nguvu

 1. Sandali Ali

  Kati ya Mungu na shetani yupi ana nguvu zaidi ya mwenzake?

  Je, tutoe jibu kulingana na idadi ya wafuasi? Kamba ikivutwa na watu 10, watano kwa watano wenye nguvu ndio watawavuta wengine upande wao. Je, kuongezeka kwa maovu ni ishara ya nguvu kubwa ya shetani dhidi ya Mungu?
 2. Shemasi Jimmy

  Kubali kuandaliwa

  Na Shemasi Jimmy 0659 611 252 Halleluja watu wa Mungu, maandiko yanasema apendaye mafundisho hupenda maarifa, karibu tujifunze kwani elimu haina mwisho. Leo tutajifunza kwa habri ya kukubali kukaa chini ya mchakato au maandalizi katika kuelekea hatima ya ndoto zako huku tukimtazama Yusufu...
 3. B

  Katiba Mpya: Umoja ni Nguvu, tuunganishe nguvu zetu

  Inafahamika kuwa maadui zetu ni walamba asali pekee. Hao ndiyo walio wanufaika wa hali iliyopo. Wengine wakiwamo chawa na hata waliowahi kuwa chawa au kuwa walamba asali, wote ni wahanga tu. Kundi la wasiojitambua halipaswi kuwa mzigo tena kufikia sasa. Tunaotaka katiba mpya Kwa namna yoyote...
 4. Kulwa Jilala

  Tundu Lissu amegundua nguvu ya Hayati Magufuli

  Baada ya Chadema kufanya mikutano hafifu sana na iliyokosa watu kanda ya ziwa (Mwanza na Mara), Tundu Lissu akapata meseji kichwani mwake kwamba nguvu ya Hayati Magufuli siyo ya kawaida kwenye jamii hasa kwa wananchi wa maisha ya chini kabisa na kwamba kuendelea kumponda Magufuli ni kujichimbia...
 5. mugah di matheo

  Rasmi Simba kujipima nguvu na Al hilal Orduman February 5,2023

  Wale wababe wa uto wapo mjini kujiandaa na Caf champions league group stage ,,wakitarajia kucheza mechi za kirafiki na Azam, Namungo na Simba huku Simba akiwa ndio mwenyeji wao. Huko upande wa pili kwani ninyi hamna mashindano? Mbona hamjiandai? Source :Simba App
 6. Binadamu Mtakatifu

  Inakuwaje mwanadamu ni mtawala asiye na nguvu juu ya hata viumbe viishivyo ndani ya utawala wake?

  Ni wazo tu nimepata kwamba mwanadamu ambaye inasadikika kutoka kwenye maandiko kwamba alipewa ukuu na umiliki juu ya vyote vilivyopo duniani, kipindi anapewa huo umiliki kulikuwapo na shetani ambaye kwa logic tu ya kawaida yuko most powerful 1000000000% than a huma siyo kiakili wala nguvu tu za...
 7. The Sheriff

  Ndoa za Kulazimishwa ni Ukiukaji wa Haki za Kibinadamu Unaopaswa Kupingwa kwa Nguvu Zote

  Magonjwa ya zinaa, ukatili (wa kimwili na wa kingono), mateso ya kisaikolojia, kupoteza uhuru, na woga pamoja na athari nyingine nyingi mbaya ni baadhi tu ya madhara ya kudumu yanayowakumba waathiriwa wa ndoa za kulazimishwa. Ukiukaji wa haki za kibinadamu kwa kuwalazimisha wasichana kuolewa ni...
 8. Analogia Malenga

  Congo wagundua mawe yenye umeme, tutarajie ugomvi zaidi?

  Mambo ya Congo haya,
 9. The Evil Genius

  Kwanini Hayati Magufuli aliamua kumlinda Askofu Malasusa kwa nguvu zote?

  Kama mnakumbuka Waumini wa kanisa la KKKT walimkataa Askofu Malasusa kutokana na tuhuma mbalimbali alizokua nazo. Cha ajabu Serikali ya Rais Magufuli ikaamua kumlinda Askofu Malasusa kwa kumpatia ulinzi binafsi na kuhakikisha kwamba kwa lazima anaendesha ibada kinyume na matakwa ya waumini...
 10. S

  Tuelekeze nguvu kujenga uchumi siyo mikutano ya Siasa

  Pamoja na mikutano ya Siasa kuruhusiwa kwa Busara za Rais Samia ni Muhimu watanzania tukumbuke kuwa nchi Yetu inaitaji nguvu kazi kujenga uchumi imara nimeshuhudia Leo watu wasio na nauli wakitembea toka Asubuhi kutoka sehemu mbali mbali za jiji la Mwanza kwenda furahisha. Ushauli wangu...
 11. GENTAMYCINE

  Kwanini Watangazaji wa Redioni wanatumia nguvu kubwa mno kutushawishi tucheze Bahati Nasibu zao?

  Mtangazaji wa Bahati Nasibu ya EFM ( Mshindo Milionea ) utamsikia..... Fanya upesi ucheze Mshindo Milionea kwa kuweka tu Shilingi Elfu Moja yako ushinde Shilingi Milioni Moja ili Kesho Baba mwenye Nyumba wako akakufukuza kwa Kukudai Kodi yake na Ukaibika Mtaani. Mtangazaji wa Bahati ya Clouds...
 12. winnerian

  Mamlaka na nguvu ya Rais iendelee kubaki kama ilivyo kwenye Katiba

  Kamwe mtu ambaye hana nguvu wala mamlaka hawezi kufanya maamuzi sahihi na yenye tija kwa wale anaowaongoza. Pia kinga ya Rais ibaki kama ilivyosasa kumtoa wasiwasi wa kufanya maamuzi na kutoa amri. Unapokuwa na wasiwasi pamoja na uoga wa kukosea huwezi kufanya kazi kwa ufanisi na uhuru. Kitu...
 13. Chizi Maarifa

  Wanaume tumekuwa Madini Ghali sana. Tumeanza kugombaniwa na Mademu. Natunza tu Nguvu zangu...Nitawala....

  Nikitizama huku naona mashoga wanaongezeka.... Nikigeuka kule wasio na nguvu za kiume nao wanaongezeka.... Naamka napiga pushups.. Nikicheck tena kwa mbali kule wacheza pool au wazee wakujichukulia sheria mkononi wanaongezeka....natabasamu.. Yaani unakuta kakijana kanalamba lamba lips tu kama...
 14. Dalton elijah

  Sigara hupunguza nguvu za kiume

  SIGARA: Uchunguzi uliofanyika kwa wanaume 50,360 ulionesha uhusiano wa karibu kati ya idadi ya sigara & muda unaotumika kuvuta na hatari ya mwanaume kupungukiwa nguvu zake za kiume (Erectile Dysfunction) kwani sigara huzuia mzunguko wa damu kote mwilini, ikiwemo na sehemu za siri ... Sources ...
 15. Kamanda Asiyechoka

  CHADEMA tulishapoteza mvuto na nguvu Mwanza na Kanda ya Ziwa. Kuzindua mikutano Kanda ya Mwanza haisaidii

  Nguvu tuliyokuwa tumewekeza kanda ya ziwa hasa maeneo ya Mwanza, Tarime, Geita na Chato ilishamalizika. Tulioshaonekana ni wasaliti na waganga njaa. Hatuwezi kurudisha ushawishi tena. Kunzisha mikutano ya hadhara tar 21 tukianzia Mwanza sio suruhu.
 16. Komeo Lachuma

  Je, hapa naweza athirika kwenye nguvu za kiume? Maana pia siwezi "Jichukulia Sheria Mkononi"

  Sisi wengine tunapata mbunye kwa nadra sana. Sababu hatuna pesa na hatuna mvuto. Sasa unajikuta tu muda mwingi unaona watoto wakali ila huwezi kuwala. Basi mashine inasimama mpaka masaa mawili au matatu imekakamaa tu...mishipa imevimba inakuwa inashtuka shtuka muda wote kama imekumbwa na...
 17. SemperFI

  Ripoti Henley Passport Index 2023: Hati 10 za Kusafiria zenye nguvu zaidi Barani Afrika

  Tanzania imeshika nafasi ya 10 katika nchi za Afrika zenye Passport zenye nguvu zaidi huku ikiwa nafasi ya 74 duniani na uwezo wa kuingia katika maeneo 72 kwa Viza au bila Viza. Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Henley Passport Index, kupitia Mamlaka ya Kimataifa ya Usafiri wa Anga (IATA)...
 18. Komeo Lachuma

  Kumbe nyie ndo Mnatumaliza Nguvu za Kiume kwa Makusudi. Nimeumia sana

  Dada anasema amezaa na mumewe mtoto mmoja. Akapata kakijana mchepuko aka fall in love nako. Baadaye akapata wazo kuwa asababishe kuvunjika kwa ndoa ili abaki na kakijana mchepuko. Wakapanga wamwekee dawa ya kuua nguvu za kiume mumewe. Akafanya hivyo. Mume miaka 3 mashine haisimami. Si kwa ku...
 19. R

  Taifa la kidemokrasia linapaswa kuepuka kwa nguvu zote desturi na mila ya mauaji ya siri; hakuna maendeleo yakudumu kwenye damu inayolia

  Nimejaribu kutafakari ni kwanini wauaji wengi ukamatwa kirahisi baada Tu yakufanya mauaji ila waalifu wengine uchukua muda? Nimetafakari ni kwanini watu wengi wanaweza kukaa kimya pale wanaposikia ndugu Yao kauwawa lakini NI vigumu kusamehe likaisha? Nimejiuliza kwanini MTU maarufu akiuwawa...
 20. M

  Ukraine sasa inasema kuwa: "Hakuna nchi iliyotusaidia kiasi cha kutosha".

  Kupitia waziri wake wa mambo ya nje, Ukraine imelalamika wazi na kusema hakuna aliyeweza kutusaidia kiasi cha kutosha katika vita dhidi ya urusi. Pamoja na kutambua misaada iliyopokea hadi sasa lakini anasema: "tuambiane ukweli, maadamu urusi bado imeikalia nchi yetu hapo hatujasaidiwa vya...
Top Bottom