diamond

 1. Burnaboy

  Somo kutoka kwa Davido na Wizkid: Bifu zina mchango gani kwenye kukuza au kuua wasanii?

  Jana nimemsikia presenta mmoja wa radio maarufu akidai kwamba "wasanii wa Nigeria wanaendelea sababu wana UMOJA, hawana ma-bifu". Hata wasanii wanaoheshimika bongo wamekua wakitoa hii hoja. Je, ni kweli wasanii wa Nigeria wana UMOJA? (kwa kuangalia mfano wa Davido na Wizkid).Je, bifu zina faida...
 2. aka2030

  Kila anayefanya mahojiano wasafi fm/tv kwanini aulizwe kuhusu Diamond?

  Sijajua ni woga wa watangazaji ama mbinu za kumfanya aendelee Kuwa vinywani Mwa watu?ooh unamuongeleaje diamond? Vipi mchango wa diamond kwenye mziki? Unaonaje anavyowakilisha kimataifa? Waacheni huru wanaohojiwa
 3. YonDu Udonta

  Diamond Platnumz aweka wazi ratiba yake ya 'show' kwa nusu mwaka 2020

  Hii ni kutoka kwenye ukurasa wake wa Instagram. MY TAKE: Huyu jamaa kwa sasa hivi wamuache asifananishwe na mtu mwingine kabisa. Pia, Watanzania tuungane kumpa support ya kutosha maana anatutangaza kimataifa.
 4. K

  Diamond na Harmonize chukueni tahadhari kabla ya maafa

  Ndg zangu amani iwe kwenu! Kwanza sipendi sana kuzungumzia mambo ya wasanii sana maana kwangu mimi mziki ninaoufagilia ni miziki ya zamani. Na wimbo wangu bora kabisa ni wa mzee marehemu Moses fan fan unaoitwa Papa lolo. Lakini kama mtanzania naomba niwape vijana wenzangu hawa tahadhari kwa...
 5. Slowly

  Video: Baraka The Prince adai Alli Kiba ni level ya Best Naso na sio Diamond Platnumz

  Baracka the Prince ametamka hayo wakat akihojiwa na kituo fulan, amesema Kwa sasa ni kumkosea heshima Diamond kumfananisha na Ally Kiba , na hvyo Ally Kiba anatakiwa afananishwe na Best naso , video sekunde 38 waweza Ichek
 6. TODAYS

  Diamond kuanzisha Academy ya mpira wa miguu

  Mwanamuziki supa star nchini, Nasib Abdul (Diamond Platnumz) amefunguka kuwa atakutana na mshambuliaji wa zamani wa Barcelona Samweli Etoofu kuanzisha taaluma ya mpira wa miguu nchini. Akiongea jijini Dar es salaam mara baada ya kufika akitokea Misri, Diamond, anayefahamika kama Simba, alisema...
 7. Machozi ya Simba

  Man Water: Ali Kiba hajanilipa, kaenda kurudia nyimbo tulizofanya kwingine

  Man Water ni miongoni mwa ma producer hodari aliewatoa wasanii wengi kama kina 20% ila baada ya kutoelewana 20% akapotea. Katika mahojiano na Azam TV, amesema kuwa kuna nyimbo kadhaa alizofanya na msanii Ali Kiba lakini hawajazirelease kwa sababu hazijalipiwa. Anasema kuwa licha ya kwamba...
 8. I

  Diamond Platnumz interview with Sports Arena (Exclusive)

  Msanii nguli wa kimataifa diamond platnumz a.k.a baba lao and CEO wa WASAFI MEDIA akihojiwa na sports arena baada ya kurudi kutoka misri kwenye tuzo za CAF mahojiano Kama ifuatavyo Mtangazaji: kwanii una connection nyingi za kufanya show kubwa Diamond:Africa Kuna wasanii wengi Sana na niwazuri...
 9. Machozi ya Simba

  Ni cheche: Diamond atuwakilisha vilivyo katika hafla ya tuzo za FIFA Misri

  Kijana wetu Diamond Platnumz a.k.a Michael jackson wa Africa kaanza vzr na mwaka 2020,event kubwa sana ya utoaji tuzo za fifa kwa bara la africa, Kijana alipofika tu kwenye shughuli nje ya jengo hakuwa tofauti na ronaldo, watu wengi sana viongozi wa fifa na wachezaji maarufu walipanga foleni...
 10. joseph1989

  Diamond Platnumz achaguliwa kutumbuiza katika Tuzo za CAF na Tuzo za Kituo cha Nigeria Sound City

  Diamond ana perform ktk hizi tuzo za CAF kwa mara ya tatu. ---------------------------- Diamond Platnumz aki-perform kwenye CAF
 11. Burnaboy

  Diamond sasa ni kubadili mafanikio kuwa hela

  Diamond amefanya vizuri 2019 hakuna ubishi. Amefanya shows za mafanikio na ameangaliwa zaidi kwenye You Tube kuliko msaanii mwingine yeyote Afrika!!! Wasanii wa West na South Afrika ambao Mondi kawazidi wanamiliki ukwasi mkubwa, majumba, ndege binafsi....!!! Sasa kilichobaki ni kubadili...
 12. Sijuti

  Kumlinganisha Diamond Platnumz na Ali Kiba ni kumkosea nidhamu

  Nimekuwa nikisikia mara kadhaa mijadala ya vijana wakijaribu kumlinganisha Diamond Platnumz na Ali Kiba, nionavyo mimi kwa mahali alipofika Diamond, hakuna msanii wa kulinganisha naye kwa hapa nchini. Ali Kiba ni msanii mzuri kwamaana ya talent lakini level zake ni akina Harmonize tena...
 13. USSR

  Rais Magufuli ampigia simu Diamond akiwa jukwaani, Diamond amuhakikishia ushindi 2020

  Hii imetokea usiku wa kuamkia leo, mkesha wa mwaka mpya wa 2020 baada ya Rais kumpigia simu akiwa jukwaani na kumpongeza Diamond. Diamond amemhakikishia ushindi wa kishindo 2020 kwenye uchaguzi mkuu October. Hii inaitwa double target kwa wale waliopitia courses za strategies kama mimi from...
 14. KITEGO

  Diamond na Harmonize wanatuzuga hawajatengana, show zao zina utata

  HABARI ZA KAZI WAKUU, Napenda kutumia muda huu kujadili kuhusu muziki wetu kwa sasa, mahali ulipotoka na unapoelekea... Awli ya yote tuwapongeze wasanii wetu baadhi wanaopeperusha bendera kimataifa. Wengi najua tunajua habari kubwa zilizotikisa kiburudani katika kufunga mwaka ni kuhusu tamasha...
 15. I

  Stage ya miaka 10 ya Diamond no Kali ile mbaya

  Nipo hapa naangalia show ya miaka 10 ya diamond platnumz kupitia WASAFI TV duh hii stage si ya mchezo imetengenezwa Kama ghorofa fulani hiv mc anakaa juu ya hiyo ghorofa alafu anatambulisha wasanii alafu wasanii wapo ndani ya hiyo ghorofa. Nimependa Sana Huu ubunifu big up to him na waandaji...
 16. Maboso

  Miaka 10 ya Diamond ni tishio, stage ya kimataifa yashushwa katika viwanja vya Lake Tanganyika

  Katika kuthibitisha kuwa habahatishi kazi zake, Diamond kaweka stage ya hali ya juu kuelekea show yake ya leo.
 17. mludego

  Diamond huenda Kigoma kwa nani?

  Huyu jamaa ameenda Kigoma kwa 10 yrs yake kuanzimisha, Hivi huko pia ni asili ya baba yake. My take kama babu yupo hai amchimbe mkwala kuwa kwanza akapatane na mwanae kisha ndio amtambue kama.mjukuu,ila pesa sasa ndio tatizo
 18. I

  Msanii wa Marekani Neyo aguswa na mapokezi makubwa ya diamond kigoma nakumpa cheo Cha uking mond

  Baada ya diamond kupost mapokezi aliyopata kigoma msanii legend wa Marekani Neyo na mshindi wa tuzo ya Grammy akakoment nakusema A king period.comment hiyo imewafurahisha watu wengi ikiwemo professor Jay, ecejay na mastaa wengine
Top