Kuna malalamiko kuhusu baadhi ya watumishi wa Kituo cha Afya Mbandе, kilichopo Wilaya ya Kongwa, Dodoma, kutembea na dawa kwenye mabegi na kuwalazimisha wagonjwa kuzinunua.
Aidha, watumishi hao wanawajibu wagonjwa kwa lugha isiyo ya staha wanapouliza kuhusu upatikanaji wa dawa, wakiwaeleza kuwa...
Anonymous
Thread
afya
dawa
dodoma
kituokituo cha afya
kongwa
mabegi
uozo
wagonjwa
wake
watumishi
wilaya
wilaya ya kongwa
SERENGETI. Tanzania na Ujerumani leo wamezindua rasmi Kituo kipya cha Taarifa cha Serengeti baada ya kukarabatiwa, hatua inayolenga kuimarisha ushirikiano wa muda mrefu kati ya nchi hizo katika uhifadhi wa bayoanuwai, utalii endelevu na maendeleo ya jamii zinazozunguka Hifadhi ya Taifa ya...
Jumamosi, katika eneo la Manzese, karibu na kibanda changu cha chipsi, kulitokea tukio ambalo lilitutia wasiwasi sisi tuliokuwa eneo hilo.
Kulikuwa na bodaboda mmoja aliyesimamishwa na watu waliokuwa kwenye gari aina ya Noah. Mwanzoni, sisi tuliokuwa pale kijiweni hatukuhisi kwamba kuna jambo...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, alivyowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) ambapo amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani IPU.
Mkutano huo unaofanyika leo Oktoba 5, 2026 jijini Arusha...
Tunashukuru uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza kwa kufika katika Kituo cha Afya Fumagila wiki iliyopita na kutoa maagizo kuhusu changamoto zilizokuwa zikilalamikiwa, hususan suala la utoaji na upokeaji wa fedha kwa wagonjwa.
Hata hivyo, baada ya viongozi hao kuondoka, hali inaonekana...
Anonymous
Thread
afya
control
control number
fedha
kituokituo cha afya
number
uchunguzi
wagonjwa
Kuna mzee jirani yetu siku nimeonesha mwanaharakati Mdude ametekwa na video ya ushahidi pia akasema ooh hakuna kitu kama hicho huyo mdude ni kijana mdogo sana hawezi kutekwa ni chadema tu wanatafuta umaarufu.
Ila kwa bahati mbaya, kipindi cha MO29 mwanae alipigwa risasi kwenye kibanda chake cha...
Septemba 22, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika “Kituo cha SGR Ruvu hakifanyi kazi kwa karibu ya mwaka sasa, ni lini TRC itakifungua?”
Katika maelezo yake Mdau aliendelea kueleza kuwa “TRC ituambie Kituo cha SGR Ruvu lini kitarejesha huduma ya kupandisha na kushusha abiria, kwa kuwa sasa...
TRC ituambie kituo cha SGR Ruvu lini kitarejesha huduma ya kupandisha na kushusha abiria, kwa kuwa sasa ni karibu mwaka mmoja tangu kituo hicho kisimamishe huduma.
Kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa, kituo cha SGR Ruvu hakipandishi wala kushusha abiria kufuatia ajali ya treni ya mchongoko iliyotokea...
please aliyeko Kituo jumuishi Temeke ie one sop centre temeke aliwekee acase law hii iliyohukumiwa na jaji Sarwat
Miscellaneous Civil Application No. 25152 of 2024 kati ya Aloys rwehabura vs Perfectus Ruteganya
Haipatijani TanzLii
Baada ya Mwananchi kuwasilisha hoja Mtandaoni kuhusu tatizo la maji kutitirika eneo la Gongo la Mboto, kituo cha magari yanayoenda mjini kinachoitwa Maliasili, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeshughulikia changamoto hiyo.
Mafundi wa DAWASA wamefika eneo la...
Hongereni sana TANESCO kwa uamuzi wenu wa kutekeleza ujenzi wa kituo hiki kwa kutumia wataalamu wa ndani baada ya changamoto zilizojitokeza katika utekelezaji wa mkataba na mkandarasi wa awali lakini pia niwapongeze na kazi mnayofanya. Ni nzuri. Ina standard na ubora-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu...
NB: Nina Akili Ndogo Sana
Kulikuwa na umuhimu gani wa kuwa na Vituo vikuu viwili (mabasi na teni) vyote vyene jina mtu mmoja ndani ya Jiji moja kubwa la Dar?? Vyote vinaitwa vituo vya Magufuli.
At least Kile cha bus Mbezi Luis kingeendelea kuitwa kituo cha Magufuli alafu hiki cha treni...
Katika eneo la Gongo la Mboto, kituo cha magari yanayoenda mjini kinachoitwa Maliasili, kuna yard ya magari ya mwendo kasi. Kumekuwa na tatizo la maji ya DAWASA kuvuja na kutiririka katika eneo hilo.
Maji hayo yameendelea kutiririka kwa takribani mwezi mmoja, huku yakielekea hadi eneo la...
Habari zilizonifikia , zinasema mwana mitandao na mfanyabiashara Mariam Uswazi anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Kati (Central), huku wadeni wake wakifika kituoni hapo kufuatilia hatma ya pesa zao.
Pia soma:
~ Wanawake wa Tanzania msipoachana na upatu mtaendelea kumlaumu Mariam Uswazi...
Ndugu Watanzania, kumekuwa na malalamiko kuhusu ukiukwaji wa haki za wajawazito kupata huduma za afya, ambapo baadhi yao wanalazimishwa kulipia vipimo ambavyo vinapaswa kutolewa bila malipo.
Vipimo vinavyodaiwa kulipishwa ni pamoja na:
Hemoglobin (HB) – kipimo cha kiwango cha damu.
ABO/Rh –...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 leo, tarehe 22 Agosti 2026, katika eneo la mradi lililopo Rufiji, mkoani Pwani.
Viongozi mbalimbali wameungana na Rais...
Kamwe haiwezekani tuishi au kufanya mambo yetu kienyeji au kama wanyama wa porini.
Kama tuliamua kufuata taratibu nzuri za kimagharibi tuzifuate kikamilifu na zile mbaya tuziache kikamilifu.
Zipo stand au bus stations nyingi zimejengwa nchini na zinaendelea kujengwa kwa kasi zikiwa na lengo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.