KITOVU CHA HIP HOP TANZANIA JIJI LA MWANZA.
Katika miaka ya 1990, Mwanza ilikuwa bado inajulikana rasmi kama Manispaa ya Mwanza, lakini ulikuwa ni mwongo wa dhahabu ulioweka msingi mkubwa wa mabadiliko ya kiuchumi na kijamii yaliyofanya mji huo kupandishwa hadhi na kuwa Jiji la pili nchini...
Halmashauri ya Jiji la Mwanza kushindwa kubadlisha jina la mmiliki wa kiwanja kwenye mfumo, Nilinunua nyumba Mwaka 2024 na kukamilisha taratibu zote za kuhamisha milki Julai, 2024.
Japokuwa kwenye hati linasomeka jina langu, Halmashauri ya Jiji la Mwanza wameshindwa kurekebisha taarifa zangu za...
Anonymous
Thread
ardhi
halmashauri
halmashauri ya jiji
hawataki
jijijijilamwanza
jina
kiwanja
kubadilisha
mfumo
mmiliki
mwanza
umiliki
umiliki wa ardhi
Kama umefika Mwanza, utaona changamoto kubwa ya uchafu, hasa kutokana na wingi wa taka za plastiki na taka nyingine zinazotapakaa katika maeneo mbalimbali ya jiji.
Mamlaka ya Jiji imeonekana kushindwa kuweka idadi ya kutosha ya mapipa ya taka katika maeneo muhimu, ikiwemo katikati ya jiji na...
Kama ulidhani Mwanza kuna mambo ya samaki tu, basi chukua na hii! Jiji la Mwanza limeingia kwenye kituko baada ya Mkurugenzi wa Halmashauri kutangaza usaili wa ghafla mnamo tarehe 27 kwa askari wote wa Jiji ili kubaini & "wasio na sifa."*
Hapo ndipo wakazi wa Mwanza na Viunga vyake waliposhika...
Mnaopeta na maji kila siku habari zenu?.
Tatizo la maji jijini Mwanza bado hali ni tete.Yaan nina miezi miwili sioni tone nyumbani kwangu.Baada ya Waziri Kuja Mwanza nilijua tunaenda kumpeleka ila ni kama hakuna kilichofanyika.Najiuliza maswali yafuatayo;
1.Ilikuwa siasa?
2.Timu iliyoundwa na...
Jiji la Mwanza licha ya kupewa upendeleo wakati wa JPM hadi kujengewa stand kubwa mbili za kimkakati ya Nyegezi (Nyamagana) na Nyamhongolo (Ilemela) lakini bado viongozi waliopewa kuongoza Jiji hilo wapo karne ya 18.
Bado ma bus yanaingia Mjini kabisa eneo linaitwa NATA na kupakilia abiria pale...
Habari Tanzania !
Nawaomba sana maana kumekuwa na changamoto kubwa sana ya Usafiri wa Umma Mkoa wa Mwanza.
Mwanza ya sasa sio ile ya zamani; maana kuna idadi kubwa sana ya watu na watu wanateseka kwa usafiri maana mwendo kasi vyombo vya usafiri ni mdogo na vyombo vingi ni chakavu sana.
Wenye...
Nakariri maneno ya Hayati Robert Nesta Berhane selasie Malery alisema katik Rat Race " I abudance of water the fool is thirsty".
Kwamba mji wa Mwanza ulioko pembezoni mwa Ziwa victoria, likisemwa la tatu kwa ukubwa duniani na ambalo linatiririsha maji yake kupitia Ethiopia, Sudan hadi Misri...
Ningependa kujifunza kuhusu watu wanaoishi milimani katika jiji la Mwanza.
Nini hupelekea watu masikini kwenda kujenga na kuishi juu ya hii milima ukizingatia Mwanza bado ina maeneo makubwa tambarare?
Materials na vifaa vya ujenzi huwa vinafikishwaje juu ya vilima ukizingatia kuwa havina...
Tulishuhudia ujenzi wa Reli ya SGR hapa Jijini Mwanza na kuelekea Isaka ukienda kwa kasi, ghafla ujenzi umesimama na hatujui ni kwa sababu gani.
Tunaiomba Mamlaka itueleze nini kimekwamisha ujenzi huu huku tukiaminishwa kuwa Mama amemwaga fedha nyingi au anaupiga mwingi?
Pia soma ~ Serikali...
Sijui ni viongozi wa MWAUWASA wanataka kumgombanisha mama na wananchi kwa makusudi au ni vipi.Yaani maji yanaweza kukosa mwezi mzima na viongozi wapo tu ofsini.
Wizara ya Maji chini ya AWESO em fatilia hili limekuwa kero inayojirudia mara kwa mara.Mama anamwaga fedha nyingi sana kwenye MAJI ila...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa uwekezaji mkubwa wa fedha katika sekta ya maji katika Jiji la Mwanza kwani miradi mingi inaendelea na ikikamilika changamoto ya maji itategemewa kubaki historia.
Waziri Aweso ameyasema hayo...
Watu wa Mara = Wajita, Wajaluo, Wakuria, Wazanaki, n.k.
Ni kwanini wahamiaji wengi wa fursa ni wa mkoa wa Mara kuzidi mkoa wa karibu wa Shinyanga, na Kagera ?
Ni kipi kinawapa Hamasa watu Mara kuondoka mkoa wao kuja Mwanza ?
Ni kwanini wenyeji wa Mwanza wana uwakilishi mdogo kwenye fursa za...
Kuna jambo ambalo ni mhimu na turufu kubwa sana katika nyanja ya kiuchumi, ni pamoja na kuwa na wanasiasa wenye ushawishi mkubwa, Arusha ilishajiweka vizuri sana kwenye eneo hili, Arusha inaongoza kwa kutoa Mawaziri wakuu nchini, hii ni nzuri kwao katika kuishawishi serikali kupeleka maendeleo...
Mimi ni mmoja wa Waandishi wa Habari wa hapa Mwanza, kero yangu ni kuhusu Mamlaka za Halmashauri za Jiji kutotupa ushirikiano baadhi ya Waandishi wa Habari tunapohitaji taarifa mbalimbali hasa hasa takwimu na zile zinazohusu miradi iliyotumia pesa kutoka Ofisi za Jiji.
Kumekuwa na danadana...
Wachumi njoo mnisaidie kitu hapa.
Mimi ni mtumishi kwenye shirika moja la maendeleo, na mshahara wangu ni Milioni 2 na laki 8 ila kutokana na sheria na taratibu za nchi ninatakiwa nilipe PAYE kiasi cha 668000, hapo ninabakiza kiasi cha 2,132,000 hivi kiasi ambacho bado ninahitakija kulipa bima...
Habari wakuu,
Katika Pitapita zangu Juzi nilibahatika kupita Jiji la Mwanza baada ya miaka mingi kupita, Ni wazi kwamba niliwahi kuishi Mwanza miaka kadhaa nyumba baada ya kutoka mkoani, Kusema kwel kwa Umri ule na kipindi kile kwa kuwa nilikuwa sielewi lolote kuhusu Jiji nilitokea kupapenda...
Mh.Rais atakuwepo jijini mwanza katika tamasha la kukuza mila za ziwa Viktoria ( BULABO) tamasha ilo litafanyika kisesa mwanza.
Nyote mnakaribishwa....
Mhasibu wa Idara ya Mapato ya Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Amon Joseph (41) amefariki dunia katika ajali ya gari akienda kwenye maziko ya baba mzazi wa mhasibu mwenzake, yaliyotarajiwa kufanyika leo wilayani Kwimba mkoani hapa.
Akizungumza na Mwananchi kwa simu Jumanne Juni 4, 2024, Kamanda...
Kama kuna aliyetuloga nchi hii basi tumtafute tufanye tambiko laana na uchawi utuepuke, nimefika stendi ya mabasi nyamhongolo nadiriki kusema tumelaaniwa yaani mazingira ya nje kuanzia barabarani hovyo kabisa.
Hivi nawauliza mliwaza nini kuacha mazingira yanakuwa ya hovyo kiasi hiki?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.