ushauri

 1. S

  USHAURI WA NAMNA BORA YA KUWEKA MAJIJI YETU SAFI

  Naandika haya nikiwa katika Jiji la Dar es salaam, moja ya sehemu chafu kimazingira katika nchi yetu. Najaribu kuwaza uhusiano uliopo kati ya umaskini na uchafu lakini bado sijaona sababu ya msingi ya umaskini wetu kutufanya tuishi katika mazingira machafu. Nimwaza njia zifuatazo zinaweza...
 2. THE LOST

  USHAURI: Shirika la reli uzeni mali zote ambazo hazitumiki mathalani Vyuma chakavu

  Nimepita maeneo mbalimbali nimejionea namna shirika la reli limekuwa likitunza mavyuma chakavu kama mabehewa mataruma na makaravati ambayo yamechakaa. Hivyo nashauri mali hizo ziuzwe kama malighafi kwa viwanda vyetu vya ndani vya kutengeneza material ya chuma (steal industry) ili tuweze kupata...
 3. Pascal Mayalla

  Ushauri kwa DPP: Kutekeleza nia njema ya Rais Samia, kuona Haki ikitendeka; je, tumchagize DPP kutumia Nolle kufuta kesi zote zinazosuasua?

  Wanabodi, Jumatatu ya leo, naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zinachapishwa kwenye gazeti la Nipashe kila siku za Jumapili, makala ya leo ni swali la ushauri wa Bure kwa DPP, kwa vile Rais Samia, ameishaonyesha nia njema ya kutaka Watanzania watendewe haki, Jee...
 4. S

  BOT kushusha riba za mikopo ni mpaka waagizwe ili hali wao ndio wataalam wa kushauri zishuke?

  Suala la kushusha riba nchi hii linaonekana kufanyika kutokana na maagizo ya wanasiasa (liko kisiasa) na si Benki Kuu kama wataalamu kushauri au kushusha riba kwa mabenki ili nayo yashushe riba kwa wananchi. Kwa mfano, leo Mama kaagiza Benki Kuu kuhakikisha mabenki yanashusha riba kufika chini...
 5. Fohadi

  BARUA YA WAZI KWA Mr. Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer

  Ni muda mrefu sana huyu jamaa nimekuwa namfatilia huyu jamaa..Anaandika vitu vingi some are logical na mengine are not logical...Hapa simlaumu maana kila mtu ana uhuru wa kuandika anachojisikia as long as havunji sheria za JF. Tatizo kubwa la huyu ndugu yetu ni kuamini kila anachokifahamu yeye...
 6. Darucha

  Amepata matatizo ya usikivu, anataka kuhama chuo kusomea ualimu wa 'special needs'. Je, inawezekana?

  Jamani na rafiki yangu ambaye anasoma chuo jirani na Mimi hapa Arusha yeye ilibidi aingie mwaka wa pili lakini lakini Kuna shida ilimpata ya masikio yaani kwamba masikio yaliacha kusikia miaka ya nyuma ilimtokea hii Hali na wazazi wake walikuwa wanajua lakini alivyoenda chuo Hali ikawa mbaya...
 7. H

  Nahitaji ushauri maeneo yapi mkoa wa Dar es Salaam naweza pata chumba kizuri masters kwa bei poa?

  Naombeni mnisaidie ni maeneo yepi ktk mkoa wa Dar naweza pata chumba kizuri cha masters kwa bei nzuri ya kizalendo or n maeneo yepi dsm unaweza mshauri mtu akapange chumba na kuanza maisha.
 8. D

  Ushauri: TANESCO wapeni kipaumbele kwanza waliolipia Tsh 300,000 waishe kabla ya kuanza kufungia LUKU wale wa Tsh. 27,000/=

  Nashukuru bei ya kuingiza umeme imeshuka hadi elfu 27000/= mijini na vijijini kwa sasa. Kesho naenda kuomba luku 10 kwa mpigo kila mpangaji awe na yake. Lakini inasimuliwa wako watu waliolipia bei ya laki tatu ambao hawajawekewa Luku hadi sasa. Kutokana na ongezeko la mahitaji kwa wateja wapya...
 9. C

  Ushauri kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na tume ya chanjo ya Covid-19

  Modes, naomba msiunganishe huu uzi na zingine kwa sababu una maudhui tofauti na unatakiwa ubaki kama ulivyo ili wasomaji waelewe. Mnaweza kufunga comments kwa kuwa hauihtaji ushabiki wowote zaidi ya kuelewa kilichomo. I am comming with the text. Tuanze na hawa watoto wakifurahia nchi yao, na...
 10. TheDreamer Thebeliever

  Ushauri: Serikali ijenge Mall eneo lililobaki baada ya ujenzi wa Stendi ya Kijichi

  Habari wadau! Jana nilipata nafasi ya kwenda wilaya ya Temeke kupiga misele baada ya jamaa yangu kuniomba nimtembelee nikapafahamu anapoishi kule Mtoni Kijichi Temeke. Binafsi kutokana na taaluma yangu ya uhandisi ni mpenzi sana wa ubunifu wa kihandisi ,hivyo jamaa yangu aliniomba anitembeze...
 11. N

  Ushauri wenu juu ya kozi hii ya kijana wangu!

  Amechaguliwa kwenda kusomea kozi ya performing and visual arts (bado siajajua kama ni certificate au diploma. Mzazi mimi sina uelewa wowote wa masuala ya elimu, achilia mbali habari za vyuo na makozi yake. Kwa kozi kama hiyo, wadau naomba mnijuze na kunishauri; itamfanya awe nani? Msaada wake...
 12. JourneyMan

  Ushauri: Naweza msafirisha Mjamzito wa miezi 7?

  Naomba ushauri kwa wazoefu, wataalamu, wajuzi n.k Amebakiza miezi 2 kwa makadirio. Ni safari ya almost 8Hrs, kutoka Dar kwenda mkoani. Tayari nipo out of time, safari hio ni either kesho/keshokutwa or never. Kama inawezekana, nini vya kuzingatia? NOTE: ni kwa njia ya Public transport/Bus.
 13. kibhojela

  Naombeni Ushauri: Mke amenishtaki kuwa nimempiga

  Siku chache zilizopita tuligombana na wife wote tuliumia, lakini baadaye akaenda police kunishtaki kuwa nimempiga na jalada lipo Polisi. Naombeni ushauri kukiepuka kikombe hiki. Baada ya kugombana Mimi ndo nilimtibu na baadae wazazi wangu wakaja kumchukua ili atulie kidogo lakini akatoroka hom...
 14. Eyume Dedu

  Nifanye nini ili niongeze kipato changu?. Kwa sasa nipo nje ya nchi

  Habari. Naombeni ushauri nifanye nini niko nje ya nchi nafanya kazi kiukweli nashindwa kutegemea mshahara kwa sababu unakua na kiwango cha ukomo naona kama unanilimit kufanya mamb yangu na sihitaji kukaa nje muda mrefu nataka kurudi nyumbani within miaka mi2. Nataka nipate kitu cha kufanya...
 15. Synthesizer

  Ushauri kwa Balozi Mulamula: Mkitaka Tanzania ifaidike na Diaspora suala la uraia pacha haliepukiki

  Balozi Malamula hivi karibuni ametoa kauli kwamba serikali inaandaa sera ili Tanzania inufaike na Diaspora. Mimi nadhani huku ni kupotezeana muda tu. Nilishalisema sana jambo la Diaspora humu ndani. Nilishaziponda sana point za Watanzania ambao wanadai kuwa tusiruhusu uraia pacha kwa kuwa watu...
 16. M

  Ushauri wangu kwa Wafugaji

  Anaandika Dr Christopher Cyrilo Jana nilipata bahati ya kutembelea Malembo Farm na kukutana na rafiki yangu Lucas Malembo. Nimshukuru Malisa GJ kunileta kwenye darasa hili la kilimo na ufugaji. Nimejifunza mambo mengi sana kuhusu kilimo na ufugaji. Kuna mambo ya kufurahisha, na mengine ya...
 17. isajorsergio

  Ushauri: Nahitaji ulinzi binafsi

  Habari 👋🏾 Wakuu nahitaji kuwa na ulinzi masaa 24/7 kwangu mimi na vitu vilivyo chini yangu. Ningelipenda kufahamu aina bora ya ulinzi, nitumie ulinzi wa jeshi au security agencies? Wenye mnaulinzi binafsi ni aina gani ya ulinzi mlionao, makadrio ya gharama na ushauri katika hili. Asante.
 18. Synthesizer

  Ushauri: Rais Samia usifanye makosa ya kuteua watu walioharibu huko nyuma au kuwa na dosari za kiuongozi kwa msingi wa kuwapa "second chance"

  Kwako Rais Samia, Kuna jambo moja binafsi naona unafanya makosa makubwa sana, na hili linahusu teuzi zako za hivi karibuni ambazo zinatia ndani watu fulani ambao huko nyuma walionekana kufanya makosa makubwa katika uongozi wao na hata kuwa na dosari katika uongozi wao. Mfano mmoja ni huyu mtu...
 19. kalovha

  Nashukuru ushauri wa JF nimepata mtoto wa kike

  Husika na kichwa cha habari hapo mnamo mwaka jana niliweza post humu kuwa nimempa mimba binti wa chuomwaka wa pili mimba. Wengi humu walitoa ushauri kwamba nisije jaribu kumwambia huyo binti atoe hio mimba wala nisikatae majukumu kwa sababu mwanakulitafuta mwana kulipata hivyo nikafuata...
 20. K

  Ushauri: Kijana kachaguliwa Kozi ya Record Management

  Wadau naomba ushauri, kuna kijana wangu kapata division 3 yenye flat c tano za HGL, HGK atc lakini kachaguliwa kwenda Chuo cha Utumishi wa Umma cha Records Management-SINGIDA. Mnaushauri gani juu ya hii kozi- Fursa na mengineyo.
Top Bottom