kupika

Joachim Mdadu Kikhela Kupika (10 March 1932 – 12 March 2019) was a Democratic Republic of the Congo Roman Catholic bishop.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Njoo nikufundishe kupika mchemsho wa samaki na ndizi

    Mahitaji 1. Samaki 2. Ndizi 3.mchicha 4. Karoti 5.limao 6. Chumvi Mpalue samaki wako magamba vzr kisha muoshe vizuri baada ya hapo muweke kwenye sufuria weka maji kidogo sana na chumvi kidgo kisha ukamulie ndimu Washa jiko weka moto mdogo sana samaki asije vurugika Baada ya hapo weka...
  2. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzuri wa kiazi kitamu kidogo hauhitaji kukikatakata wakati wa kupika kwahiyo hakisumbui na wala hakiumizi kooni

    Uzuri wa kiazi kitamu kidogo hauhitaji kukikatakata wakati wa kupika kwahiyo hakisumbui na wala hakiumizi kooni Changamoto ya kiazi kikubwa lazima ukikatekate jambo ambalo linapoteza muda na mara nyingi vinashambuliwa na wadudu na kuoza ukilinganisha na viazi vidogo .. Faida yake tu ni kwamba...
  3. masai dada

    JamiiForums Tanzania Namna rahisi ya kupika maarage

    Nunua maarage masafi kabisa ambayo hayajakaa sana store Ambayo hayajakaa sana store bado yana rangi yake kama soya njano unakuta unjano umekolea sana Ila kama yamekaa store yanaanza kuwa kahawia Uyasafishe vizuri kisha loweka kwenye bakuli na maji ya kawaida Kwa masaa zaidi ya 6 Au kama unapika...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Umejiandaa kupika au kula nini Idi hii?

    Imezoeleka siku za siku kuu watu hula pilau, biriani, chipsi kwa familia nyingi, siku ya sikukuu harufu za vyakula hushabiiana kwa nyumba nyingi kwani wengi hula vyakula vya aina moja. Ni kama tumekosa ubunigu hivi wa kuonesha utofauti kwenye siku muhimu kama siku za sherehe na sikukuu. Hebu...
  5. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Jifunze kupika kitimoto na mboga za majani

    Tulia hapa nikuelekeze jinsi ya kupika kitimoto kizuri cha geto na ugali Kwanza tafuta chainizi au mchicha ukate kama hivi nilivyo kata mimi Kisha anza kukaanga kitimoto chako usiwek mafuta na baada ya hpo weka zako vitunguu kaanga mpaka vilainike na uwke karoti na nyanya usiweke hoho...
  6. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Njoo ujifunze kupika ndizi utumbo

    Kwanza uta menya ndizi zako kisha andaa hoho, karoti, Kumbuka utumbo mgumu kuiva so uchemshe kwa mda mrefu Baada ya hapo anda sufiria ya kupikia weka mafuta kidogo tu yakipata moto weka ndizi hoho karoti kisha koroga Kisha weka utumbo wako nao changanya vizr Baada ya hapo chukua supu...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanaume wa Pwani na visiwani Pemba na Unguja wanapenda kupika ukilinganisha na wa Bara?

    Labda sijafika saudia ila nimeona tabia zao yani mwanaume mwenzangu unapika utazani mtoto wa kike tena unashinda jikoni. Sisi wanaume tunajua kupika ni kuchoma nyama na kupika supu. Sasa mwanaume mwenzangu unapika kuliko mwanamke hii sio sawa. Mumejazana forozani huko.
  8. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika vitumbua

    Hello Kwanza andaa mchele wako uchambue usiwe na mawe wala chuya kisha uoshee vizuri kisha loweka mchele mimi nili uloweka kuanzia asubuhi up jion so inategemeana na wewe unataka kuvipika saa ngapi kama ni asubuhi nashauri loweka usiku Baada ya hapo nika brendi kwenye brend nikiwa...
  9. Jbst

    JamiiForums Tanzania Jinsi kupika njegere za nazi

    Habari zenu wana jamvi, heri ya sikukuu ya ya taifa letu. Naomba kuelekezwa namna ya kupika njegere za nazi na wali wa nazi.
  10. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Vituo vya Mafuta kuchomwa; Tuamini takwimu za Serikali dhalimu (vituo 672), au Wamiliki wa Vituo (41)?

    Guys, Waziri Mkuu Dkt. Nchemba akizungumza na waandishi wa habari, wakati akitoa tathmini ya uharibifu uliotokea wakati wa Maandamano Desemba 29 na siku zilizofuata alisema kuwa vituo vya mafuta (Shell) zilizoathirika ni 672. Guys ikumbukwe kabla ya mkutano huo, Novemba 7, umoja wa Wamiliki wa...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mwanaume Anatakiwa Awe Anajua Kupika au Kupika ni Suala la Wanawake Tu?

    Habari wakuu, Leo nataka tuzungumze kidogo kuhusu hili suala ambalo limekuwa kama mjadala wa kitaifa — je, mwanaume anatakiwa kujua kupika, au kupika ni kazi ya wanawake pekee? Kuna hawa wanaume ambao hawajui kabisa kupika. Sijui kwa kweli wanaishije! Ila kwa uzoefu wangu, wengi wao ni wale...
  12. M

    JamiiForums Tanzania TBT : Producer Legendary - 👑 Mika Mwamba 🎹, Kumbukumbu ya Beats kali alizowahi kuziandaa

    Ni beats kavu hazina mashairi ( Instrumental ) Kwenye Chati Mkiwa Tamala Baby Gal Mtoto wa Geti Kila mtu na demu wake Chidi na Mzee Yusufu
  13. Isenye

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke wangu hajui kupika wali

    Kuna msichana wangu anasoma mwaka wa pili hapo CBE. Nimemualika aje ghetto,pamoja na mambo mengine nikamka jiko anipikie wali na nyama. Aise wali haujulikani ni wali au ugali mboga ina chumvi halafu mwenyewe anajisifia eti chakula kitamu. Nawaza leo atapika nini kama tu wali umemshinda.
  14. IsDinah

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika dagaa watamu

    Sasa tuandae pishi letu ili tuingie jikoni kupika chap kwa muda wa dakika 10 baada ya hapo, tunakula sotojo letu. Anza kwa kukata kata vichwa vya dagaa, wengine huwa mnaunga dagaa bila kukata vichwa ni sawa pia ila mimi napendelea kukata vichwa kwa sababu inasaidia kupunguza mchanga. Baada ya...
  15. AskariKanzu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume kama haujui kupika kwenye ndoa utateseka sana

    Mwanaume kabla ya kufikiria kuhusu ndoa jifunze kutoa kitu kwanza maana huku wenzako tunatubu. Wanawake kwanini tukipishana kauli kidogo tu mnanuna na chakula hampiki mnataka tukale wapi wakati maitaji yote yapo ndani.
  16. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika Nyama ya kuoka na jiko na mkaa

    Hellow mmesema nimetelekeza jukwaa haya twendee sasa na hii Andaa nyama yako na kata vipande vipande size unayotaka kata na kitunguu pia tangawizi na kitunguu swaum mimi sipendi kitunguu swaum kisha weka kwenye foil Baada ya hapo ifunge vzr kabisa zungua foil ya kutosha kisha weka jikoni...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Nifaamisheni kupika mseto

    Nimevuruga vibaya sana (Mchele na choroko) .
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wakiristo hawajui kupika vyakula vitamu?

    Ndio maana wakati wa mwezi wa Ramadhani wakipenda kualikwa ktk ftari za waislam. Ukiwaalika wanafurahi sana na unawaona kwamba wanakula vyakula ambavyo kwao wanavipenda na hawavipati ktk familia zao Na wakati wa sikukuu kama Idd hapo useseme Wanapenda 1. Vileja vya tambi 2. Keki 3. Katie's Nk...
  19. KENZY

    JamiiForums Tanzania Mnaouza viungo vya mapishi muwe mnatuuliza maswali wateja wenu sio wote tunajua kupika!

    Nilichokitoa hapa ni aibu natamani nimfate muuzaji aje tule wote haiwezekani aniuzie nyanya za kachumbari kumbe mimi nahitaji nyanya zakupikia!, nyanya inakimbizana na samaki kwenye sufuria ndo nini hiki sasa!. angeniuliza unahitaji za kachumbari ama zakupikia angepungukiwa nini..?😠 Na wengine...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Je, Ulikuwa Unatafuta Jiko Kwa Mahitaji Makubwa Ya Kupika

    Nani Mwingine Anahitaji Jiko la Kisasa kwa Mahitaji Makubwa ya Kupika?" Je ulikuwa unatafuta jiko kwa mahitaji makubwa ya kupika? Kampuni ya jiko bomba sasa wamekuja na suluhu la majiko ya kupikia, Katika taasisi mbalimbali zenye kuhudumia watu wengi Hili Ni Jiko Kubwa La Kupikia Chakula...
Back
Top Bottom