kikosi

Kikosi Maalum (meaning "Special Force" in Swahili), also known as the Special Battalion or the grand coalition, was a militia of Ugandan exiles formed in Tanzania to fight against the regime of Idi Amin. The unit was founded by and loyal to former Ugandan President Milton Obote, and served as his de facto private army. It was commanded by former army officers David Oyite-Ojok and Tito Okello. Kikosi Maalum took part in the Uganda–Tanzania War, fighting alongside the Tanzanian military against Amin's forces. In course of this conflict, the militia was nominally unified with other Ugandan rebel groups, forming the Uganda National Liberation Army (UNLA) in 1979. After the fall of Amin's regime and Obote's return to power, Kikosi Maalum became the core of Uganda's new national army.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto Aongoza Sherehe Ya 46 Ya Kupitisha Kikosi Cha KDF Eldoret

    Rais William Ruto amewaongoza viongozi wa serikali, makamanda wa usalama, familia na wananchi katika sherehe ya 46 ya KDF Pass-Out Parade iliyofanyika katika Defence Forces Recruit Training School, Kamagut, Uasin Gishu. Sherehe hiyo imeashiria kukamilika kwa mafunzo ya kijeshi kwa muda wa miezi...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Jinsi Kikosi cha Simba kinavyoweza kupangwa akiwemo Ibraheem Jabaar

    Pamoja na kufanya maboresho kadhaa ya kikosi kwenye dirisha kubwa la usajili, Klabu ya Simba inatarajiwa kuonyesha sura ya kikosi chake kitakachopambana katika msimu wa 2026/27 wakati wa Tamasha la Simba Day, linalofanyika sambamba na maadhimisho ya miaka 90 ya klabu hiyo. Chini ya kocha Steve...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Afrika nchi nyingi kuna kikosi cha raisi wakatl teyari idara ndani ya ikulu

    Siku ya kupatikana katiba mpya inaweza kuondoa raisi kuwa na kikosi kama chake. Kwa afrika kinatumika vibaya ukilinganisha na nchi kubwa. Rais anapounda kikosi chake ina maana anaweza kumuweka hata mwanaye au rafiki kumlinda yeye. Mifano hipo tokea kwa Idd Amin,Museveni, Tanzania, Zimbabwe...
  4. X

    JamiiForums Tanzania Bila La Masia Spain isingebeba Kombe la Dunia 2026, hawa ni wachezaji waliopitia La Masia (academy ya Barça)

    1. Lamine Yamal – mshambuliaji (FC Barcelona) 2. Pau Cubarsí – beki wa kati (FC Barcelona) 3. Gavi (Pablo Martín Páez Gavira) – kiungo (FC Barcelona) 4. Dani Olmo – kiungo mshambuliaji (aliwahi kuwa La Masia kabla ya kwenda Dinamo Zagreb) 5. Eric García – beki (aliwahi kuwa La Masia) 6...
  5. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kilikuwa kikosi cha Ureno cha vidume, acha hawa wapiga picha za insta. Hawa ndio waliji submit kwa Ronaldo na kucheza kama timu

  6. Stability

    JamiiForums Tanzania Watu wengi hawajui kikosi cha mizinga na nako 2 nako waliwahi kuwa na bifu kali kupelekea hadi kuumizana vibaya

    Bou Nako, mmoja wa waanzilishi wa Nako 2 Nako, alikuwa moja ya walengwa wakuu katika beef hiyo kubwa. Kuna hadithi kwamba aliumizwa vibaya sana wakati wa shambulio lililohusishwa na upande wa Kikosi cha Mizinga, na ilisemekana kuwa karibu na kifo. Haruna Moshi “Boban” aliripotiwa kumsaidia...
  7. V

    JamiiForums Tanzania Karibu kikosi kazi Cha injili MBEYA kwa Mch Mbarikiwa Mwakipesile:siku moja tuwaone Hawa wapambanaji

  8. M

    JamiiForums Tanzania Kikosi bora cha Brazil cha muda wote hiki hapa

    Hiki ndicho kikosi ambacho watu wengi wanasema kuwa ndio kikosi bora kabisa cha Brazil cha muda wote. kikosi hiki ndicho kilichobeba kombe la dunia mwaka 2002 huko korea dhidi ya timu ngumu ya Ujerumani kwa magnolia 2-0 yaliyofungwa na Ronaldo og. Katika mashindani hayo Ronaldo akiwa katika...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kisa Ebola, Kikosi cha DR Congo cha Kombe la Dunia kukaa Karantini kwa Siku 21 ili kuruhusiwa kuingia Marekani

    Kikosi cha Kombe la Dunia cha DR Congo kitalazimika kujitenga kwa uangalizi maalum wa afya nchini Ubelgiji kwa siku 21 mfululizo ili kuruhusiwa kuingia Marekani. Hatua hiyo ya kiusalama imewekwa na maafisa wa Marekani kutokana na mlipuko unaoendelea wa ugonjwa wa Ebola katika Jamhuri ya...
  10. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha wachezaji 26 cha Uingereza ( England ) Chini ya Thomas Tuchel kuelekea kombe la Dunia 2026 ( USA , Mexico , Canada )

    Tayari mkufuzi Tuchel kataja majina ya wachezaji watakao wakilisha Taifa la Uingereza ( England ) kwenye mashindano ya Kombe la Dunia Kikosi hiki kimepokelewa kwa mitazamo tofauti na wapenzi wa soka ulimwenguni ( mashabiki ) kukosekana kwa Wharton toka Cyrstal Palace , Levi Colwill toka...
  11. JaxenDL

    JamiiForums Tanzania Tetesi: DRC yaanzisha kikosi cha kijeshi kulinda migodi ya madini

    Mmoja wa maofisa hao alisema hilo ni wazo la Rais Félix Tshisekedi lenye lengo la kuleta mageuzi katika sekta ya madini na kupambana na ubadhirifu wa madini ya thamani. Mamlaka ya madini katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo leo imezindua kikosi cha wanamgambo kitakachohusika na kulinda...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuingia kwenye 'kikosi cha kusifu'

    Naombeni connection ili nipate kuingia kwenye kikosi cha kusifu mitandaoni. Nilisikia mshahara ni 7k kwa siku, hii ni hela kubwa sana nami nataka kuingia kwenye kikosi hiki kwabababu nina uwezo wa kuifanya kazi hiyo kwa weledi
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Esmaeil Qa'ani, kamanda wa Kikosi cha Quds awasili Iraq kwa ziara rasmi

    Esmaeil Qa'ani, kamanda wa Kikosi cha Quds cha Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, amewasili Baghdad na amepangwa kukutana usiku wa leo na viongozi wa makundi ya Washia kujadili kutatua migogoro yao. Katika wiki mbili zilizopita, kutokubaliana miongoni mwa viongozi wa Washia...
  14. Ritz

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu chafunga tena Mlango-Bahari wa Hormuz

    Wanaukumbi. 🚨KUVUNJIKA Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu Chafunga Mlango-Bahari wa Hormuz Msemaji wa Makao Makuu ya "Khatam al-Anbiya": ◽️Kulingana na makubaliano ya awali katika mazungumzo, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, kwa nia njema, ilikubali kuruhusu idadi ndogo ya meli za mafuta...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Trump alijaribu kutuma Kikosi cha Wanamaji cha Marekani kupitia Mlango-Bahari wa Hormuz

    Trump alijaribu kutuma Kikosi cha Wanamaji cha Marekani kupitia Mlango-Bahari wa Hormuz wakati wa mazungumzo nchini Pakistani. Iran ilisema haikujali mazungumzo na ingeilipua meli. Kisha Trump akaamuru meli hiyo igeuke na kurudi UAE. RAN ILIZUIA NDEGE YA MAREKANI YA MAREKANI KUTOKA HORMUZ...
  16. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo mwisho wa Kikosi cha Rodwan cha Hezbollah

    Jeshi la Israeli limeunda kile ambacho wengi wanakiita fursa ya mara moja katika kizazi kimoja kusini mwa Lebanon. Baada ya Hezbollah kukusanya idadi kubwa ya kikosi chake cha juu cha Radwan karibu na mpaka, Israeli ilichukua hatua kwa uamuzi: kukata vivuko vya Mto Litani, kutenga uwanja mzima...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Aishi Manula arejea rasmi kikosi cha Taifa Stars kinachoingia kambini Machi 22, 2026

    Kipa Aishi Manula amerejea rasmi katika kikosi cha timu ya taifa, Taifa Stars, kitakachoingia kambini Machi 22, 2026 kwa ajili ya maandalizi ya michezo ya FIFA Series 2026. Orodha hiyo iliyotangazwa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi inajumuisha mchanganyiko wa wachezaji wa ndani na wanaocheza nje...
  18. O

    JamiiForums Tanzania Miendo ya kijeshi kama kwata/gwaride, marching, au michezo ya kikosi (drills) inasaidia nini kivita, kikazi zaidi Kwa wanajeshi na askari?

    Tujuzane je INAFAIDA ipi au ni maonesho au kujitofautisha TU na kada zingine? Lete maneno. Afande tujifunze. https://www.facebook.com/share/r/1GW4mzUt29/
  19. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania George Galloway: Askari 173 wa Marekani kutoka katika kikosi cha Delta force wametekwa na Iran

    George Galloway anasema askari 173 kutoka katika kikosi hatari cha Delta force wametekwa na Jeshi la Iran.
  20. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Vipi kikosi chetu kimeshalamba bahasha ya Mfalme ili tuuze match Jumapili

    Mwenye taarifa sahihi atujuze. Kama kikosi kimeshalamba bahasha za dolari kutoka kwa Mfalme ili tuuze match Jumapili atujuze.
Back
Top Bottom