Picha: Kama umenunua Kiwanja, nyumba au Pagale ndani ya Jiji la Mwanza, ni zaidi ya 98% utakuwa umetapeliwa na huyu mtu

MoseKing

JF-Expert Member
Jul 5, 2017
4,924
8,911
Jina lake halisi anaitwa GAHAI WARIOBA MAPENGO.

Ana vitambulisho feki na majina feki na namba nyingi za simu. Baadhi ya majina anayotumia ni HERI SWAI.

Ana timu kubwa ya utapeli kila Kona ya mji, ikiwa na WAZEE, vijana na wanawake na mabibi.

Maeneo yote ya Kisesa Igudija, Nyashishi, Ilemela nk Wana timu ya watu.

Anatapeli watu na kuhonga vyombo vya kisheria ndani ya Mwanza na hivyo kuachiwa kila akikamatwa. Vituo vya polisi Kirumba kote anahonga.

FB_IMG_16967561946095960.jpg
 
Kuja PM ni option. Lengo ni kuunganieha nguvu kumdhibigi huyu mtu, Kwasababu ametapeli watu wengi mnoooo.

Na imagine mtu mwenye wafanyakazi Jiji zima?

Kwahiyo ni maamuzi tu.
Mkuu ukiwaita PM hawatakuja. Hiyo nguvu unganIsheni tu hapa kila mtu atawasupport. Muwe kama wale wanaobet, code wanashare kwa wote ili akipigwa mmoja wanapigwa wote. PM HUKO SIYO MAHALI SAHIHI
 
Mkuu ukiwaita PM hawatakuja. Hiyo nguvu unganIsheni tu hapa kila mtu atawasupport. Muwe kama wale wanaobet, code wanashare kwa wote ili akipigwa mmoja wanapigwa wote. PM HUKO SIYO MAHALI SAHIHI
Kwahiyo unataka watu waweke namba zao za simu au documents hapa kwenye Uzi?

Au unasemaje tuunganishe nguvu wakati ndio nipo kwenye hatua za kutafutana na kukusanyana?
 
Kwahiyo unataka watu waweke namba zao za simu au documents hapa kwenye Uzi?

Au unasemaje tuunganishe nguvu wakati ndio nipo kwenye hatua za kutafutana na kukusanyana?
Wewe umetapeliwa pekeyako. Huko igudija, kisesa hakuna dalali au mtu wa aina hiyo. Isijekuwa umekuja kutafutwa vichwa hapa
 
Kufanya nini tena mkuu?
Lengo ni kuunganisha nguvu.

Kwasababu huyu mtu anachofanya ni kutapeli watu. Akikamatwa anaahidi kulipa kidogo kodogo. Anaenda kutapeli watu wengine analipa kidogo halafu anaendelea hivyo hivyo.

Vile vile ana siku zake za kwenda kuripoti polisi na Mahakamani. Hivyo inasaidia kwa wale wenye RB naue wakijua ratiba zake.

Umenielewa?
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mtu kamtapeli mpaka mama yake sembuse watu wengine😆
Mama yake hana hamu nae kabisa sema ndio vile uchungu wa mwana
 
Wewe ni Msukuma??

Mbona akili yako nzito sana!!
Akili yangu nzito lakini sijatapeliwa. Wewe mwenye akili nyepesi unakuja kulia lia hapa JF. Unasema anatapeli watu na anahonga vyombo vya kisheria, unauhakika au ushahidi wa hilo? Kwanza unatapeliwaje dunia ya leo? Utakuwa umetokea wapi wewe umeingia kichwa kichwa mjini ukapigwa.
 
Nataka siku moja nami nitapeliwe kama wenzangu kuhusu haya mambo ya viwanja,nadhani nitaweka historia ambayo kila tapeli ataogopa na kuanzia hapo utapeli utaisha kabisa!
Kama utakuja kununua eneo hasa mini mikubwa, ni 98% hili tatizo litakukuta.

Na kinaua zaidi sometimes ni DHULMA za wazi. Unaweza kuuziwa sehemu, ukitoka anauziwa mtu mwingine. Hivyo hivyo hata watu 200.
 
Back
Top Bottom