Kuendekeza "Undugulisation" kumeifanya serikali ya Awamu ya 6 imepwaya Mapema sana. Possibly, hali ikawa Mbaya zaidi.

MoseKing

JF-Expert Member
Jul 5, 2017
4,924
8,911
-Teuzi zimejaa Wakwe, mashemeji was Mitala kina Mchengerwa ambao hata waboronge vipi hawatatumbuliwa.

- Teuzi za watoto was vigogo kina Nape, Makamba, ambao kiuhalisia hawanq jipya tRNA zaidi ya kutafuna nchi na kuumiza watu.

- Mwugulu akili hana kabisa na hajawahi kuwa na jambo lolote LA maana, na imagine ndio Waziri was fedha. Sad

- Nchi sasa hivi imegeuka ya MICHONGO, UCHAWA na FITNA.

So sad.

Tusubirie tu Mdundo was taifa.
 
Mungu kuna mambo anaya acha ili mabadiliko yatokee so tuache wafanye vile wanataka then u shall see the change.
 
-Teuzi zimejaa Wakwe, mashemeji was Mitala kina Mchengerwa ambao hata waboronge vipi hawatatumbuliwa.

- Teuzi za watoto was vigogo kina Nape, Makamba, ambao kiuhalisia hawanq jipya tRNA zaidi ya kutafuna nchi na kuumiza watu.

- Mwugulu akili hana kabisa na hajawahi kuwa na jambo lolote LA maana, na imagine ndio Waziri was fedha. Sad

- Nchi sasa hivi imegeuka ya MICHONGO, UCHAWA na FITNA.

So sad.

Tusubirie tu Mdundo was taifa.
Aise mchen gwera Yuko smart sana jama yule alivyobadilishwa wizara ndio watumishi walilia Sana Ni mtu POA na anjuwa analolifnya

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Pamoja na hayo yote bado hamhamii Burundi na mnacheza kamari

Pesa ipo acha muendelee kukamuliwa
Hii ndio nchi yetu na uridhi wetu. Hatuwezi kuiacha kwasababunya kimburu mmoja aliyelewa madaraka.
 
-Teuzi zimejaa Wakwe, mashemeji was Mitala kina Mchengerwa ambao hata waboronge vipi hawatatumbuliwa.

- Teuzi za watoto was vigogo kina Nape, Makamba, ambao kiuhalisia hawanq jipya tRNA zaidi ya kutafuna nchi na kuumiza watu.

- Mwugulu akili hana kabisa na hajawahi kuwa na jambo lolote LA maana, na imagine ndio Waziri was fedha. Sad

- Nchi sasa hivi imegeuka ya MICHONGO, UCHAWA na FITNA.

So sad.

Tusubirie tu Mdundo was taifa.
Je tukupe wewe maana kila aliyeteuliwa hafai au hajui kazi yake.

Kweli 'domo jumba maneno'
 
-Teuzi zimejaa Wakwe, mashemeji was Mitala kina Mchengerwa ambao hata waboronge vipi hawatatumbuliwa.

- Teuzi za watoto was vigogo kina Nape, Makamba, ambao kiuhalisia hawanq jipya tRNA zaidi ya kutafuna nchi na kuumiza watu.

- Mwugulu akili hana kabisa na hajawahi kuwa na jambo lolote LA maana, na imagine ndio Waziri was fedha. Sad

- Nchi sasa hivi imegeuka ya MICHONGO, UCHAWA na FITNA.

So sad.

Tusubirie tu Mdundo was taifa.
Mkuu, inakubidi uwe mbunifu ili nawe uweze kula mema ya nchi hii. Nchi hii uzalendo ama uweze kukumbukwa na kupewa cheo ama "ulaji" maana yake ni kuwa karibu na familia ya malkia/mfalme, kuwa kada mnafiki na mwenye vinasaba ama ukaribu na watu maalum ndani ya chama chao, na kujipendekeza kwa watawala kama vile huna akili timamu.

La sivyo anza dili ndogo ndogo za madawa ya kulevya, vipusa, silaha za magendo, madini ama hata "human trafficking" zali utalipata tu.

Kama mbwayi na iwe mbwai

KUDADEQ
 
Nchi imelaaniwa na viongozi wake,hawaoni ata aibu, angalia mchujo wa wabunge wa EAC ni ushenzi mtupu.Yaani tiketi ya wewe kuwa kiongozi ni wazazi wako kuwa ndani ya CCM,watu wanaoheshimu chama kuliko nchi!!
 
-Teuzi zimejaa Wakwe, mashemeji was Mitala kina Mchengerwa ambao hata waboronge vipi hawatatumbuliwa.

- Teuzi za watoto was vigogo kina Nape, Makamba, ambao kiuhalisia hawanq jipya tRNA zaidi ya kutafuna nchi na kuumiza watu.

- Mwugulu akili hana kabisa na hajawahi kuwa na jambo lolote LA maana, na imagine ndio Waziri was fedha. Sad

- Nchi sasa hivi imegeuka ya MICHONGO, UCHAWA na FITNA.

So sad.

Tusubirie tu Mdundo was taifa.
Hivi mi Sina ndugu kweli huko😸
 
Kila kona ubinafsi wacha Maisha yaendelee kweny taasisi pia si mnafanya undungu..Mama anachagua anapopenda kama nyie kama elimu kwa sasa kila kona ipo kumpangia ni habari za umbea.
 
Mtu Hazuiliwi Wala kukosa sifa za kuwa kiongozi kwa kuwa tu baba yake au mama yake au Kaka yake au dada yake au ndugu yake yoyote Ni kiongozi, kinachomfanya mtu kuwa kiongozi Ni sifa na uwezo alionao mtu katika kuongoza na kumudu majukumu ya kiuongozi,

Watu wangekuwa na mtizamo Kama wakwako Basi George Bush asingekuwa Rais wa Marekani wala uhuru kenyata kuwa Rais wa kenya Wala Hillary Clinton kushika nyadhifa alizoshika marekani,

Hata hivyo Tambua ya kuwa uongozi unatoka kwa Mwenyezi Mungu pekee anayetufahamu na kutujuwa sisi Tungali katika matumbo ya mama zetu,
 
Huna akili
 
Back
Top Bottom