mchango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Mchango wa Sir Wicknell chivayo mzimbabwe kwa ccm

    Huyu marehemu Sir Wicknell chivayo mzimbabwe tajiri alitoa mchango mkubwa wa siri kwa ccm. Mchango wake kukichangia chama cha ccm kwa ajili ya kampeni nitauelezea hapa mshangae ni milioni za dola, hii imekuwa siri kubwa sana na wamefanya siri. Usishangae salamu za rambi rambi zikatolewa na...
  2. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kama kuna mtu ana namba ya simu ya Dudubaya. Nataka nimpatie Mchango Tsh 2,000,000

    Pia kama inawezekana aombwe ajiunge humu. Hiyo mibwabwa ipo humu mingi sana inabadili IDs daily. Inakufuata PM kuomba ukaichakate. Ukikataa inatangaza vita. Mimi namuunga mkono na nitamchangia tsh 2,000,000 kwenye hiyo fine. Asiache kuyabagaza hayo machoko. Ni ya bananga tu wakati wote bila...
  3. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Sister Sarah ashinda Tuzo ya Kimaitaifa kutambua mchango wake katika sekta ya Afya

    Sr. Dkt. Sarah Kahumbya Deogratius, Mkurugenzi wa Hospitali ya Kardinali Rugambwa nchini Tanzania, ametajwa kuwa mpokeaji wa Tuzo ya Else Kröner Fresenius ya Ushirikiano wa Maendeleo katika Tiba kwa kutambua kazi yake ya kuimarisha utambuzi wa kifafa na utunzaji wa watoto wenye ulemavu. Tuzo...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni upi hasa mchango wa vyama vya vya siasa hususani vya upinzani katika ustawi wa demokrasia, utawala wa sheria na utawala bora Tanzania?

    Tangu kuanzishwa kwa mfumo wa demokrasia ya vyama vingi nchini Tanzania, kumekuwepo na mageuzi na mabadiliko mengi sana makubwa ya kisiasa, kijamii, kiuchumi, kitaifa na kimataifa. Kama mdau wa muhimu na wa heshima sana wa JF, unadhani ni upi mchango wa vyama vya siasa vya upinzani katika...
  5. tpaul

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Shayo: Michango ya harusi ni ushamba; usitoe mchango wowote

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwachelewesha. Watanzania tumezoea kuchangiana wakati wa shida na raha na utamaduni huu tumedumu nao tangu enzi za mababu zetu hadi sasa. Pamoja na ukarimu uliopo miongoni mwa watanzania, eti mchungaji huyu hapa chini anapinga kabisa mambo...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nini kimesababisha mchango wa Waislamu katika harakati za siasa za mapambano Tanzania kuwa ukipungua ?

    Kuanzia uhuru mpaka leo hii mchango wa Waislamu katika harakati za mapambano umeenda ukipungua sana. Wakati wa uhuru Waislamu walikuwa active sana mstari wa mbele katika harakati za uhuru pamoja na Nyerere. Watu wengine kama Mohamed Said wanafikia mbali hata kusema Waislamu ndio walikuwa...
  7. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi kupigwa vibaya kisa 1500 ya mchango, walimu wa kujitolea

    Taharuki imeibuka katika Shule ya Msingi Makota, Kata ya Masaka, Wilaya ya Iringa Vijijini, baada ya wanafunzi 13 wa Darasa la Saba kudaiwa kupigwa wakati wa maandalizi ya mtihani, huku baadhi yao wakifikishwa kituo cha afya kwa matibabu. Tukio hilo limeibua mvutano kati ya wazazi na uongozi wa...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Serikali inatambua mchango wa Kanisa - Waziri Mkuu Nchemba

    Serikali inatambua mchango wa Kanisa na baba Askofu. Kila tunapotaja maendeleo ya nchi yetu, kuanzia mwanzo mpaka hapa tulipofika, hatuwezi kuyataja kwa kina maendeleo hayo bila kutaja mchango wa Kanisa - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Mpanda - Katavi. 🗓️ Agosti 30, 2026. ————————————————...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nini Jaji Warioba Kaongea Leo! Chini ni Muhtasari wa Alichokisema

    Tanzania kwa sasa inapita katika kipindi cha mpito wa kisiasa ambacho kinahitaji viongozi wenye busara na ujasiri wa kusimamia ukweli bila uoga wala upendeleo. Katika muktadha huu, Jaji Joseph Sinde Warioba anasimama kama moja ya tunu chache za kitaifa zilizobaki—sauti ya maadili na hekima...
  10. min -me

    JamiiForums Tanzania Wewe kama memba wa JF una mchango gani humu?

    Wewe umetoa mchango gani kumtoa kijana humu kwenye sifuri na kwenda kwenye ndoto zake? Nina vijana watano humu wanajijua wamefanikiwa kupitia mimi, kama wapo online watakuja. Note: achana na vijana wanao kuomba pesa hasa 20 za kubeti humu gademitt.
  11. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mchango wa Serikali Kwenye Michezo: Kwanini Usitambulike?

    Kuna jambo ambalo kwa kweli linanifanya nijiulize kwa nini mtu anaweza kuumia kabisa kusikia hata jina la Rais likitajwa kwenye mchezo wa mpira eti kwa sababu Serikali imepongezwa ? Hapa tunahitaji kutenganisha siasa na uhalisia wa maendeleo ya michezo. Kumtaja Rais katika hafla au mashindano...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kesi za Mchango unaliweka wapi Jeshi la Polisi, Offisi ya Mwendesha Mashtaka na Mahakama zetu.

    Hivi karibuni kumekuwepo na kesi ambazo tunaweza, kusema ni za mchongo, Kwani Hazina uhalisia na tuhuma zinazo chagizwa dhidi ya watuhumiwa iwe ni ugaidi au uhaini . Sasa
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kumbe Zanzibar hawana mchango wowote kwenye pato la Taifa. Inaumiza sana.

    https://sw.wikipedia.org/wiki/Orodha_ya_mikoa_ya_Tanzania_kwa_Pato_la_Taifa
  14. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Mchango wangu juu ya hali ya Tanzania hasa kipindi hiki kigumu.

    Nimejaribu kumsikiliza professor Tibaijuka ambaye anafanya constructive criticism juu ya mambo mbalimbali nchini pia kufuatia hali ya nchi sasa ilivyo nimekuja na mtazamo wangu binafsi. 1.Nchi yetu sasa hivi imeparanganyika .Hakuna ukaribu kati ya wananchi hasa tabaka la chini na watu wa tabaka...
  15. Y

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ndiyo Chama chenye mchango mdogo sana kwa Taifa

    CHADEMA NA SWALI LA MCHANGO WAKE KATIKA MAENDELEO YA TAIFA: MTIZAMO WA KIKOSOAJI === Katika mfumo wa vyama vingi vya siasa, kila chama hupimwa kwa uwezo wake wa kutoa mchango chanya katika maendeleo ya taifa, iwe kupitia sera, ushawishi wa kisera, ushiriki katika taasisi za kidemokrasia au...
  16. EricMan

    JamiiForums Tanzania KERO Nimekuja kutembea kijijini, nimeambiwa nichangie Tsh. 1,000 ya Mwenge, ni sawa?

    Nipo kijijini nimeenda kwa Mwenyekiti kumjuza nipo mtaani kwake, kaniambia kuwa natakiwa kutoa shilingi elfu moja ya mchango wa Mwenge. Sasa najiuliza mchango wa mwenge kivipi? Mwenye ujuzi anijuze.
  17. I

    JamiiForums Tanzania Ford Foundation Misaada au Mtego wa Kimataifa? Historia ya FF je ina mchango wowote klatika uchochezi wa machafuko popote Duniani haswa Afrika

    Uchunguzi wa Kina · JICHO La Afrika 2026 | Makala ya Uchunguzi Uchunguzi Maalum NA ITS MALEKOGJ. malekoj27@gmail.com 0798888486 Ford Foundation: Siri Zilizofichwa kwa Miaka 70 — Jinsi Philanthropy Inavyoweza Kuwa Silaha ya Kisiasa Kipindi TUTAKACHOANGALIA 1936 – 2025 Nchi Zilizohusika...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Mwanza airport inapewa bajeti ndogo kana kwamba mchango wake hauna maana ?

  19. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Umaskini wa kujitakia na kitendawili cha mchango

    66 UMASKINI WA KUJITAKIA NA KITENDAWILI CHA MCHANGO, UCHAGUZI NGUVU YETU Hebu tushirikiane kutafuta jibu la hili fumbo: Chama cha siasa Afrika kinaingia mtaani na kuwapa wananchi somo la ulaghai kwamba serikali imewafanya maskini. Wananchi wanaitikia kwa huzuni, 'Kweli kabisa!' CHAMA KINAWEZA...
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tangu mfumo wa vyama kuanzishwa nchini, bado hakuna kabisa mchango wa vyama vya upinzani katika kuchochea maendeleo ya wananchi nchini.

    Ni CCM pekee kwa dhamira yake njema kwa taifa, utashi wa kisiasa wa viongozi wake, mipango mikakati yake ya maendeleo kwa wananchi na dhamira yake njema kwa waTanzania, ndio daima huunda serikali sikivu ya wananchi na kuongoza nchi, huku ikilenga zaidi kuwaletea waTanzania wote maendeleo bila...
Back
Top Bottom