Nje ya kutumika kama miti kwenye ujenzi na chanzo cha pombe ya ulanzi.. Mianzi pia ina matumizi mengine kwenye kupendezesha nyumba hasa kwa wapendao vitu asilia
Special dedication kwa Malchiah na...
Kama hujaanza ujenzi hasa wa nyumba yako ya kwanza ya kuishi jitahidi sana upate elimu ya kutosha kwenye
Ununuzi wa ardhi/kiwanja
Mafundi wa kila idara
Makisio ya vifaa, ufundi
Muda sahihi wa...
Habari ya wakati huu ndugu zangu wa Jua na Ac.
Kama kawadi hapa dalali wa mjini nipo live.
Jirani yangu ni fundi ujezi wa nyumba ambaye taaluma Yake alisomea chuo cha ufundi veta miaka mingi...
Kwenye ujenzi wa nyumba hakuna kitu kinakula gharama na kuleta stress karma 'finishing'
Leo tutaangazia kipengele cha urembo wa kwenye kuta.. Hapa badala ya kubandika mapichapicha yenye gharama...
Habari za mchana wadau wenzangu wa Jamii Forums.
Iko hivi,
Nilihamishwa Dodoma kikazi mwaka 2019.
Na sasa nimepata uhamisho wa kwenda jijini Mbeya.
Wakati naishi huku Dodoma, nilibahatika kujenga...
Habari zenu ninahitaji kufahamu gharama za kumaliza msingi wa nyumba hiyo.Ninapendelea na upande wa jiko huko kuwe na kibaraza kama cha mbele
Kiwanja tayari kipo,nataka nifahamu gharama za msingi...
PLN 0001 2BR
Ramani ya Vyumba Viwili
Living room (Sebule)
1 Master bedroom with a Dressing room (W.I.C)
1 Single bedroom
Kitchen (Jiko)
Public toilet (Choo cha jumuiya)
Ramani hii ina privacy...
Hizi ni picha za mtandaoni.. Hivyo si lazima uagize nje kwa gharama kubwa ama uingie dukani
Ukipata vipimo sahihi kulingana na ukubwa wako na ukawapata mafundi mahiri basi unaweza kupendezesha...
UTOFAUTI KATI YA MASTER BEDROOM NA SELF BEDROOM.
SELF BEDROOM
Ina ukubwa ambao unaruhusu:-
✴️Kitanda cha futi 5 kuingia
✴️Meza moja na kiti kimoja au Viwili
✴️ Kabati la nguo
Pia inakuwa na Choo...
Jamani fursa zipo kwenye kila kitu mpaka vile ambavyo huwezi kiuvidhania.. Leo ni zamu ya vifuu vya nazi kwenye mapambo ya maua.. Vifuu vina mpaka mapambo ya mwilini lakini leo tunaanza na maua...
Msisitizo kwamba Tutafute hela ni wa kweli. Cheki makazi ya maana kabisa. Sio wewe unaenda kujenga kijijini kwenu huko Singida bado unaenda kubanana karibu na sokoni
Nyumba hii ina
1 Master bedroom
LIving room
KItchen
Dinning
Store
Public toilet
Kama una ushauri unaweza kutoa ushauri
Kama unahitaji tukuchoree raman yenye muonekano huu nichek 0743257669...
Hivi vinafaa zaidi kwa watoto, sehemu za jumuiya ama kwa wapenda ng'areng'are.. Usukumani hivi utauza sana (joke)😂
Kama si mpenzi wa rangirangi hivi havikufai kabisa.. Vipite kama huvioni😂
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.