vyama

 1. MakinikiA

  Kuelekea kuapishwa Biden kuwa Rais wa Marekani raia na askari hawatambuliki wote wamebeba silaha

  Vikosi vya usalama viko nje ya majengo mbalimbali ya serikali Vikundi vidogo vya waandamanaji - baadhi yao wakiwa na silaha - wamekusanyika nje ya majengo ya serikali ya Marekani, ambapo kuna mvutano mkubwa baada ya jengo la Capitol Hill kuvamiwa huko Washington. Maandamano yanafanyika katika...
 2. Jidu La Mabambasi

  Upinzani ndani ya CCM waweza kuwa mgumu kuliko vyama vya upinzani

  Tumefika mahali sasa CCM tuongoze nchi bila figisu. Si tulishinda uchaguzi, shehmu nyingine tena bila kupingwa. Tuna Bunge sasa CCM ndio tupo wengi Bungeni toka kuanza siasa za vyama vingi. Lakini sasa tujihadhari mambo mawili au matatu. Maoni ya wananchi kuhusiana kero hayategemei chama...
 3. S

  Vyama vya Upinzani acheni kukimbilia Vyombo vya Habari

  Yaani sasa imekuwa kawaida jambo dogo mnakimbilia vyombo vya habari, tuambieni jambo moja mliloliendea kwenye vyombo vya habari na kuwaletea faida, moja tu. Siasa sio kwenye vyombo vya habari kama hamuwezi kufanya siasa acheni kuwajingisha Wananchi. Kama kuna faida basi wakulima wangalienda...
 4. Jon Stephano

  Trump ataanzisha chama chake na ndio mwisho wa vyama viwili vyenye nguvu Marekani

  Mzuka wanajamvi! Donald Trump ataanzisha chama chake. Kitakuwa na nguvu sana na wafuasi wengi sana na wengi watakihama republican na kujiunga nacho. Kwa mara ya kwanza utakuwa mwisho wa vyama viwili Marekani Republicans na Democrats kiwa na nguvu pekee yao. Uchaguzi wa 2024 Marekani utakuwa...
 5. J

  Tunaingia 2021 tukiwa tumebaki na vyama viwili vya upinzani wa kweli Chadema na Chauma!

  Na huo ndio ukweli mchungu. Pamoja na tofauti za kiitikadi bado naiona Chadema ikiwa imara hata kama ina mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa. Kimsingi mbunge mmoja wa kuchaguliwa ni bora kuliko wabunge 100 waliopita bila kupingwa, na hii ni kanuni ya kiisrael kwamba kiongozi mmoja wa kuchaguliwa ni...
 6. Idugunde

  Ipo siku Watanzania tutaandamana kudai mfumo wa vyama vingi ufutwe

  Hatuoni umuhimu wa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania. Ni matapeli wa kisiasa tu ambao wapo kwa ajili ya kupiga madili na kujaza vitambi. Watanzania ipo siku tutaandamana na kudai demokrasia ya chama kimoja ambayo huko nyuma ilitunufaisha. Wakati wa chama kimoja, tulisoma bure msingi hadi...
 7. G Sam

  TAKUKURU sasa yasema inaanza kuchunguza Vyama vya Siasa kuhusu fedha za mfuko wa jimbo

  Najua kuwa mlengwa mkuu ameshajulikana na hapa Lema alicheza kama Pele. Ilikuwa ni suala la muda tu kwa wabunge waliopita wa CHADEMA kuanza kukumbwa na mshike mshike wa fedha za mfuko wa jimbo. Kama mlikuwa hamjui basi hii ndiyo sababu kubwa ya wao kuangushwa na mamlaka huko majimboni...
 8. J

  CHADEMA na ACT-Wazalendo wametuonesha Umuhimu wa ile sheria ya Ushirikiano wa vyama wakati wa Uchaguzi

  Kwa sasa kuna kutoaminiana kati ya vyama shirika katika uchaguzi mkuu wa 2020 nikimaanisha CHADEMA na ACT-Wazalendo. Kila kimoja kinalaumu kingine kwa maamuzi wanayochukua baada ya kufeli katika uchaguzi mkuu. Sheria ya ushirikiano wa vyama vya siasa inataka pawepo mkataba wa kisheria...
 9. M

  Mchungaji Msigwa asema: Bila kusimamia misingi (principles) vyama vinakosa uhalali wa kuwepo

  Akiongea na Darmpya, mchungaji Msigwa amekosoa vikali hatua ya Maalim Seif na Zitto Kabwe kujiunga na serikali ya umoja wa kitaifa huko Zanzibar, Mchungaji Msigwa amekiita kitendo hicho kama ni flipfloping. Amesema ni kuwachanganya wananchi kutoa misimamo inayokinzana katika jambo lilelile. Kwa...
 10. J

  Siasa za Upinzani ni kwa ajili ya kutafuta vyeo wakikosa vyama husambaratika ngoja tuwaone Chadema!

  Siasa za upinzani hapa Tanzania zimejikita katika watu kujitafutia madaraka, vyeo na ajira binafsi. Ngoja tuwaone Chadema watafika wapi baada ya wanachama wake maarufu wote kupoteza ubunge na udiwani. Nawatakia Sabato yenye baraka. Maendeleo hayana vyama!
 11. mwanamwana

  Humphrey Polepole: Natoa rai kwa vyama vya siasa kuheshimu nafasi wanazopewa Wanawake

 12. M

  Shairi: Aikael Mbowe, Freeman Mwamba wa Tanzania

  Ameunguruma Simba, Nchi imetetemeka Manyang'au yamevimba, Aibu imewashika Yalijiona miamba, Ile isiyovunjika Hongera sana Mbowe, Wewe ni mtu makini Hawa watu waonevu, Ni watu waso na soni Matendo yao uovu, Na ghiliba za shetani Mipango yao mibovu, Kaivunja Freemani Hongera sana Mbowe, Wewe ni...
 13. M

  Hivi kwanini Wabunge wa Vyama vya Upinzani wasiwe na kinga ya kubaki Bungeni kama sisi watu wa Kanisa kwani tunafanana sana kwa mambo mengi?

  Kwa upande wa kanisa kunavituko vingi sana vya ajabu makanisani lakini hakuna mahara pa kusemea kwa sisi waumini labda kubadilisha kanisa lakini kwa wanasiasa na taifa kwa ujumla kila baada ya miaka 5 kuna sehemu ya kusemea hivi kwanini na hawa wanasiasa wa upinzani nao wapewe kinga kama ya...
 14. YEHODAYA

  Uchaguzi 2020 Slogan ya Hapa kazi tu ni bora kuliko za vyama vingine ni rahisi kuielewa na ilisaidia CCM kushinda

  Ili kushinda uchaguzi slogan huwa pia na mchango mkubwa Slogan mfano us ACT wazaledo ya Kazi na Bata ilikuwa hata haileweki inalenga nani Mkulima,mfanyabiashara,machinga ,wavuvi,, wafugaji, au wafanyakazi? Ukiingalia ililenga wafanyakazi wa serikali tu ambao idadi yao ni laki nne tu sio jamii...
 15. M

  Historia imejirudia! 20% walitaka vyama vingi na 80% walitaka chama kimoja

  Yaliyotokea sasa katika uchaguzi huu mkuu wa 2020 ni kujirudia kwa historia hasa hile tume ya Nyalali ambayo ilipita nchi nzima wakati wa utawala wa Aliy Mwinyi Junia na kurudi na hayo mapendekezo ya 20% kwa 80% aproksimetili. Watanzania wanatabia tofauti na watu wowote wa bara la Afria huwa...
 16. J

  Kassim Majaliwa: Navishukuru vyama rafiki CHADEMA, CUF na ACT Wazalendo kwa kunipigia kura ya " Ndiyo" niwe Waziri mkuu!

  Waziri Mkuu mh Kassim Majaliwa amewashukuru wabunge wa vyama rafiki Chadema, Cuf na ACT wazalendo kwa kumpigia kura za "ndio" kwenye ushindi wake wa 100% wa kumthibitisha kushika wadhifa huo. Mh Majaliwa amesema maendeleo hayana chama hivyo atashirikiana na wabunge wote bila kujali itikadi...
 17. Replica

  Spika Ndugai aumizwa na chama cha siasa kutoleta Wabunge wa Viti Maalum, adai zingekuwa nafasi za wanaume wangelishafika

  Mapema leo spika Bunge, Job Ndugai alizielezea kamati za bunge na kusema wataziunda bunge lijalo kwa sababu serikali itakuwa imeshatengenezwa, pia akaongelea vyama ambavyo bado havijaleta wabunge japo wana fursa hizo hasa wabunge wa viti maalum ambapo makundi yaliyo bado ni matatu, mengine...
 18. Q

  Zanzibar 2020 Rais Hussein Mwinyi: Niko tayari kufanya maridhiano na vyama vingine

  HABARI: Ninaheshimu maridhiano na matakwa ya Katiba ya kushirikiana na vyama vingine vya siasa katika kuendesha Serikali. Niko tayari kuyatekeleza maridhano kama Katiba ya Zanizbar inavyoeleza - Dk. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar #MwanaHALISIDigital. ===================== KUMBUKUMBU...
 19. Mwanamayu

  Akitoa hotuba wakati wa kuapishwa Dkt Magufuli. Je, mtazamo wa Museveni unahakisi ule wa wengi wa Marais wa Afrika juu ya demokrasia ya vyama vingi?

  Nimejaribu kumsikiliza Rais Museveni wa Uganda wakati wa kuapishwa kwa Rais Dr Magufuli ili kuelewa anasema nini hasa. Nakubaliana nae juu ya mambo manne aliyoyasema- liberation, prosperity, strategic security na brotherhood. Ingawaje hiyo strategic security sikuielewa vizuri. Pia alisema kuwa...
 20. Pascal Mayalla

  Je, wajua Vyama vya Siasa TZ ni Public Parties? Maamuzi yake lazima yazingatie Public Interest na siyo kufuata ujinga na ubinafsi wa viongozi insane!

  Wanabodi, JF ni ukumbi huru wa kuhabarishana, kuelimishana, kuburudishana, na kitu kikubwa zaidi, kusaidiana. Kama kuna kitu unakijua, na unaona kinafanyika ndivyo sivyo, unajitolea kusaidia, na hiki ndicho ninachofanya hapa, kwa kuendelea na zile makala zangu elimishi kuhusu Maslahi ya Taifa...
Top Bottom