zimeanza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ndege JOHN

    Pampers na boxer zimeanza kutumika miaka gani hapa Bongo?

    Kichwa cha Habari kinajitosheleza. Miaka ipi tumeanza kuvalisha watoto pempas je ni 90' au 2000'. Na vipi kuhusu chupi na vipi kuhusu boxer naombeni ufafanuzi.
  2. D

    Madhara ya sera mbovu za awamu ya tano zimeanza kuonekana awamu hii

    Kipindi Cha Magufuli shule binafsi zilipata kibano sana na nyingi zilifunga biashara kwa kuwekewa mikodi kibao na wazazi wengi kuondoa watato wao kwa sababu ya vyuma kukaza kila kukicha mana watu walikuwa wanapoteza kazi daily kwenye sector binafsi. Sector binafsi ilikufa kabisa mfano mabank...
  3. P

    Kampeni za Uchaguzi 2025 zimeanza?

    Wakuu, Msikilize kiongozi huyu aliye ambiwa amkaribishe Makonda, yaani ni kampeni kabisa zimeanza. "Wilaya ya Hai sasa imepata maendeleo makubwa, ninachotaka kuwaomba msifanye makosa, kina mama na akina baba twendeni na Dr. Samia Suluhu Hassan. "Tunakwenda kwenye uchaguzi mwaka kesho...
  4. Dr Matola PhD

    Hebu tuambizane, hospitali binafsi zimeanza mgomo baridi Kwa wanaotumia Bima za NHIF?

    Leo nimepeleka mtoto kwenye dispensary Jirani ambayo NHIF insurance accepted, cha kushangaza kufika reception naambiwa vitabu vya Bima vimejaa wanatibu Kwa cash tu. Sasa nauliza hii ni by coincidence au ndio wameamuwa kuwanyoosha NHIF kimyakimya Kwa style hii? Vipi wewe mtaani kwako...
  5. BARD AI

    Kampeni za Uchaguzi zimeanza DRC, Fomu ya Urais Tsh. Milioni 150

    Wakati wagombea urais wa Tanzania wakitoa Sh5 milioni kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano, kwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wagombea urais wanatakiwa kuonyesha risiti ya malipo ya faranga za Congo milioni 160, sawa na zaidi ya Sh150.3 milioni kama ada zisizorejeshwa kwa Tume Huru ya...
  6. DR Mambo Jambo

    Tundu Lissu: CHADEMA kuna tabia za ovyo zimeanza kujengeka kwa baadhi ya watu; ukikosolewa unasema umetukanwa unatuma chawa kushambulia. Kwanini?

    Baada ya kuibuka Mnyukano ndani ya Chama na sintofahamu mbalimbali baina ya Viongozi wa chama na Baadhi ya Wanachama. Jambo hilo limemuibua Makamu Mwenyekiti Bara akielezea sintofahamu hizo. Hali hii imetokana na wiki kuibuka mnyukano kati ya Mariastella na martin na Ntobi kurushina maneno...
  7. Lord denning

    Lililoitwa Sakata la Bandari: Pumba zimeanza kujitenga na Mchele

    Wataalamu wa siasa za nchi hii tuliposimama na Rais Samia kutetea uwekezaji wa Bandarini tulionekana sie ni machawa na tukasemwa sana. Tuliposema kuwa hizi kelele za Bandari kuuzwa sijui nchi imeuzwa ni maneno ya chuki na uzandiki kukwamisha mipango mizuri ya Rais wetu kwenye uchumi wetu ili...
  8. Mwande na Mndewa

    Kadi za CCM zimeanza kurudishwa. Je, ni kwa sababu ya mambo yanayoendelea awamu hii ya sita?

    Je, wapinzani wajiandae kisaikoloji? Je, CCM imeanza kugawanyika kuanzia viongozi wake hadi wanachama wake?
  9. Kichwamoto

    Mvua za vuli zimeanza wadau wa mapenzi tuendelee kuyaanda Maghetto yetu.

    Hello JF, Mvua ni chagizo la veto ya mapenzi, kila wito imo! Neema ya mvua za vuli imeanza maeneo baadhi ya Nchi ya mahaba, natoa Rai Kwa mabaharia wote tuendelee kuyaanda Maghetto yetu. Kwa maana imeandikwa waacheni watoto wazuri, warembo, pisi kali waje kwetu sisi mabaharia kwa maana...
  10. B

    Naona sasa Walimu akili zimeanza kuwakaa sawa

    Huko CWT hali siyo shwari. Ni juzi tu mdau mmoja kaleta Uzi juu ya manyanyaso ya vyama vya wafanyakazi Tanzania hasa CWT (Chama Cha Walimu Tanzania). Wadau wengi tulichangia sn hapa. Sasa kumbe ni km tulitia petrol kwenye moto. Leo naamka nakutana na gazeti la NIPASHE likiwa na habari ya Walimu...
  11. MK254

    Drones zimeanza kufika chumbani kwa Putin, je bado atahutubia Mei 9?

    Serikali ya Urusi imetoa katazo la drones za aina yoyote angani mwake siku zikisalia chache kabla rais kuhutubia huku tishio la drones likitamalaki, ambazo zimeonyesha jeuri ya kupaa juu ya kichwa cha rais akiwa kwake chumbani. Wafuasi wa mtume Putin povu ruksa...supapawa anakutwa bedroom Pia...
  12. MoseKing

    Msimu wa Mateso kwa Watumishi: Halmashauri zimeanza kuwatishia Walimu na watumishi wengine kutoa mchango wa Mwenge, 2023

    Yaani kuwa mtumishi Halmashauri ni kama laana, kimshahara chenyewe cha mtumishi ni kidogo, alipe Kodi ya nyumba. Bado Serikali inashirikiana na vyama vya Wafanyakazi kukata pesa za mishahara ya Watumishi bila msaada, then kwenye kimshahara hicho hicho bado unatishiwa na kulazimisha kuchangia...
  13. D

    Hivi kampeni za 2025 ndio zimeanza au macho yangu?

    Wana wema, Naomba kuuliza nini hasa maana ya kuruhusu mikutano ya siasa. Nasikia na kuona ratiba ya vyama vya siasa hasa upinzani inaonesha ni kuzunguka nchi nzima. Kufanya nini ilhali hakuna Ilani wanayotekeleza, hakuna miradi wanayokagua nk. Nimeanza kuelewa nini ilikuwa lojiki ya katazo ya...
  14. BARD AI

    Nauli mpya za Mwendo Kasi Dar zimeanza kutumika leo 16.1.2023

    Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) imetoa bei mpya za nauli kwa watu wazima wanaosafiri katika njia kuu na mlishi zinatakazoanza kutumika leo ambazo zimeidhinishwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Meneja Uhusiano wa Dart, William Gatambi...
  15. PAZIA 3

    Mkesha wa VUKA NA CHAKO: Kutoka Uwanja wa Benjamin Mkapa na prophet Boniphace Mwamposa - 16/12/2022

    Bwana Yesu asifiwe? Bila shaka asilimia 70 ya watanzania wamchao Mungu, muda huu wenye tvs watakuwa live kufuatilia kongamano kubwa la VUKA NA CHAKO ikiwa ni maono ya mtumishi Boniphace Mwamposa yenye maudhui ya kuupokea mwaka mpya ukiwa tayari umeshapokea Baraka, uponyaji, Rehema na Mambo...
  16. Chizi Maarifa

    Siwezi sahau jinsi ambavyo nilidhalilika na Tozo kipindi kile zimeanza

    Siku hiyo nimeamka asubuhi wapinzani wanaongoza. Sina kitu mfukoni. Na simu yangu hata ku deeku haiwezi. Nipo majalala kinoma aisee. Nikawaza nikaona hapa nimuibuikie mwanangu wa damu Gilongwe kijiweni kwake Mwenge. Basi nikaanza kucheza Reggae mdogo mdogo toka Tegeta mpaka Mwenge. Kufika...
  17. kyagata

    Kwa hiki ninachokiona kwenye pdf za utumishi, kozi za afya na zenyewe ni kama zimeanza kujaa

    Nafasi moja au mbili ya medical doctor kugombaniwa na watu 600+ ni ishara kwamba tuna medical doctors wengi tu mtaani wako jobless.
  18. J

    Mvua za masika zimeanza?

    Mvua zinazonyesha kuanzia juzi sijazielewa sawasawa kama ni zile za palizi ya kwanza au ndio masika yenyewe? Wataalamu wa kilimo msaada Tafadhali nyakati hizi za mabadiliko ya tabia nchi. Mungu wa mbinguni awabariki.
Back
Top Bottom