake?

  Naomba msaada wa mawazo wakuu, Mama Ngina wangu nikiwa niko safari, kukawa na hafla huku nyuma ya jirani yetu. Nimekuta wife kapiga picha akiwa pamoja na rafiki yangu na mwanangu mdogo. Ni picha zaidi ya kumi, ila ajabu hana hata picha yangu kwenye simu yake. Hapa niko chumbani nazikagua na...
Top Bottom