awamu

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. N

  Mbona kila jambo awamu hii linapokelewa kwa kuwekewa dosari? CCM tujirekebishe

  Hata uteuzi wa leo tayari dosari zimeonekana. Tayari malalamiko kibao kuwa watu hawapo makini majina yamejirudia. Haya uteuzi wa Mtednaji wa TANROAD tayari utaratibu umenyoshewa vidole. Miamala dosari! Bei za mafuta dosari! Mishahara ya watumishi dosari. Safari za Mkuu wa Nchi dosari! Ndege ya...
 2. N

  Siasa za awamu ya 5 na ya 6 zinaelekea kudidimiza umoja wa Taifa letu

  Chama changu Tawala hujinadi kukuza umoja wa Kitaifa lakini kwa awamu hizi mbili ninaona umoja huo unazidi kudidimia. Chama change kinajuhami kupita kiasi hata kwa kuumiza wengine. Hivi ni kweli kabisa tunajaribu kuwaaminisha watu kuwa Mbowe ni Gaidi! INAUMIZA SANA, pamoja na UCCM wangu. Hivi...
 3. Faana

  Je, inawezekana kulipa kodi ya ardhi ya Serikali kwa awamu?

  Ninaomba msaada kujua, kuna ndugu yangu yupo masomoni ughaibuni, yapata mwaka wa sita hajalipa land rent ya Serikali kwa viwanja vyake vitatu, angependa kulipa ila kwa awamu, Je, serikali ina utaratibu huo? Kama upo, procedures ni zipi? Nawasilisha
 4. Shujaa Mwendazake

  Afande Sele: Awamu ya tano Zitto Alikuwa anapinga kila Kitu, leo yupo Kimya

  "Awamu ya tano Zito Kabwe alikuwa anapinga kila kitu hata yaliyokuwa ndani ya Ilani ya Chama chake,leo yupo kimya pamoja na maswahibu yote yanayowapata wananchi kwenye Kodi za umauti za Miamala ya simu pamoja na viongozi wenzake wa kisiasa kama Freeman Mbowe " Afande Sele
 5. M

  Utaratibu wa Waziri wa Ardhi wa kudhalilisha wawekezaji umepitwa na wakati. Akumbuke hii awamu ya 6

  Leo Waziri Wa Ardhi alimwita mwekezaji Bagamoyo na kumdhalalisha mbele ya Wananchi.Inawezekana huyu mwekezaji ni mkosaji lakini utaratibu huu umekufa katika awamu hii ya 6. Utaratibu huu ni kutaka kuzijolea sifa tu,kwani angewaeleza wananchi kuwa suala la mwekezaji na watendaji wake...
 6. chinembe

  Hassan Abass na Gerson Msigwa wameshindwa kufafanua maamuzi ya Serikali kuhusu tozo. Je, Serikali iendelee kuwaamini?

  Ilitarajiwa Wizara ya habari kupitia taasisi zake na wasemaji wake wahakikishe ujumbe wa serikali unafika na unaeleweka kwa Watanzania. Mtihani mkubwa kwa wizara hii ni kuelezea bajeti ya nchi kwa lugha rahisi ieleweke, sio bajeti tu, bali maamuzi mbalimbali ya serikali. Lakini kitu nilichoona...
 7. Sexless

  Mawaziri wa awamu ya 5&6 wamekosa hadhi kabisa. Hivi ni jicho langu tu ama wote mnaona hivi?

  Mawaziri enzi za hayati Mkapa, enzi za Kikwete walikuwa wakiongea wanasikilizwa na kuheshimiwa. Walikuwa na kishindo cha kimamlaka. Lakini alipoingia mtawala wa awamu ya tano Mawaziri wakapoteza hadhi na heshima zao Ikawa ni kawa ni kawaida kusikia waziri katukanwa "pumbavu" hadharani. Ikawa...
 8. BAK

  Askofu Mwamakula: Awamu ya TANO na ya SITA

  AWAMU YA TANO Rais John Magufuli: Hakuna Mikutano ya Siasa ya Hadhara! Uchumi wetu umekua sana! Sisi ni matajiri! Tanzania imeingia Uchumi wa Kati! Mradi wa Bandari ya Bagamoyo ni wa Kifisadi! Ni kichaa tu anayeweza kuukubali! Kuna watu wanatumwa na mabeberu! Spika Ndugai na Wabunge: Atake...
 9. Erythrocyte

  Dar: Hafla ya BAWACHA Mikocheni yazingirwa na Polisi, wapewa dakika 30 tu

  Hii ni baada ya Polisi kuruhusu Bawacha wakutane kwa dk 30 tu huku polisi nao wakitaka kuwemo ndani ya ukumbi ili kusikia yanayozungumzwa , kabla ya ruhusa hiyo zimepigwa danadana kuanzia polisi kinondoni , DC hadi RC wakipiga danadana huku kila mmoja akijitoa asionekane kuruhusu jambo hilo ...
 10. Erythrocyte

  John Munisi Katibu wa Chadema wa Jimbo la Hai, aliyepewa kesi ya ubakaji Hai afanya Misa ya Shukrani

  John Munisi ni miongoni mwa Wahanga wa kwanza kabisa wa utawala wa Marehemu John Magufuli kufanya misa ya shukrani kwa lengo la kumtukuza Mungu kwa ajili ya Matendo Makuu aliyomtendea. John Munisi ni Katibu wa Chadema wa Jimbo la Hai ambaye alitengenezewa kesi ya Ubakaji ya kumjaza mimba...
 11. OKW BOBAN SUNZU

  Nasubiri nini kuamini Rais Samia alitaka(ga) kujiuzulu Awamu ya 5?

  Kipindi fulani enzi za awamu ya 5 tuliwahi kusikia tetesi kwamba Mama alitaka kujiuzulu. Tetesi zikasema resign hiyo ilizimwa baada ya wazee kuingilia kati kwamba italeta picha mbaya kwa wananchi na kimataifa. Sasa kwa mabadiliko yanayoendelea sasa ni dhahiri kuna ukweli mama alitaka kuachia...
 12. Stroke

  Je, awamu ya sita ipo kwaajili tu ya kurekebisha makosa ya Awamu ya Tano?

  Uelekeo wa awamu ya sita unaonesha upo Kwa ajili ya kurekebisha yaliyofanyika awamu ya tano. Inavyoonekana kulikuwa na "makosa" mengi sana yaliyokwisha fanyika awamu ya tano ambapo jukumu la kwanza kwa awamu ya sita ni kurekebisha makosa ya awamu iliyopita. Ukitazama safu ya uongozi katika...
 13. chinembe

  Kwakuwa alituvusha salama kutoka Awamu ya Tano, nashauri daraja la Tanzanite liitwe Samia

  Ni shauri wangu Kwanza linavuka bahari, ni ishara ya kuvuka awamu moja kwenda nyingine, pili in ishara ya upatanisho kati ya upande mmoja na mwingine, kisiasa, kiuchumi, kijamii, anapatanisha nchi, anaunganisha kama daraja linavyounga pande mbili. Tanzanite ina asili ya huko ilikotoka, iwepo...
 14. chinembe

  Baraza la Mawaziri likibadilishwa Kalemani aondolewe kwa hoja ya Tanesco kutokaguliwa, Mwanasheria Mkuu kusimamia awamu ya 5 kuvunja sheria

  Nasikia tetesi za mabadiliko ya Baraza la mawaziri. Namshauri mama asimuache Kalemani, kwa muda wote ameacha Tanesco bila kukaguliwa hesabu wakati anajua Tanesco inameza zaidi ya trilioni ishirini za nchi kwenye mradi wa bwawa la Stiegler's, mabilioni mengine pia. Kuna uwezekano huko kuna...
 15. Erythrocyte

  Awamu ya pili ya Operesheni Haki kutikisa tena, itaanzia Kanda ya Pwani

  Ile kampeni ya kuhamasisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi iliyotikisa Nchini Tanzania ya OPERESHENI HAKI , itaendelea tena baada ya kusimama kwa muda kwenye Kanda ya Pwani na baadaye Zanzibar na Pemba , Taarifa hii imetolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh John Mnyika...
 16. JF Member

  Sasa ni dhahiri teuzi za Awamu ya Sita ni za wa Social Media

  Kila zama na wakati wake. Tukianza awamu ya Nne teuzi zake zilitegemea sana watu walio ndani ya chama na watu walio kuwa nje ya nchi (Wenye exposure zao). Awamu ya Tano: Watu wenye PhD zao na Profs walilamba Teuzi. Awamu ya Sita tunaona watu wanaoteuliwa ni watu wa social media. Mdau mmoja...
 17. Shujaa Mwendazake

  Tuache kuwalaumu wateule wa awamu iliyopita, hali ilikuwa ngumu sana

  Namnukuu mwanajamvi mwenzetu white wizard: "Huo ndio ukweli mtupu!!watu watawalaumu sana, viongozi wengi waliopita, DPP, DCI, TAKUKURU, RC, DC, DED, IGP kwa mambo yaliyofanyika huku wakiwepo, lakini ki ukweli hawakuwa na namna ya kuyazuia, kwani mwendazake ndio alikuwa nyuma yake, labda njia...
 18. THE LOST

  Wanaosema Rais Samia mpaka 2030 wanajua maana ya demokrasia? Je, somo la Awamu ya Tano halikueleweka?

  Wakuu wameanza tena, Wanasema mama mpaka 2030 na atakayempinga atakiona. Najaribu kuwaza hawa watu tunaposema "Kila amtegemeae mwanadamu amelaaniwa" hawaelewi? Awamu ya Tano walianza hivihivi, wakamtia kibri JPM wakakufuru na mwisho laana ikawa juu yao. Ameanza Kigwangala, jana tukamsikia tena...
 19. Chizi Maarifa

  Mafanikio Makubwa ya Kitabibu Yafanyika. Hongera Serikali Awamu ya 6

  Jamiiforums naona kuna baadhi ya threads mnazi delete bila sababu ya msingi. Tupeane Mwongozo Zinatakiwa threads za namna gani pekee? Tunashukuru pia kijiografia nchi kama Usa, Ugiriki, Misri sasa zimesogezwa karibu na Tanzania.
 20. GENTAMYCINE

  Ni kwanini Watoto waliozaliwa Awamu za Kikwete na Magufuli wana Majibu ya Kukusababishia ukaishi Gerezani Segerea milele?

  Mtoto unamuhangaikia Kumsomesha Usiku na Mchana halafu unamuuliza unataka kuwa nani baadae anakujibu anataka kuwa Mpiga Debe Msamvu Bus Terminal. Huyu huyu Mtoto ukipiga na ukamvunja vunja na Kumuharibu kwa Hasira Serikali ya Mama Samia haitakuelewa na labda hata Kukusamehe isikushtaki? Halafu...
Top Bottom