Habari Wana JF
Kwa maisha ya sasahivi ya vijana wakiume na utandawazi uliopo yanaelekea hatarini
Nakumbuka kipindi nakuaa nilipoanza form 3 katika kupigapiga story darasani ziliingia story za mahusiano ambazo zilianzishwa na kijana mmoja.
Inshort katika story hizo mada iliyobadilisha maisha...
Leo najisikia kuandika TU na kuwashauri vijana , ipo hivi mimi ni mwalimu na mfanyabiashara mzuri TU ( Mimi sio fala kwenye nchi hii) umri wangu ni 38, ni baba wa watoto watatu nawahudumia kwa kila kitu pamoja na hayo ni bachelor wa mda mrefu.
Miaka kama kumi na mbili nyuma niliapa sitaoa...
Nilikuwa nimemwelewa single mother flani yupo tunduma, so mara kazaa nilikuwa napita mtaani kwake karibu na ofisi yake anakojumlisha viazi .
Ukizingatia umri wangu umeenda soon naikuta 40, umri niliopanga kuoa ,nilitokea kuvutiwa na yule Binti ambaye age yake 25, basi nikaomba mahusiano ...
Kuna siku nilichaguliwa na Familia kwenda Mochari kuosha Mwili wa ndugu yangu, hakika ilikuwa kazi ilinipa wakati mgumu. Hata chumba cha Mochwari hakijafunguliwa lakini macho yashakuwa mekundu kwa machozi.
Ukienda kuosha maiti, ndo utajua hapa duniani sisi so chochote si lolote.
Ilinichukua...
Mwaka 2012 nikiwa kidato cha nne nilitumia likizo yangu mkoano mwanza ..Uko nilipata fursa ya kushiriki mashindano ya mpira wa miguu ya Jimbo cup yaliokua yakiandaliwa na mbunge wa ilemela kwa wakati ule ndugu Anthony dialo.
Tukiwa hatua ya nusu fainali wakati huo Mimi nikichezea timu inaitwa...
Siku kadhaa zimepita niliona jambo akili yangu ikawaza sanaaa. Je wajua jambo gani tiririka na uzi huu mwenetu.
Bongo Dar es Salaam Jiji la watu wapatao milioni 6 na ushee wakubwa kwa wadogo lakini wote wakubwa. Jiji maarufu la vyakula vitatu wali, chips na ugali.
Jiji lenye vyanzo...
Hamjambo wote¡
Katika moja ya andiko moja lililopatikana katika falsafa za kitibeli lililosema:
"Mfalme huamini kuwa anaitawala dunia. Lakini mara nyingi dunia hutawaliwa na watu ambao mfalme hawajui hata majina yao."
Historia imejaa mifano ya watu waliovaa taji huku wakidhani wao ndio wenye...
Je, ni kawaida kwa mwanamke mwenye ujauzito kuwa anatapika frequently kiasi kwamba hakuna chochote anachoweza kula iwe ni maji ama chakula ni lazima atapike?
NI ujauzito wake wa kwanza.📌
dawa zote alizopewa siku ya kuanza clinic hazimezwi sababu ya kutapika.
Sijachanganyikiwa lakini nimefikiria TU maana sielewi kuishi ni bahati au Kuna Nini.
Mbona Toka kuzaliwa kwangu nimezika na kusikia misiba mingi.
Je? Kuishi ni bahati TU.
Maana kama mabasi nimepanda Sana pikipiki boti kutembea Kwa miguu barabarani kuogelea nk.
Kwanini Bado naishi?
Audi leo wamezindua hybrid supercar, ikiwa inspired na “magari” ya Formula 1, wakaiita Nuvolari, na hii imekuja kumreplace Audi R8.
Hii ni supercar ya kwanza hybrid kutoka Audi, inakuja na top speed ya 350 km/h, acceleration kutoka 0-100 kwa sekunde 2.6 na 0-200 kwa 6.8 seconds.
Kwakua ni...
Hivi Kombo anatuchukulia sisi watani zake eeeeh? :BearLaugh::BearLaugh: Halafu hapo hapo anakwambia tumewaalika Maseneta waje wahakikishe kama hatuuani kidini! Sasa kama walielewa somo kwanini mmewaalika?
Halafu hivi Maseneta walisema nchini kuna vita ya kidini? Serikali kuambiwa mnakandimiza...
Salama.
Jamani sasa hivi kwenye miji iliyochangamka mabinti kujitunza imekua uongo kabisa .
U can't imagine mabinti wadogo mtoto ana mzaa mtoto ,watoto wadogo wa kike wanakunywa pombe kali ni kama akili imestuck ,wanavuta Sitara na shisha sasa najiuliza ! Mtoto anamleaje ? Will she be a good...
a. hakikisha unanunua spark plugs original kwa ajili ya aina ya gari lako, kila gari ina spark plugs zake zimetofautiana joto, urefu, n.k. kama unatumia Toyota nenda kwa dealers wao wakupe aina ya pluga inayofaa kwa gari yako, plug moja inaweza kuwa ni elf 60 ila zinapiga kazi kwa kilometa laki...
Hii ni moja ya operation iliyowahi kufeli chini ya masaa 48
Ilianzishwa na rais Trump na kuipublish kwenye mtandao wa jamii lakini kama kawaida yake chini ya masaa 48 kaacha ndala mwenyewe Hormuz.
My Take
Mwanaume andaa sehemu ya kwenda kuishi na kushinda baada ya kustaafu Ili walau ufurahie pension vinginevyo utawafurahisha wengine.
Usisahau kufanya vitu vidogo vidogo Kwa Watoto achana na mda mwingi kutumia Kwa Mke maana ukiistaafu hana mda na wewe na hawanaga fadhila hasa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.