Habar wakuu nataka kusajili company niwe naomba tender za kusuply material katika miradi ya hamashauri mashule,zahanati..vip wakuu Kuna ukiritimba wowote wakupata au ndo Hadi uwe na connection na afsa manunuzi,na vip katika malipo
Naskia Kuna mfumo mpya wa nest wanadai kuwa hauna urasimu kupata...
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia Halmashauri ya Mji Kibaha iliyopo Mkoani Pwani kupandishwa hadhi na kuwa Manispaa.
Uamuzi huo umetangazwa leo Januari 27 na Waziri wa Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa...
Halmashauri ya Jiji la Tanga imetoa zaidi ya shilingi bilioni 2.6 kwa vikundi 315 ikiwa ni mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya Halmashauri ambayo ni mpango wa serikali wa kuinuia wananchi wake kiuchumi kwa kwa Vijana, Kinamama na watu wenye ulemavu.
Kati ya vikundi 315, vikundi vya wanawake ni...
Nianze kwa salaam
Natumai wote wazima, ningependa niende Moja kwa Moja kwenye mada ambapo nilikua naomba mnisaidie katiba na memorandum ya mtu mwenye ulemavu katika mikopo ya halmashauri nimejaribu kwenda kwa mawakili lakin wanataka hela nyingi na uwezo huo Sina
Hivo nikaona nije hapa JF Kuna...
VIVUTIO VYA UTALII VINAVYOPATIKANA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOMBA NA SIFA ZAKE MKOANI SONGWE.
Momba ni kati ya wilaya Nne zinazo unda Mkoa wa Songwe, ambayo imebahatika kuwa na vivutio vingi vya utalii na vya kipekee hapa nchini Tanzania.
Licha ya upekee wake, vivutio hivyo bado vinahitaji...
Iko hivi wadau, kuna Manzi mimi nilikua namuimba..
Karuka, na kudai tuwe marafiki.
Nikaforce sana huo urafiki badae nikakata tamaa alikua anakwepa tusionane.
Zilipopita kama week tatu, nikampandia hewani tena, kubembeleza, nikaona respond ipo kidogo
Sasa Leo nimeenda kwake Manzi, na...
Mimi ni Mtumishi wa Serikali hapa Mpwapwa Mkoani Dodoma, kero moja kubwa ni kuwa kuna urasimu wa upandishwaji wa Madaraja ya Mishahara na pia baadhi ya wenzetu lugha mbaya wanapokuwa katika majukumu yao.
Kinachouma zaidi ni kuwa kuna watushi wana miaka zaidi ya kumi hawajapandishwa licha ya...
Habari Wadai,
Mimi naomba nende Moja Kwa Moja ktk mada yangu, Kuna hii kero ya walimu wilaya kilwa mkoani Lindi kucheleweshewa kulipwa nauli zao za likizo Kwa wakati, inafikia hatua hadi mwalimu husika anaacha kudai nauli yake ya likizo Kwa urasimu uliopo. Kwa mfano, Kuna walimu kadhaa idara...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeendesha mafunzo ya siku mbili kwa watendaji kwa ngazi ya halmashauri na majimbo katika halmashauri ya Iringa huku watendaji hao wakisistizwa kwenda kuifanyia kazi elimu watakayoyapata kwenye ngazi za chini.
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo Afisa...
Imenishangaza sana, niko hapa Bunda (Mkoani Mara) nina biashara yangu, jana nilienda Ofisi ya Halmashauri ya Mji wa Bunda ili kufanyiwa hesabu nilipe mapato na ushuru wa hotel (hotel levy), nikaambiwa wako kikaoni, mbali na kusubiri for 5 hours.
Baadaye nikaambiwa 'Tunaomba tu urudi kesho', leo...
Mimi kama mkazi wa Jiji la Mbeya kuna kitu sikielewi kutoka kwa Viongozi wa Jiji hasa Idara ya Ardhi na Watu wa Mazingira wa NEMC.
Huku Mbeya katika Kata ya Nsalaga, Bonde la Uyole, Uongozi wa Halmashauri ulianzisha mradi wa viwanja vipya na kuhamasisha sana Wananchi wajitokeze kununua viwanja...
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Dionis Myinga ambaye pia ndiye aliyekuwa Msimamizi wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa wilayani humo amesema kuwa aliyekuwa Mgombea wa Uenyekiti wa kijiji cha Usari kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo @chadematzofficial...
Uzi huu ni maalumu kwa Vijana wanao hitaji kupata mikopo ya asilimia 10.
Ni maalumu pia kwa wanawake wanao hitaji kupata mikopo ya asilimia 10.
Utaeleza mambo yafuatayo:
(1) Utaeleza vitu vinavyo hitajika unapofanya maombi ya mkopo wa asilimia 10 wa halmashauri.
(2) Utaeleza jinsi ya...
Kumekuwa na simtofaham kuhusiana na pesa zinatolewa na serikali kwa ajili ya kuinua uchumi wa vijana, akina mama , wazee na walemavu katika halmashaur ya wilaya ya Sengerema.
Awali kulikuwa na tetes ya kwamba pesa hizo zingetoka kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa lakini mpaka sasa hivi...
Vikundi vya ujasiriamali hatujapokea fedha mpaka Leo tokea tarehe 25-10-2024 mkopo wa asilimia 10 (4-4-2) tatizo nini serikali ya halmashauri haina hizo fedha na kama haina ni kipi kiliwafanya kutuita hiyo tarehe wakati wanajua yakuwa hawana hela
Wametuweka kwenye hali ya sintofahamu nyingi...
Kwa mtazamo wangu wavurugaji na wachakachuzi wakubwa wa chaguzi zetu hapa Tanzania, ni watendaji wa Vijiji, mitaa na Kata.
Watendaji ndiyo mikono inayoyumiwa na CCM kuharibu chaguzi.
Wakurugenzi wa Halmashauri za Miji wenyewe ni wapangaji na wanufaika wa uchakachuzi huo wa chaguzi zetu kwa...
Hayo yamebainishwa katika taarifa iliyowekwa na TAMISEMI katika ukurasa wao wa Mtandao wa X
TAARIFA KWA UMMA JUU YA UPOTOSHAJI WA UWEPO NA KARATASI FEKI(BALLOTPAPER) ZA KUPIGIA KURA KATIKA HALMASHAURI YA MJI BARIADI
Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Mji Bariadi Ndugu. Adrian Jungu anapenda...
Kumekuwepo na malalamiko ya muda mrefu katika Halmashauri ya Momba kutoka kwa Walimu na wadau mbalimbali juu ya tabia na mwenendo kutoka kwa kiongozi huyu.
1. Walimu wengi wamehamishwa bila kufuata utaratibu na malipo ya uhamisho imekuwa ni shida sana kulipwa.
2. Ari ya walimu kufanya kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.