• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

nywele

 1. pabro11

  Wapi nitapata mafuta ya nywele ya Cantu original?

  Heshima kwenu wakuu, nasikia hayo mafuta ni mazuri kwa nywele. Je kuna yeyote aliyewahi yatumia humu? Yanapatikana wapi kwa Dar? Bei yake ikoje?
 2. YEHODAYA

  Kwanini saluni zinaitwa hair saloon kwani zinashughulikia nywele tu?

  Unakuta bango la saloon linasomeka hair saloon, kwani kazi ya saloon ni kushughulikia nywele tu?
 3. Titia

  Msaada: Dawa ya wave kwa nywele itakayoweka mawimbi muda mrefu kama curl

  Habari wana jamii, heri ya mwaka mpya. Nahitaji nywele zangu ziwe na mawimbi kama curl mawimbi ya muda mrefu bila kuhangaika kuweka marolazi kila wiki. Sasa nikiweka curl inakata nywele zangu mpaka inanilazimu kunyoa kipara, na sababu ya kukata ni kwamba nawekaga dawa nyeusi ya kubadili nywele...
 4. Analogia Malenga

  TAFITI: Wanawake weusi wana uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya matiti kutokana na kutumia madawa ya nywele

  Wanasayansi wamegundua mahusiano ya kutatanisha kati ya saratani ya matiti na madawa ya nywele na kemikali ambazo hujulikana kama relaxers. Utafiti mpya unaonesha kuwa wanawake ambao walitumia bidhaa hizi walikuwa na uwezekano wa kupata saratani ya matiti kuliko wanawake wengine ambao...
 5. M

  Utunzaji wa nywele za asili

  Kwa wale ambao tuna nywele asilia a.k.a natural hair, tayari tunafahamu changamoto kadhaa tunazokumbana nazo. Kwa wale mnaofikiria kuanza kuwa na nywele asilia, karibuni sana tuendelee kujuzana namna ya kutunza nywele zetu kama tulivyopewa na Mungu Katika mada ya leo,nitakwenda kuzungumzia vitu...
 6. Percy

  kwa nini nywele hutoa cheche pale tunapochana

  Kuna muda unaweza kuchana nywele alafu ukashangaa vitu kama cheche za moto/umeme zinaonekana kwa mbali. Jaribu mida ya usiku/gizani uone. hii inasababisha na nini wataalam?
Top