Wakuu
Picha za zamani zina uwezo wa kurudisha kumbukumbu, kuonyesha historia na kutufanya tuone jinsi mazingira yalivyobadilika. Hii yangu ni safari ya kufikirika ya Tanga, Dar es Salaam, Zanzibar, Mwanza miaka 1980—vumbi, cowboy vibe na nostalgia full 😄
Karibuni kushare vintage scene yenu...