Upatu na ponzi scheme zimekula pesa za watu sanaaa, na imekuwa rahisi kuliwa pesa zao kama mtu huyo anaekusanya pesa zao akiwa ni mtu maarufu kwenye mitandao au biashara.
Ni tamaa za kupata faida haraka haraka ambazo unakuta wanahaidiwa?
Ulimbukeni wetu katika maswala ya uwekezaji?
Wadau wa Jamiiforums, poleni na mihangaiko ya kutafuta tonge!
Kama hujawahi kupigwa kwenye biashara, basi ama wewe ni mjuzi wa hali ya juu, ama bado hujaingia kwa kina kwenye soko la Bongo! Wale ndugu zetu wa Kariakoo, Sinza, Tegeta na hata wale wa mikoani wanajua, "biashara ni akili" lakini...
Kampuni ya Songoro Marine ya Ilemela jijini Mwanza inakabiliwa na tuhuma za kujipatia zabuni tatu za kujenga meli katika maeneo mbalimbali hapa nchini bila kuwa na sifa zinazohitajika kitendo ambacho kinatajwa ni cha uhujumu uchumi.
Kampuni hiyo inayomilikiwa na Major Songoro ni miongoni mwa...
Hawa jamaa wanaweza kukuwekea movie ya aina moja wakawa wanairudia rudia kwenye chaneli zao feki za movies.
Kila ukifungua chaneli yao ya movie unakutana na movie ulio iona jana
Wajanja sana hawa jamaa😂
TOFAUTI KATI YA DINI NA WOKOVU
Watu wengi wamefungwa na dini wakiamini kuwa ndio njia ya kufika mbinguni, lakini hawajagundua kuwa dini na wokovu ni vitu viwili tofauti. Yesu alipokuwa duniani, alishindana sana na viongozi wa dini kama Masadukayo na Mafarisayo kwa sababu walitumia dini kama...
Jeshi la Polisi mkoani Rukwa kwa kushirikina na Mamlaka ya Mawasilino Tanzania TCRA limeanzisha operesheni ya kuwabaini watu wanaojihusisha na utapeli kwa njia ya mtandao na kufanikiwa kuwakamata vijana 13 wenye umri kati ya miaka 17 hadi 32 kwa tuhuma za kuwatapeli wananchi kwa kuandika ujumbe...
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha leo Machi 8, 2025, ilipitia shauri la klabu ya Simba kuzuiliwa kuingia kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya kufanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC (Young Africans SC vs...
Mbona kwenye ile nchi ya Colombia utapeli na kutojali ni kama vile sehemu ya maisha karibu kila nyanja?
Kwa mfano, mtu ametoka jimbo moja kwenda jimbo lingine kutazama mechi ya dabi, amekata tiketi ya kutazama, mwisho wa siku mechi inahairishwa. Huu ni utapeli kama utapeli mwingine kwa sababu...
Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam Jumanne Muliro amesema kuwa idadi ya Watu wanaojitokeza wakidai kutapeliwa na Msanii Joyce Mbaga maarufu kama Nicole inaendelea kuongezeka huku kiwango cha fedha kilichotapeliwa nacho kikiongezeka pia.
Soma: Nicole Joy Berry mrembo aliyejulikana kwa...
Kabla ya kuufichua huo utapeli, hebu tuwasikilize kwanza hawa manabii feki:
Nabii XXL: Aisee, hizi sadaka tunazopata hazitoshi kununua ndege, na kutufanya tuishi maisha ya kifahari. Naomba tubuni mbinu ya kuongeza mapato.
Nabii X: Mi nafikiri wakati wa maombezi, tuwe tunawauzia watu chumvi...
Katika kizazi tulichopo ndoa ni concept ambayo tayari imeshapitwa na wakati. Muundo wa ndoa ulisukwa kwenda sambamba na mfumo dume, katika zama hizi za usawa wa kijinsia lazima taasisi ya ndoa itaanguka tu kwa sababu misingi yake haikuwekwa kwenda sambamba na haya mambo ya 50/50 na feminism...
Kwa miaka miaka 2000 tangu Yesu Kristo arudi mbiguni hapakutokea mtu aliejiita chief prophet hadi ilipofika miaka 2010 ghafla kila mtu akaanza kujiita hivyo.
So nimegundua hawa watu are businessmen na hivyo ndivyo wanavyouza bidhaa zao. Kama vile utakavyo ifanyia market bidhaa yako kuwa bora...
Kama ulivyokuwa utapeli wa singida,kmc,mashujaa na leo tunakwenda shuhudia muendelezo ule ule wa mfadhili mkuu wa yanga kwenda kuweka fedha yake kwa klabu anayoidhamini eti bonasi ni upuuzi na matusi makubwa kwa mpira wa bongo na muuendelezo wa kuwaona watanzania hawana uwelewa..ujinga tu ndio...
Kuelekea mapinduzi ya Teknolojia, mambo mengi nchini yameanza kufanyika kwa kutumia NIDA.
Kwenye mifumo ya kusajili biashara, kuomba ajira, kuomba mikopo, kujisajili huduma za kiserikali mtandaoni, n.k. huwa unajaza Nida halafu baada ya hapo unaulizwa maswali matatu ya uhakiki mfano jina la...
MHADHARA (89)✍️
Kitu pekee utakachokula/utakachomeza bure mjini ni mate yako tu. Lakini vingine vyote ni gharama. Hakuna cha bure, ni lazima ulicholishwa utalipia kifedha, kiroho, kimwili, kihisia, kiakili, n.k - kama hutolipia leo utalipa hata baadae.
Punguza au acha kabisa tamaa, uzembe...
Nimeona kuna mama aliweka huko hela za ada za watoto wake, sasa hivi ndoa yake iko rehani. Jamani kweli tuna ujinga kiasi hiki?
Aliye na story za watu walipoteza hela zao LBL, azilete hapa ili wale sikio la kufa wajifunze kuacha ubishi.
Pia Soma...
Paschal Mayalla
I. UTANGULIZI
Makala ya Paschal Mayala katika gazeti la Nipashe, toleo la Jumapili, tarehe 23 Februari 2025, imenikumbusha matukio ya kisiasa ya mwaka 2022.
Tarehe 20 Mei 2022 viongozi wa Chadema walikwenda kwenye kikao cha majadiliano ya kuimarisha demokrasia na hali ya...
Wakuu namtanguliza salamu nadhani mko salama kabsa,
katika shughuli zangu na kutokana na mazingira ninayo ishi huduma zangu za kimawasiliano na kimtandao hua matumia mtandao wa Tigo (yas) sasa nimekumbana kadhia ya kukatwa salio kila nikifanya miamala na kila nikinunua vifurushi kupitia mtandao...
Miaka mitatu iliyopita majira ya usiku mida ya saa tatu baada ya kutoka chuoni nimepoa katika kibanda kimoja cha vinywaji baridi nikipiga stori mbili tatu na Mwanangu Tambwe.
Ghafla anatokea jamaa mmoja mrefu kiasi, mweusi sana na amevalia mavazi ya heshima na kunin'giniza kitambulisho kifuani...
Nimeulizwa sana kwenye nyuzi, ngoja leo niwasimulie.
Jan 16, 2025 alinipigia simu ndugu yangu mmoja akasema anataka tuonanae. Nikamkaribisha nyumbani, akaja na akaanza kunielezea shida yake. Kiufupi, alikuja kuniomba nimuazime pesa na atanirudishia baada ya wiki mbili. Nikamuuliza kulikoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.