makazi

 1. Bishop Hiluka

  INAUZWA Nyumba ya makazi

  Nyumba ya kuishi inauzwa, ipo Chanika Zingiziwa, Mtaa wa Ngobedi. Ina vyumba vutatu kimoja ni master. Pia ina choo cha nje na eneo ambalo unaweza kujenga kitu kingine. Ipo kwenye eneo tulivu sana kwa wenye kupenda utulivu. Kama unahitaji tuwasiliane kwa 0685 666964...
 2. Red Giant

  Sheria zinasemaje kujenga maghorofa marefu maeneo ya makazi?

  Salama. Kuna maeneo ya makazi ni mazuri sana kuishi hivyo kila mtu anatamani kuishi huko. Maenwo kama Masaki au Oysterbay. Hili limepelekea watu kujenga maghorofa marefu sana na kuuza au kupangisha apartment. Majengo haya hubadili kabisa mazingira . Yanazuia upepo na jua pia. Na zaidi ni...
 3. Analogia Malenga

  Watu milioni 216 watahama makazi yao kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa

  Benki ya Dunia imekadiria, kufikia mwaka 2050 watu milioni 216 duniani watakuwa wameondoka kwenye makazi yao kutokana na mabadiliko ya Hali ya Hewa ikiwa hali hiyo haitadhibitiwa. Sababu ya watu kuhama zimetajwa kuwa ukame, kushuka kwa uzalishaji wa mazao na kuongezeka kwa kina cha bahari...
 4. B

  Iramba wanunua kifaa cha kisasa cha upimaji ardhi na urasimishaji makazi

  Mkuu wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida Mhe Suleiman Yusuph Mwenda siku ya Septemba 23, 2021 amezindua kifaa cha kisasa cha upimaji wa ardhi kiitwacho DGPS S86 RTK chenye uwezo wa kutembea Km 30. Akihutubia katika hafla ya uzinduzi wa kifaa hicho, Mhe Mwenda aliwapongeza kwa pamoja Mwenyekiti...
 5. Analogia Malenga

  #COVID19 Anne Makinda: Sensa ya watu na makazi haihusiani na chanjo

  Kamisaa wa Sensa, Anne Makinda amesema baadhi ya watu wana imani potofu kuwa zoezi la uhesabu watu na makazi wanahusiana na chanjo ya #COVID19 Amesema hilo sio kweli, japo ni muhimu kwa wananchi kupata chanjo ya corona. Ambapo wanaendelea kutoa elimu kuhusu sensa itakayofanyika 2022 Aidha...
 6. beth

  Burundi: Majanga ya asili yapelekea watu zaidi ya 100,000 kukimbia makazi yao

  Majanga ya Asili yamesababisha Watu kukimbia makazi yao miaka ya karibuni, ikielezwa wengi wao walikuwa wakiishi pembezoni mwa Ziwa Tanganyika ambapo viwango vya maji vimeongezeka na kusababisha mafuriko na maporomoko Shirika la Save The Children linasema takriban 85% ya Watu 122,500 wanaokaa...
 7. Mohamed Said

  Makazi ya baba wa taifa Mwalimu Nyerere baada ya kujiuzulu ualimu 1955

  ALIPOISHI BABA WA TAIFA BAADA YA KUACHA KAZI YA UALIMU 1955 Hapo ilipo nyumba hii ilikuwapo nyumba ya kawaida ingawa kwa wakati ule nyumba hiyo ilikuwa nyumba ya kuvutia pia. Nyumba hiyo ilikuwa na duka la mwenye nyumba hiyo na barazani palikuwa na barza maarufu ya wazee wa mjini maarufu...
 8. Analogia Malenga

  LIVE Dodoma: Rais Samia azindua mkakati wa uelimishaji na uhamasishaji wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022

  Tunaendelea kufuatilia atakaloongea mtukufu rais katika uzinduzi wa uhamasishaji wa sensa ya watu na makazi
 9. J

  Dodoma: Rais Samia anazindua Mkakati wa Uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi 2022

  Tukio liko mubashara ITV, TBC na Channel ten Rais Samia anazindua zoezi la uelimishaji na uhamasishaji wa sensa ya watu na makazi 2022 katika uwanja wa Jamhuri Dodoma. ===== Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema bila kuwa na hesabu au takwimu sahihi, haiwezekani kugawa rasilimali na...
 10. J

  Story of Change Pwani: Wakazi Kijiji cha Mdimni hatarini kupoteza makazi kwa athari za mabadiliko ya tabianchi

  Nyumba iliyo karibu kusombwa na Bahari, kijiji cha Mdimni wilayani Mkuranga. Na Mwandishi Wetu Maisha ya wakazi wa Kijiji cha Mdimni kilichopo wilayani Mkuranga katika Mkoa wa Pwani, yapo shakani kufuatia sehemu kubwa ya ardhi yake kughubikwa na athari zilizokithiri za mabadiliko ya...
 11. Sky Eclat

  Tusikusanye tu tozo, tufikirie pia jinsi ya kuwaboreshea maisha hasa makazi na maji safi na salama.

 12. my name is my name

  Hata kutokee nini, sirudi kuweka makazi yangu Tanzania

  Hata siku wazazi wangu wakiamua kurudi Tanzania mimi siwez kurudi. Sirudi kamwe hata kutokee nini sirudi kuja kueka makaz yngu Tanzania. Siwez kunufaisha watu wavivu, wajinga wasiofanya kazi km inavotakiwa ila kla mwisho wa mwezi kwa kutumia kodi yng wanavimbisha matumbo na familia zao kila...
 13. chizcom

  Asante Mwanza, nikirudi nakuja kuweka makazi

  Siku moja naingia jiji la mwanza kikazi nilibaki kushangaa kwa niliyokuwa naona. Mwanza kuna kila aina ya wanawake warembo mikoa yote. Mwanza kuna vyuo vingi na ofisi nyingi kuanzia serekali na binafsi. Wanawake wazuri na kila aina iliyopo toka mikoa mbalimbali mpaka mataifa jirani kote...
 14. J

  Ustaarabu, Makazi, Maendeleo na Maisha ya watanzania na watawala (machifu na watemi)

  England United Kingdom Dresdane German Habari wanajamvi natumai mu wazima wa afya. Binafsi napenda utalii hasa utalii wa kihistoria kujua watu wa zamani na jamii zao waliishi vipi makazi, siasa, shughuli za kiuchumi nk. Tukija sehemu yangu pendwa ya makazi navutiwa sana na architects...
 15. beth

  Moto wa msituni waendelea kuwaka Ugiriki, maelfu wahamishwa makazi

  Moto wa msituni unaendelea kuwaka katika Kisiwa cha Evia Nchini humo ikielezwa upepo mkali unapeleka moto huo kwenye Vijiji. Hadi sasa, watu zaidi ya 2,000 wamehamishwa kutoka Kisiwa hicho. Majanga kadhaa ya moto yameikumba Ugiriki katika siku za hivi karibuni. Taifa hilo linakabiliwa na joto...
 16. Rebeca 83

  Story of Change Athari za hospitali kujengwa kwenye maeneo tunayoishi

  Saalamu wanaJF, Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika Zahanati hapa Tanzania nyingi zimekuwa zikijengwa sehemu ambazo ni karibu tunapoishi . Hii ni nzuri kwa sababu ya ‘easy access’ pale mtu anapopatwa na tatizo la kiafya linalohitaji uangalizi wa haraka hiyyo anaweza kupata msaada...
 17. platozoom

  Utafiti: Makazi ya Wana-JF

  Huu ni utafiti rasmi uliofanywa na Shirika la Chitlliysous Consulting Inc. kwa kuanzia Mwezi January to May 2021 juu ya ukaazi wa members wa Jamiiforums. Sample size na vigezo vilizingatiwa, infact, utafiti huu unatambulika Kimataifa. Utafiti unaelezea makazi ya WanaJf; 1. 32% wanaishi...
 18. Sky Eclat

  Story of Change Kuboresha kijiji kimoja nchini kuwa na Makazi bora na mfano wa Tanzania ya siku zijazo

  Ninaamini nyumba bora huboresha afya ya mwili na akili. Mahitaji ya msingi ya binadamu ni hewa safi na kuishi sehemu isiyosababisha maradhi mfano baridi na unyevu unyevu. Nyumba bora huleta fahari kwa mwenye nyumba hata kukaribisha wageni na humjengea heshima katika jamii. Watanzania wengi...
 19. F

  Natafuta kijana mwenzangu tuchangie kodi ya pango wakati tuna-hustle kutafuta maisha

  Habari Wakuu, Kabla ya yote naomba Nikiri kwamba Hali ya maisha imekuwa tough Sana especially kwa sisi vijana tunaohustle kuanza maisha Bila ya kuwa na blueprint ( ramani) ya kueleweka ya kutupatia regular income hapa mjini. Binafsi ni kijana ambaye nimeamua kung'atuka nyumbani na kuja apa...
 20. A

  Kuwe na Wizara ya nyumba na makazi ili kuboresha makazi ya watu

  Wizara ishughulike na ujenzi wa majengo ya watu kuishi. Nyumba za ghorofa za kuchukua familia 50 kwenye block moja. Wakaxi wanakua wapangaji wa wizara na kodi inayokusanywa inasaidia kujenga nyumba nyingine. Wanaotaka kujenga nyumba zao waombe kibali, kigezo cha kupata kibali ni kuonyesha...
Top Bottom