kiwanja

 1. Nokla

  Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Moshi njia kuu ya Dar es Salaam

  Kiwanja kikubwa zaidi ya robo ekari mita 35×40 kinaunzwa eneo la kawawa karibu na Kituo cha mafuta cha munio takribani kilimeta 15 kutoka Moshi mjini njia ya Dar kinauzwa kwa bei chee kabisa shilingi 15mil. Mazungumzo yapo kidogo. Wahi plot ya maana hii kabla hujachelewa. Kwa mawasiliano njoo...
 2. amaketa

  Kiwanja sq 487 naweza jenga ghorofa na kubaki na parking ya kutosha?

  Wana Jf nina kiwanja kipo Dodoma ukubwa na sq 487 nawenza kujenga ghorofa na kupata nafasi ya parking?
 3. S

  Natafuta kiwanja, ardhi au shamba Morogoro Manispaa

  NATAFUTA KIWANJA , SHAMBA , ARDHI MOROGORO MANISPAA Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, natafuta Kiwanja, Shamba au Ardhi ya kununua Morogoro Manispaa.Ardhi ninayohitaji iwe aidha imepimwa (i.e Surveyed land) au haijapimwa (i.e unsurveyed land or Squatter ), isipokuwa kitu cha...
 4. EvilSpirit

  Nitajie kiwanja kizuri Chenye totoz mkoani kwenu

  Kwa sisi tunaopenda kusafiri,tukifika huko tuendako huwa tunapenda kufahamu sehemu ambazo tutafurahia maisha tukiwa huko ugenini.Moja ya vitu tunavyopenda ni kwenda kwenye viwanja vyenye watoto wakali,hata kuwaona tu ni raha vyakula na vinywani vinashuka vizuri.Miongozo yenu ni muhimu kuwaza...
 5. N

  Plot4Sale Kiwanja kinauzwa, Mkundi Morogoro, 945 meter square

  Heshima kwenu wakubwa, Nauza kiwanja kipo Mkundi, Morogoro Mjini njia ya kwenda Dodoma, Kina ukubwa wa 945 square meters. Ni kiwanja namba 399 block R Mkundi. Kimepimwa tayari kinasubiri hati. Nimeambatanisha baadhi ya picha za kiwanja. Nauza Milioni 5, karibu sana. Karibu PM kwa mawasiliano...
 6. Bwegemsela

  Kiwanja kinahitajika Sengerema mjini

  Natafuta kiwanja Sengerema mjini kiwe katika eneo zuri la kibiashara ofa yangu 10m
 7. Pablo1

  Plot4Sale Kiwanja kikubwa hatua 50 kwa 22 kinauzwa Mbezi Mwisho, 2km kutoka Morogoro Road

  Kiwanja kipo Mbezi Mwisho kilometa moja na nusu kutoka Morogoro Road njia nane na kilometer 2 kutoka Kituo kipya cha mabasi Ubungo . kiwanja kimepimwa Maji ya dawasco Umeme Na huduma zote za kijamii zipo Ukubwa wa kiwanja ni 50 kwa 22 sawa na sqm 1100. Bei ya kiwanja ni 40 million Tshs...
 8. K

  Ushauri: Nijenge nyumba kubwa kwa muda mrefu au nijenge ndogo uani, kiwanja 20:30

  naombeni ushauri wenu ndugu, ninakiwanja cha 20:30 square meter, uwezo wa kujenga nyumba kubwa kwa haraka sina na maisha ya kupanga siyapendi, je mnanishauri nini? nijenge ndogo tu kwa nyuma kwanza nihamie au nivumilie nijenge kubwa ingawa itanichukua muda mrefu kutokana na hali ya kipato, na...
 9. mwakifamba

  Natafuta kiwanja cha tsh 1M Kibaha

  Habari. Natafuta kiwanja kuanzia sqm 350 kuwndelea kwa ajili ya makazi kuanzia maeneo ya kibaha kwa matias kwenda hadi kiluvya pande zote pia hadi vikawe. Kilichopimwa au hakijapimwa. Ni PM km unajua kama kipo kinachouzwa
 10. Dr. Zaganza

  Plot4Sale Kiwanja chenye hati kinauzwa Morogoro Mjini Tshs Milioni 3

  Ninauza Kiwanja number 36 kilichopo Mkundi, Morogoro mjini, umbali mita miambili toka Dodoma road. Kina hati rasmi, siyo squatter. Gharama ya kubadilisha jina la hati itakuwa juu yako ambayo haizidi laki mbili na nusu. Ukubwa wa kiwanja ni 400 mita za mraba ( 20 kwa 20) . Bei ni Milioni tatu...
 11. Kingo

  Kiwanja kinauzwa Lukobe-Morogoro 1242m²

  Kiwanja chenye ukubwa wa 1242m² kinauzwa maeneo ya Lukobe Morogoro Manispaa, kipo jirani na barabara kimepimwa na kulipiwa ada zote. Bei Tsh 6,000 000. Piga +255754202507 kwa maelezo zaidi
 12. N

  Plot4Sale Kiwanja kizuri kibiashara kinauzwa Kimbiji-Kigamboni, Dar es Salaam

  Eneo liko Kimbiji-Kwa Moris, Kigamboni.Ukubwa wake ni mita20 kwa22. Eneo lipo karibu na barabara kuu na njia panda kwenda ufukweni (beach) Bahari ya Hindi. Panafaa sana kibiashara,hasa kujenga duka,hoteli,kufyatulia matofali,mashine ya kusaga na kukoboa, kuoteshea miche ya miti na maua nk.Umeme...
 13. hp4510

  Mwenye kiwanja Kigamboni Geza

  Wakuu, Naitaji kiwanja maeneo ya Geza bajeti yangu ni milion 7 Kama kuna mtu yeyote mwenye nacho ani-DM
 14. K

  Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Madale

  Kiwanja kinauzwa kipo Madale mwisho wa magari karibu na barabarani kina ukubwa wa square 600. kimeshapimwa bei million 8.5 no: 0655 628 795
 15. pmoses95

  Pata ushauri kuhusu gharama halisi za ujenzi kulingana na mchoro wako, location ya site na landscape ya kiwanja

  Kwa mahitaji ya kutaka kujua gharama halisi utakazotumia katika kukamilisha ujenzi wa jengo lako (BOQ). Natoa huduma ya kufanya mchanganuao wa idadi halisi ya materials utakazotumia mpaka kukamilisha ujenzi. MAHITAJI 1. Mchoro 2. Kufika site. 1. MCHORO Mchoro utanisaidia kujua ukubwa wa...
 16. S

  Ni taratibu gani za kuuza kiwanja kilichowekwa kama dhamana zinazotakiwa kufuata baada ya mkopaji kushindwa kulipa deni?

  Naomba kuuliza iwapo mtu amekopa fedha na akaweka kiwanja kama dhamana na kukawa na mkataba wa maandishi kuwa akishindwa kulipa deni basi kiwanja alichoweka Kama dhamana kitachukuliwa na kuwa mali ya mkopeshaji na ambachi atakiuza ili kulipia deni. Kwa mfano,hata kama mkataba unamruhusu...
 17. Mikopo Chefuchefu

  Kiwanja changu kimekaa kama sambusa, ninapanga kumega eneo la jirani kiwe square. Sheria inasemaje kuhusu hili?

  Kwa kweli siridhiki kuona kiwanja changu kimekaa kama sambusa.. Natamani kiwe square kama kiwanja cha mpira. Sasa ili 'kuboresha mipango miji' ninapanga kumega kama mita moja kutoka kwa jirani ili kikae sawa. Hapa ninakusanya nguvu ya tofali elfu mbili.. Nikija kuibuka naibuka na ukuta mmoja...
 18. K

  Natafuta shamba au kiwanja Mwanza/ Sengerema

  Natafuta kiwanja au shamba eneo la Busisi / Kigongo feli Mwanza au upande wa kuelekea Sengerema. Eneo liwe barabarani Ukubwa wowote kuanzia nusu hekari hadi hekari 2. -Eneo liwe barabarani linaweza kuwa na hati au halina. -Linaweza kuwa limepimwa au halijapimwa. Uaminifu ni muhimu malipo...
 19. K

  Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Madale

  Kiwanja kinauzwa kipo Madale Mkoroshini, karibu na barabarani Kiwanja kina ukubwa wa square 625 Bei ni Tshs million 23 Mawasiliano: 0756855563
 20. K

  Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Madale

  Kiwanja kinauzwa kipo Madale kwa Kawawa ni karibu na barabarani kina ukubwa wa square 1500 bei million 15 no:0756855563
Top Bottom