kuhamia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Uliwezaje kumudu maisha ya vijijini baada ya kuhamia /kuajiriwa huko?

    Maisha ya vijijini yanashangaza sana unaweza kujiuliza hawa watu huwa hawapati pesa au shida nini. Msosi shida, usafiri shida, nyumba shida, maji shida, yaani kila kitu shida. Hii imepelekea what we call suffering ndo imekuwa furaha ya wakazi wengi wa vijijini. Watu wanaishi tu ili mradi siku...
  2. MK254

    Uingereza kuwalipa wakimbizi takribani Tsh. Milioni 9 kila mmoja ili wakubali kuhamia Rwanda

    The British government is planning to pay asylum seekers up to £3,000 ($3,836) each to move to Rwanda under a voluntary plan to help clear the backlog of refugees who have had their applications to remain in the country rejected. The new agreement with Rwanda is separate from the government's...
  3. Huihui2

    John Heche: Magufuli aliniahidi kunipa nafasi ya Uwaziri kama ningekubali kuhamia CCM

    Leo kwenye Clouds 360° akihojiwa na Masoud Kipanya amesema kuwa kabla ya Mbunge Mtulia wa CUF Kinondoni yeye Heche alikuwa approached na Magufuli mwenyewe. Magufuli alimuambia kuwa kama atahamia CCM basi atampa Uwaziri. Heche alimkatalia katakata. Baada ya hapo Magufuli alimuambia kuwa basi...
  4. SAYVILLE

    Je kuna uwezekano wa Simba kuhamia moja kwa moja uwanja wa Mej. General Isamuhyo ulioko Mbweni?

    Nimewaza na kuwazua, kwa muda sasa Simba imeweka kambi yake maeneo ya Mbweni na ni umbali mdogo sana kutoka uwanja wa Meja Generali Isamuhyo ulipo. Yaani umbali wake ni mdogo kiasi kwamba katika mechi inayokuja ya JKT vs Simba, Simba wanaweza kuamua siku ya mechi kutembea kwa miguu kutoka...
  5. I

    Kabila la wahindu linataka kuhamia Israel kufuata asili yao na liko tayari kupambana na Hamas

    Huku kukiwa na mzozo wa kikabila nyumbani, jumuiya ndogo kaskazini-mashariki mwa India inajaribu kuhamia Israel, ambako wanasema mizizi yao ni uongo. --- Aizawl, India – Joseph Haokip, an undergraduate student in Manipur, is excited at the thought of going to Israel. He is ready to join the...
  6. T

    Nimepata kazi ambayo inaniruhusu kuhamia USA nikitaka, lakini mshahara ni ule ule popote nitakapoamua kufanyia kazi

    Habari wakuu, Nahitaji ushauri kidogo hapa. Nimepata kazi ambayo inaniruhusu kufanyia kazi popote pale, na hata kuhamia yalipo makao makuu ya shirika kama nikitaka (Houston, Texas, USA), lakini pia nikitaka naweza kubaki hapa hata Tanzania nikaendelea kufanya kazi remotely, nikawa naenda USA...
  7. BIG STONE AND CONER STONE

    Nataka Kuhamia Canada

    Kwa ufupi tu Nataka kwenda Kuanzisha Makazi huko Canada. Kwa Anayejua Gharama za Maisha huko pls toa tips, Nyumba za kuishi bei zake wapi pako poa , wapi eneo kwenye Amani kwa black kuishi, gharama za chakula. Pia Nawezaje Kuanzisha duka huko hata languo I'li niasiache asili yangu...
  8. D

    Ushauri kuhusu kuhamia kwangu

    Wakuu wasaalam Mwezi huu nimefanikiwa kupaua nyumba yangu, kuweka magrill, kuchimba shimo la choo na nina mpango wa kupiga plasta nadni na nje pamoja na jamvi. kinachoniumiza kichwa mwezi Januari mwishoni kodi yangu inaisha na ninatakiwa kulipa kodi ya miezi sita kila nikiwaza nihamie kwa hatua...
  9. M

    Nimeamua kuhamia Chemba (Dodoma)

    Wadau, Baada ya ya utafiti wa zaidi ya mwako mmoja, nimeamua kuweka makazi wilaya ya Chemba (Dodoma) na nataka kujikita kwenye ufugaji wa kisasa wa ngombe na mbuzi. Naomba kupata connection na wadau waliopo hapa kwa nia ya kubadilishana mawazo jinsi ya kuishi hapa makazi mapya. Asanteni familia.
  10. A

    DOKEZO Kwanini Walimu Kilwa tunalazimishwa kubaki CWT? Wengine tunataka kuhamia CHAKUHAWATA?

    Sisi baadhi ya Walimu Wilayani Kilwa tunazuiwa kujiunga katika Chama cha CHAKUHAWATA licha ya kuwa kuna wenzetu kati ya Walimu zaidi ya 300 wameshaamua kuhama kutoka CWT na kuhamia upande huo wa pili kutokana na makato makubwa ya CWT. Kinachofanyika CWT wanaenda kwa Afisa Utumishi kuzuia Walimu...
  11. Kunguru Mjanja

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Full name: Chelsea Football Club Nickname(s): The Blues, The Pensioners Founded: 10 March 1905 League: Premier League Website: ChelseaFC.com Ground: Stamford Bridge, (Capacity: 41,663) - Pitch 103m x 67m Owner: The consortium of Todd Boehly, Clearlake Capital Group, Hansjörg...
  12. F

    Serikali ya Sudan kuikimbia mji Mkuu Khartoum na kuhamia Port Sudan

    Kiongozi wa kijeshi wa Sudan Generali El Burhan, amesema serikali kuu na Jeshi zinajiandaa kuhamia Port Sudan mji wa mashariki mwa Sudan. Hatua hii imekuja baada ya wanamgambo wa RSF kushikilia maeneo yote nyeti ya mji Mkuu Khartoum. Kiongozi wa RSF Generali Mohamed Daglo, ameionya hatua ya...
  13. Dr Rutagwerera Sr

    Suala la Salim Kikeke kuhamia EFM na akili za watanzania

    Nimeona jinsi watu wanavyomshambulia Kikeke kwenye akaunti zake za kijamii kwa uamuzi wake wa kujiunga na kituo cha matangazo cha E-fm. Nimebaki kuajabia tabia ya watanzania. Maisha ni yake, uamuzi ni wake cha ajabu anatukanwa na kudhalilishwa na wachangiaji juu ya uamuzi wake huo. Tanzania ni...
  14. olimpio

    Tetesi: Viongozi waandamizi wajipanga kuhamia ACT

    Nina mwamini sana Warioba na nilidhani angefikiria kuhamia Chadema , lakini kupanga mipango ya kuhamia ACT naona atakua anapoteza muda. Siwaelewi chadame lakini kwa significance ya kuhamia upinzani nilidhani angehamia chadema. Kwa wasiofahamu , kuna kundi la wazee CCM wanafinalize mazungumzo ya...
  15. J

    Tetesi: Kundi la wana CCM lajipanga rasmi kuhamia Upinzani

    Disclaimer: Hizi ni Tetesi Kuna kundi la wana CCM wameshaanza kufanya mazungumzo na viongozi wa Upinzani ili kuhamia upinzani kabla ya uchaguzi wa serikali za Mitaa. Baadhi ya wana CCM hao ni James Lembeli ambaye amewahi kuhamia CHADEMA kabla ya kurudi CCM tena kipindi cha JPM. Wana CCM...
  16. Notorious thug

    Ally Bananga Katibu Mwenezi CCM Dar adai atamshawishi Freeman Mbowe na wenzake kuhamia CCM

    Wengi tulimfahamu alipokua diwani wa Chadema kata ya Sombetini Arusha mke wake ni mmoja kati ya wale COVID-19 wa Chadema. Ally Bananga(MARIOO WA CCM)
  17. BARD AI

    Mkurugenzi NHC: Uamuzi wa Serikali kuhamia Dodoma umesababisha hasara kwa Shirika la Nyumba

    Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Hamad Abdallah amesema uamuzi huo umekuwa na matokeo hasi kwa miradi iliyopo Dar es Salaam zikiwemo nyumba na mali nyingine zilizokuwa zikitumiwa na Serikali na Maafisa wake zimeachwa wazi. Kati ya Miradi iliyotajwa kuingia hasara ni pamoja na wa...
  18. R-K-O

    Wanawake wanaocheza michezo na vicoba wananufaiaika zaidi kuliko wanaume wanaobeti, Je ni muda wa wanaume kujitafakari kuhamia Vicoba ?

    Kote kuna "risk" za uso zipo ila uhalisia haujifichi, Kwenye vicoba kuna "Uwezekano / probability" kubwa kuzidi betting Betting ni janga kubwa sana hapa nchini kwa wanaume, watu wanakula sana za uso hadi huruma, lakini ndio wanazama kabisa uraibu inakuwa ngumu kuacha kama ilivyo ulevi wa pombe...
  19. GENTAMYCINE

    Ikitokea DP World wakachoka na Upuuzi wetu na kuhamia Kenya, nisisikie Malalamiko haya kwani 'Nitapiga' Mtu

    1. Vyuma vimekaza ( Pesa hakuna ) 2. Ajira hakuna 3. Rais Samia hafai 4. Uchumi wa nchi Unaanguka 5. CCM haifai 6. Hatuvutii Uwekezaji 7. Nchi inachelewa Kimaendeleo Mpuuzi yoyote nikimsikia akiyasema haya Saba ( 7 ) niliyoyataja hapa juu kama DP World wakichoka na Makelele yetu ya...
  20. tpaul

    DNA za Uganda kuhamia Tanganyika?

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kupepesa macho wala kutikisa masikio. Huko nchini Uganda kimeuma sawasawa. Ndivyo unavyoweza kusema. Mashirika mbalimbali ya habari yakiwemo BBC na DW yameripoti kwamba kasi ya upimaji wa DNA kwa wanandoa wa kiume umepamba moto kwa siku za hivi karibuni na...
Back
Top Bottom