WanaJF Kwa mda mrefu sasa kuelekea utungaji wa katiba mpya kumekuwa na mjadala mkali kuhusu muungano wetu uwe wa muundo upi sasa ningependekeza tuwe na kura ya maoni hapa JF kuhusu muundo wa...
Wanabodi ninakerwa na jambo hili naomba tujadili. Hivi serikali ni nani? Nilidhani ni wananchi ambao wanawakilishwa na Bunge?
Kutokana na majadiliano yanayoendelea bungeni kuhusu mikataba ambayo...
Ni nani alikuwa anaongoza vikao vya Katiba? Sasa Katiba Mpya iko wapi?
Amekuwa ineffective kama Anna Makinda. Fujo kidogo tu za John Mnyika na Halima Mdee zonakwamisha Bunge.
Kule Afrika Kusini...
Asilimia kubwa ya Wananchi wa Tanzania wanataka Katiba Mpya. kabla ya uchaguzi mkuu 2025. Mimi sijaelewa kuna tatizo gani kuhusu Katiba Mpya.
Suala la elimu kwanza kwangu siyo kupaumbel changu...
Rais Samia ulionywa sana kuhusu huyu mtu mtafuta madili ya kujaza tumbo lake badala ya kuhudumia wananchi, kiko wapi sasa?
Kwa miaka 3 hamna alichokamilisha hata kimoja zaidi ya ngonjera tu za...
Taarifa nilizozipata muda huu ni kuwa Waandishi wa habari wameitwa Ikulu na Katibu Mkuu Kiongozi lengo ni kuwaonyesha Hati Ya Muungano na kukata mzizi wa Fitina Kwa wajumbe wa bunge la Katiba...
Baada ya mh. Wassira kutoa kauli na kuwahakikishia watanzania kuwa hati ya muungano ipo na ataiwasilisha ndani ya siku mbili.
Taarifa zenye uhakika kabisa kuwa hati imeshawasili Dodoma kwa maana...
Wakati akichangia hoja za Kamati za Bunge Maalumu namba moja hadi 12, juu ya Sura ya Kwanza na Sura ya Sita ya Rasimu ya Katiba, Zitto Kabwe alisema wajumbe hawako Bungeni kwa ajili ya...
Kwa wasomaji wapya, leo ni muendelezo wa sehemu ya pili ya somo la Ijue Katiba ya JMT kwa jicho la mtunga katiba. Sehemu ya kwanza wiki iliyopita ilitambulisha katiba ni nini, ni ya nani na ya...
Wakati madai ya upatikanaji wa Katiba Mpya uliposhika kasi vyama tofauti vilitoa mapendekezo ya Nini kifanyike ikiwa nafasi ya upatikanaji wa Katiba hiyo Kabla ya Uchaguzi wa SERIKALI za Mitaa...
Baada ya Sakata la DPW upepo wa siasa umebadilika sana ni dhahiri mama kashagundua alikuwa amezungukwa na ukoo wa panya.
Hii pangua pangua. Weka ma meja general kaanza kurudi kwa mtangulizi wake...
Mapitio ya Awali: Katiba ni waraka muhimu katika kusimamia utawala na kuelekeza maendeleo ya nchi. Tanzania, kama nchi nyingine, imekutana na mjadala wa kuandika katiba mpya, na hoja mbalimbali...
Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko na teuzi za sura mpya kwenye baraza la mawaziri. Uapisho utafanyika September 1, Ikulu ndogo Zanzibar saa tano kamili asubuhi.
1. Rais Samia Suluhu Hassan...
Nani atalitendea haki jiji hili ambalo kila siku linarudi nyuma badala ya kwenda mbele, wananchi wa jiji hili waliamini kwamba kumchagua Tulia kungeleta nafuu barabara zingejengwa ikiwepo hii...
Amini usiamini hao wahuni wataishia kupiga mkelele na hakuna kitu itatendeka .
Walikuwa wapi hadi pesa yote hiyo inapotea. Wezi wengine ni miongoni mwao.
Wanajaribu kutuhadaaa eti waanauchungu...
Wanabodi,
When you are poor, you are just poor!, nikimaanisha ukiwa maskini, wewe ni maskini tuu, unaweza kujikuta unaishi kwa unyonge kutokana na hali yako ya umasikini!. Lakini ukijikubali kuwa...
Mungu huwa anatufunulia wale ambao tusingeweza kuwatambua kwa macho na fahamu zetu,Mungu uwa analeta dhoruba kwenye kujiokoa watu wanavua ngozi zao za kondoo na kuwa mbwa mwitu.
Huwezi amini...
Wana jukwaa nawasalimu. Mimi nimoja kati ya wengi walio shtushwa na tukio la kuteuliwa kwa naibu waziri mkuu mheshimiwa Dr. Dotto Biteko, bila shaka panapofuka moshi hapakosi moto. Kuna jambo...
Huwezi kuzuia mafuriko kwa mkono. CCM imefunga watu wengi kisa kukoslewa.
Anza na yule dawa wa chato, Ney wa mtegp, Sifa na sasa huyu hapa mwamba...
Je naye watamfunga?. Mabadiliko yanakuja COM...
Bunge Maalum la katiba linaendelea muda huu na leo wajumbe wataendelea kujadili sura ya kwanza na sita ya rasimu mpya ya katiba.
Mh. Sereweji
kutoka Zanzibar anasema kuwa muundo wa serikali...
Iko hivi! Rais na chama chake wamepiga matukio mengi ambayo Raia wangeakua wanatambua haki zao kikatiba CCM ingeweza kuwa historia hivi tunavyo ongea.
Kwa uchache
. 1 ufisadi mkubwa awamu...