Kwa mambo yanayoendelea kuuana, kutekana, CCM, Chadema, wanaharakati, machawa, ufisadi, maendeleo ya nchi, madeni, Utanganyika, Uzanzibari, bandari, uranium, UAE, EU, Russia, changamoto za ajira, umasikini nk
The way tunavyo handle hivi vitu kama taifa, mnaiona Tanzania ya miaka ijayo ikiwa...